Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Mwandishi: Hassan yahaya ( B.Sc ) Contact: hassanmatola508@gmail.com habari ndugu zangu, awali ya yote napenda nitoe maana ya mapenzi. Mapenzi ni ukaribu unajijenga baina wa watu, wanyama, mtu na...
1 Reactions
0 Replies
634 Views
Habari za mida hii Wana JF mko poa bila shaka. Kiufupi tu nlikuwa mwanachama hai wa chaputa mpka nkaamua kuwa single boy kwa muda mrefu, ila nmeleft kwa nguvu ya maombi lakini mana ushauri na...
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Unapoachwa na mtu umpendaye inauma. Hasa ukifikiria kwamba huyo mtu mlikua mnaendana sana. Mlikua mnaelewana. Mawazo huwa ni mengi, lakini kitu kinachotokea ni kwamba unajikuta huwezi waza kitu...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Wakuu!! Hapa home ninaishi na mdogo wake mke wangu, huyu binti ana miaka kama 22, na ninapoishi kuna nyumba kubwa na mabanda, nazan mnaelewa. Huyu mdogo wa mkewangu ambae ni wakike yeye nimempa...
13 Reactions
78 Replies
4K Views
Habari ndugu zangu, Kutokana na kupanda na kushuka kwa thamani ya hela inayotokana na kuyumba kwa uchumi. Je, ni sahihi kumuachi mkeo au mwanamke kuachiwa shilingi 2000 kama matumizi ya siku...
6 Reactions
43 Replies
2K Views
Unakuta msichana mdogo tu kavaa kitenge, kanga, gauni bwanga kama anazuia mimba isionekane, yaan hivyo vyote kavaa kwa pamoja na remba kichwani na yeboyebo au skuna. Ukiuliza unaambiwa ndo vaa...
18 Reactions
102 Replies
5K Views
Habarini,kuna kero kubwa sana kufanya tendo la ndoa na mwanamke mwenye kitambi hasa kwa sisi wanaume ambao hatupendi vitambi yaani hatuvutiwi navyo. Kuna mashangazi (kama wanavyoitwa) watu wazima...
14 Reactions
86 Replies
5K Views
Nauliza dawa gani ya meno isiyokuwa na FLUORIDE maana mim nimgonjwa wa goita
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Napitia kipindi kizito sana ndugu zanguni. Miaka mitano iliyopita nilikutana na binti ambaye niliingia nae kwenye mahusiano ya kimapenzi. Miezi miwili baadae binti alidai kuwa anahitaji kumbukumbu...
8 Reactions
62 Replies
3K Views
Holidays mjuba NALIA NGWENA huwa napenda kukaa kwenye kahawa na wazee wangu. Kuna hoja moja iliibuka kuhusu wanawake wa kutoka Tanga, mtwara (wamakonde) na wazaramo. Kuna mzee mmoja alisema " ni...
3 Reactions
61 Replies
4K Views
Jambo letu tena! Jitahidi kujitambua kwa yale unayoyaweza na yale yanayokupatia ugumu lakini kamwe usiwaeleze watu mapungufu yako kwasababu watayatumia dhidi yako. Mara nyingi watu huwaangusha...
2 Reactions
1 Replies
296 Views
Weekend ndo nimeimalizia hvi na gemu ya ugenini. First half moja moja second half mbili moja gemu ilikuwa ya kawaida ila ya kuvutia. Wakulungwa inashangaza sna kusikia Kuna watu wanaleft...
6 Reactions
9 Replies
535 Views
Wadau salaam. Naamua mpo safii kabisa, kwa wenye changamoto basi ni dua zangu Mungu akufanyie wepesi. Kabla sijaingia katika mahusiano swali langu kichwani lilikua " hivi hawa watu wanaitana...
6 Reactions
90 Replies
2K Views
Hi ni yako, rafiki yangu mpendwa trudie Mwenyezi Mungu akubariki katika ulichopewa na umshukuru aliyekupa, na afike kuwa mkubwa, na uruzukiwe wema wake. Na aliyepongezwa atamuombea aliyempongeza...
30 Reactions
325 Replies
8K Views
Wanaume wenzangi mlio kwenye ndoa hali kama hii unawezaje kuivumilia? Kwa mfano; Umeamka asubuhi umejiandaa kwenda kazini, bahati mbaya ukasahau ufunguo ambao mkeo kauona ila wakati wa...
15 Reactions
76 Replies
4K Views
Happy new yr pipo. Well.. kuna kitu kinanitafuna sana... Kwasasa sipo Tanzania niko nje ya nchi. Nilimwacha Girlfriend wangu wa almost 4yrs together. With lots of love and happiness namimi nikaja...
8 Reactions
218 Replies
10K Views
Usipate shida kuhusu uongee nini na mwanamke, sababu wanawake wanajali unavowafanya wajisikie ukiwa nao zaidi ya maneno unayoongea. Kadri unavyojiamini ndivyo mwanamke anakuamini pia. Hivyo cha...
13 Reactions
27 Replies
4K Views
Habari zenu wana MMU? Katika mizunguko yangu ya wiki iliyo pita nilibahatika kukutana na binti ambae nilitaka kuchepuka nae. Kiukweli binti ni mzuri aisee analipa, niliomba appointment nae bahati...
14 Reactions
47 Replies
2K Views
Mimi sina girlfriend, mchumba, mke wala mchepuko, hivyo basi mimi ni mteja mkubwa sana wa madanguro, na sehemu zinazotoa huduma za massage, ambako huko ndio ninakoenda kuuburudisha mwili na akili...
8 Reactions
53 Replies
3K Views
Wazee wanasema "Upepo unaweza kutikisa majani ya miti sio kichwa cha mtu". Mtu aliyeweka maisha yake kwa Mungu anaweza kupatwa na changamoto ya kupigwa vita, kuonewa wivu, kuchukiwa na hata...
2 Reactions
5 Replies
564 Views
Back
Top Bottom