Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Hivi hii sauti ya wife inaashiria nini? Nyie wenzangu mlioowa wanawake wafanya kazi kama mlivyo mnakumbana na kadhia kama hii? Pale ambapo unataka kumuwajibisha wife?
13 Reactions
76 Replies
4K Views
Hakika usiombe ukawa addicted na masturbation, naam mjumba nilikua napenda sana kupuchua na nilikua nafanya Kama dozi asubuhi, mchana na usiku. Hakuna msanii wa kike ambaye sijapita nae, Beyonce...
34 Reactions
152 Replies
5K Views
Habari za mihangaiko wana jamvi, nakuja kwa kasi ya 4G. Moja kwa moja kunako mada.Tatizo naloliona kwangu ni hili, Kuna baadhi ya watu huwa nikikutana nao nahisi kama wananionea aibu Wake kwa...
2 Reactions
51 Replies
5K Views
Habari zenu jamani. Naomba kuuliza, inawezekana mie nimesahau mafundisho ya shangazi, wanawake wenzangu mnawezaje kuishi na mwanaume anaye fokafoka? Maana mimi naona yamenifika hapa! Huyu...
21 Reactions
213 Replies
11K Views
Si rahisi kujua kama mwanamke anataka mrudiane. Hasa pale unapokua humwelewi kwa vitu vinavyotokea. Kutokana na wanaume nliowasaidia kuwarudisha ma ex wao. Wakiachwa wampe muda huyo mwanamke...
3 Reactions
63 Replies
7K Views
Ni wazi kabisa hakupendi bali anampenda mke wake zaidi. Hukufanya wewe kama mdoli wake wa weekend. Hukuona wewe ni nafuu sana kutimiza tamaa zake. Hukupatia vidokezo kama chambo, kisha lodge...
16 Reactions
146 Replies
5K Views
Habari za juma pili Naomba nichukue fursa hii ku-share mkasa mmoja uliomkuta rafiki yangu wa karibu sana kwa jina anaitwa Said. saidi huyu ni mshikaji wangu niliekutana nae chuo na tukawa marafik...
26 Reactions
41 Replies
5K Views
Unakuta kabisa mtoto wa kiume anasema apewe maua yake.. unashangaa.... Unaaangalia unasema hiiiiiiii.... Mtoto wa kiume anaomba apewe maua? Siku zijazo si atasema apewe na shanga kabisa? Sisi...
5 Reactions
16 Replies
875 Views
Habari.. Hivi wanaume wenzangu unawezaje kumnyonya denda (mate) mwanamke anaenuka mdomo? Nawasilisha.
4 Reactions
46 Replies
3K Views
Habari wadau Nimeona ni shee na nyie ichi kitu cha ajabu nilichokiona ndani ya mwezi ulioisha Kwani sikutegemea kwenye Maisha yangu kama ipo siku atatokea mwanamke Aniambie kuwa Ananipenda na...
9 Reactions
29 Replies
5K Views
Naomba mwenye kujua "format" ya kuandika talaka anifahamishe. Yaani heading yake inakuwaje, unaiadresi kwa nani, na vitu kama hivyo. Sio kwamba mambo yameharibika, la. Napenda kujua tu
0 Reactions
45 Replies
49K Views
Ndio nauliza hili swali maana baba mweusi siku hizi mnaita maji ya kunde na mama mweusi tii wenye mnaita chocolate colour ila katoto keupe pe inawezekana au mmoja kachochora? Kapili keusi tii na...
12 Reactions
65 Replies
3K Views
Unajua atrraction inakwenda tofauti kwa wanaume na wanawake. Kwa wanaume tunaangalia kwanza muonekano halafu tunafaata tabia ila kwa wanawake ni vice versa wao huanza kwanza tabia kisha muonekano...
10 Reactions
138 Replies
5K Views
Naombeni msaada jamani kama kuna yeyote anaweza kujua dawa ya matatizo haya anisaidie. Mimi ni mwanaume lakini nimekuwa na tatizo la kukuwa kwa makalio yangu, nimekuwa na shape kama mtoto wa...
8 Reactions
42 Replies
3K Views
Vijana wenzangu kuoa sio mpaka uwe na pesa. Pesa zipi ukipata ndio utaoa,? Na usipozipata hizo pesa ndo tuseme hutooa? Inabidi ujue Usipooa pia baraka haziji Sasa umekaa na mtoto wa watu siku 2...
20 Reactions
85 Replies
4K Views
Kuna watu wanatudanganya kuwa mapenzi pesa lakini siyo kweli. Kuna mwanamke nipo naye kwenye mahusiano, nilimkuta hana simu kubwa nikamnunulia simu kubwa ili kuepusha matatizo ya salio kila siku...
6 Reactions
52 Replies
3K Views
Wadau habarini... Wanawake, akina mama, wafunzeni watoto wenu maadili mazuri yakula ya kiafrika....achaneni na umagaribi usio natija. Jana nilikua ugenini maeneo fulani apa jijini Dar...ni...
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Ulimwengu wa mapenzi ni mpana sana na umejaa kila aina ya vitu vya ajabu mathalani vinavyovutia kumpenda au kumkubali mwenza Ni kawaida kuwasikia wenza au wapenzi wakijisemea kuona vitu tofauti...
1 Reactions
123 Replies
12K Views
Wakuu natumai kuwa nyote hamjambo, na jumapili iko poa.. Twende kenye mada, Wakati fulani huenda ukalazimika kuwa mbali na mpenzi wako labda kwa sababu ya kazi na mambo mengne, ni nani kati ya...
3 Reactions
149 Replies
5K Views
1 MUKHTALIYA - Huyu ni mwanamke mwenye tabia ya kujivua yaani mara kwa mara hupenda kuomba talaka hata kosa si kosa yeye keshataka aachike tu, huyu hafai hasa ukimpenda sana atakusumbua ni tabia...
12 Reactions
59 Replies
4K Views
Back
Top Bottom