Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
TABIA 20 WANAUME WA TZ: 1. Wanaume wavivu zaidi Tz- WAZARAMO..Hawa hawafanyag kazi kbs, wao hushinda vibarazan, kucheza bao, kunywa kahawa na supu ya pweza! 2. Wanaume wabishi zaidi Tz-...
16 Reactions
314 Replies
72K Views
Wanawake ni wenye ujasiri sana. Watadhubutu kukupa changamoto katika maeneo mengi, ili kujaribu jinsi unavyokuwa dhaifu au imara. Wanajua wanachofanya na watakusukuma hadi kufikia hatua ambapo...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Anza kwanza kutazama kwa makini uwezo wake wa kuwwa mke na kuwa Mama wa Watoto wako. Usikimbilie kutazama makalio na figa tu Ndoa ni zaidi ya hayo. Umbo lake halisaidii chochote kwenye future yako.
7 Reactions
27 Replies
1K Views
Vijana wengi wa kiume wamekuwa wakiwapomda sana single mama kwa kuwakashifu kuwa hawawezi kuolewa. Wanaume weng wanaamin kuwa ukimuoa single maza atakusumbua kwa tabia mbaya hasa ile ya...
1 Reactions
87 Replies
15K Views
Kuna mwanamke tunafanya naye kazi. Nampenda saana lakini bado sijampa ukweli. Nipo kwenye njia ya kumuweka karibu na Mimi saana na tayari nimefanikiwa kumuweka karibu yaani kwa ufupi ninaweza...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Wanaume wanapiga sana kelele kua wanawake wanapenda wanaume wenye pesa/uwezo wa kuwahudumia, lakini kwa nini hatuwasikii wanawake wakilalamika kua wanaume wanapenda wanawake wenye muonekano mzuri...
9 Reactions
60 Replies
4K Views
Jana basi baada ya kupata Moja mbili Tatu tulikuwa tumewasiliana na Baby wangu huyu ni mshangazi kwangu akasema yeye hajisikii kutoka kama nataka nifumfuate kwake tukabanjuane Huyu single Mama...
18 Reactions
59 Replies
3K Views
Nauchukia umaskini kwa kuwa ulifanya nizaliwe katika mazingira duni, mazingira ya tabaka la chini, yaani maisha ya kikata kwa ujumla Nauchukia umaskini kwa kuwa ninapojaribu kupambana nao...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Nisipopeteze mda wakuu sipo hapa kujisifia sana ila nimepewa vipaji vya ajabu sana pengine kuliko binadamu yoyote na mungu, 1. Nimepewa uwezo wa kukontrol ndoto na kuamua ndoto gani niiote usiku...
7 Reactions
96 Replies
6K Views
Natapa orgasm kwenye clito, napata kwenye vigina na kwenye g spot. Siri ni tatu tu:- Nikiwa naenda kwenye show najiandaa kisaikolojia kabisa kwamba naenda kupata raha zote, hata kama yeye ni one...
18 Reactions
160 Replies
7K Views
Habari ya wakati huu wakuu. Hii ni mada ya kuwekana sawa na kukumbushana. Maisha yanabadilika na umri unasogea na tuna wajibu wa kuukubali huo ukweli hata kama hatuupendi. Kuna hii tabia ya...
9 Reactions
44 Replies
20K Views
Ndugu wananchi .... Bwana kwenye pirika pirika zangu za kuachika nimejikuta nimenasa kwa mtoto bint wa kiganda. Huyu binti ni binti kweli kifua kimesimama,miguu nyama figure nyembamba kifupi ni...
7 Reactions
151 Replies
11K Views
Badilisha tabia ya umasikini Tabia iliyokusaidia kuishi wakati wa umasikini ndo inayoendelea kukufanya maskini. Maisha yakibadilika ni muhimu na tabia yako ibadilike. Hauwezi kuua umasikini...
2 Reactions
0 Replies
430 Views
Inaumiza sana. Yaani hizi tambo zetu humu JF n.k si wa Mikoani wala Dar ambao wamefanikiwa. Sisi tunadharaulika. Yaani tuna wagegeda akina sijui nini flower wana mastress kibao tunaacha watu wa...
5 Reactions
74 Replies
5K Views
Wakuuu kuna demu mmoja namfukuzia kinomaaa yaani demu nimemuweka karibu yangu kila sehemu hadi dadaaake anajaribu kunipigia debe kwa mdogo ake anikubarie lakini dogo amekaza anasema bado...
7 Reactions
88 Replies
3K Views
Habari wana bodi! Naomba suggestion ya majina mbalimbali anayoweza kupema mtoto wa kike wa kihaya pamoja na maana zake! Natanguliza shukrani zangu.
2 Reactions
53 Replies
8K Views
Wakazi wa Dar es Salaam mnapilika pilika kweli. Embu tujuzeni hiyo asali inatumika vipi kwenye kunyanduana maana manzi anaeza kuja na asali gheto nikaishia kulamba na mkate nikaaibika.
3 Reactions
9 Replies
6K Views
Kama ilivyokuwa kwa familia nyingi za kikwetu inapoanza migogoro ya kindoa haijawahi waacha watoto salama. Nikiwa kinda sana kwenye miaka ya 1995/96 wazee waliingia mtafaruku na kujikuta...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Tuachane na issues nyingine nk. Nakuuliza mdada wa JF. Kama nawe umewahi tuliza makalio yako ukapata muda wa kutafakari jambo hili. Kwa mfano Usipoolewa. Umejipangaje?
6 Reactions
17 Replies
891 Views
Tunawakumbusha tuu Hali ya magonjwa ya zinaa ikiwemo ukimwi ni mbaya.. Vaeni condom
10 Reactions
112 Replies
6K Views
Back
Top Bottom