Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Baada ya kipindi kirefu leo nimechanwa makavu kuwa its done. NB: Sina kosa, ila ni ujobles na kibunda hakisomi. Kila siku kuna mishe nasikilizia na ni kweli kuna mishe naisikilizia huu mwaka...
8 Reactions
48 Replies
3K Views
Tuanze na mwanzilishi wa neno "mbususu" sijui aliwaza nini. Linafanania na mahala husika. Wanawake walitambue hili Twende kwenye hoja. Huyu rafiki hana cha maana cha ku-share na wenzie tofauti na...
11 Reactions
55 Replies
2K Views
Habari za sasa wakuu. Nikutanapo na wawili( Me na Ke) wako kwenye mahaba au mapenzi motomoto, napata wivu mkubwa sana. Wakati mwingine hadi hasira huwa zinanikaba( Hasira za kujiuliza kwanini...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu, mmi ni kijana mwenye 27yrs nmekuja hapa nina changamoto moja ninaomba msaada wa kimawazo au solution ikibidi, ipo hivi; Mwaka 2020 nlikutana na manzi mmoja ambae...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wasalaam; hii ilitokea, Nakumbuka miaka ile, tukiwa tumehitimu kidato cha sita, mtaani kwetu tulikuwa vijana 6 ambao tulikuwa tumehitimu elimu ya sekondari. Miaka ile utaratibu wa kujiunga na...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa nini miaka 40+? Kwa sababu kwa umri huo hata ukiupata ukipiga dawa unaweza kutoboa miaka 60 ambao ni life expectancy ya mtanzania. Tumepitia kipindi kigumu sana, nakumbuka nikiwa O level...
44 Reactions
234 Replies
15K Views
Wakubwa;shikamoo Wadogo;marhaba Niende kwenye mada, Ugomvi,migogoro ni sehemu ya maisha yetu wanadamu, yani hii changamoto haiwezi kukwepeka kwenye maisha yetu, je unaweza kukabiliana vipi...
8 Reactions
35 Replies
1K Views
Habari za humu! Najua Kila mtu ana mtazamo wake hivyo tunaleta hoja Ili kijadilo mwishoni tujifunze kitu. Katika pita pita za maisha nimejadilibu kuangalia baadhi ya sample za ndoa za watu...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu mmebarikiwa sana. Leo taeleza upande mwingine kuhusu mama yangu na ma mdogo na ndugu wa mzee kisha mtaunganisha na ule uzi mwingne wa kwanza maana pengne kuna watu humu wanakurupuka...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari jf Moja kwa Moja nije kwenye mada yangu. Nina ishi na huyu mwanamke tangu 2020 na tumejaaliwa kupata mtoto Mmoja japo hatujafunga ndoa lakini nililipia mahari Amekuwa na wivu sana kuhusu...
8 Reactions
69 Replies
4K Views
Wala usikae kujisemea “nikimpata yule maisha yangu yatanyooka”. Wala usijisemee “ivi nampataje mwanamke yule?”. Wala “hivi namridhishaje huyu?”. au, “ntamfanyaje asiniache?” Hapo unamweka kama...
3 Reactions
3 Replies
769 Views
!
3 Reactions
45 Replies
2K Views
Kila Mara unakuta sms za Mchumba akiwasiliana na Mashemeji wa X wake. Je, Bado anaitaji kurudi kwenye ile Familia au la.
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna siku nilikuwa mkoa mmoja huko kaskazini; kama kawaida yangu, huwa nikijisikia kuchoka choka huwa napenda kwenda maeneo kupata moja mbili tatu za baridi. Nikiwa katika harakati za kukata kiu...
3 Reactions
5 Replies
769 Views
Wanajamvi niaje? Bana bana kwenye harakati za huku na kule si ikanikuta crush na manzi white ya ki shua, mtoto ana drive vanguard. Mitaa ya Kijitoyama anatoka kwenye packing nikajitolea...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Salam wana JF, Mapenzi pasipo kuwa na muda wa kucheka pamoja, kuongea kwa pamoja na kufurahia mahaba kwa pamoja ni sawa na jela ya kujitakia mwenyewe. Hamna mapenzi bIla mahaba. Cha ajabu kuna...
4 Reactions
42 Replies
2K Views
Sio mtaalamu sana wa kiingereza, lakini kama nipo hai sasa hivi ni kwa sababu naona hamna mtu atakaelea huyu kiumbe niliemleta Duniani. Kwa huzuni, majukumu na uchungu niliyobeba ningeweza...
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Hiki kilikuwa kipindi kigumu sana katika maisha yangu. Nlikonda ghafla, nikawa na mawazo wakati wote na nikawa nashawishika kunywa sumu. Nliona hiyo ndo ilikuwa njia rahisi pia kuniondolea mawazo...
0 Reactions
3 Replies
601 Views
KUMEKUCHA KUMEKUCHA MJE MTOE USHAURI Jamani naombeni ushahuri hapa nipo nimevurugwa ata sijui nachomokaje kwenye hili! Iko hivi mimi nimeolewa na tuko fresh tu na mume ananipenda na...
23 Reactions
96 Replies
6K Views
Ni wakati mgumu sana, kila ninapomkumbuka mwanangu. Ni wakati mgumu kila ninapopata hisia kwamba naweza kuharibu ndoa yangu. Ni huzuni pia moyoni nikiwaza kuwa naweza kuharibu Ndoa yake...
36 Reactions
190 Replies
12K Views
Back
Top Bottom