Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Habari zenu nyote, najua kila mmoja anapitia matatizo yake kivyake ila naomba nipate kibali cha kushauriwa juu ya tatizo langu hili. Baba zangu, kaka zangu, dada zangu, na rafiki zangu wa MMU...
4 Reactions
76 Replies
3K Views
Daah, unapojidanganya unaujua ulimwengu huu basi kiukweli huujui kabisa au unaijua sehemu ndogo sana Kuna siku nilikwenda kwa mganga na jamaa yangu ili nikamtengeneze mwanamke mmoja kwenye...
11 Reactions
117 Replies
6K Views
ILIANDIKWA NA LUQMAN MALOTO AKIWA Kijana, alifanya tukio. Hakujuta. Na akasahau. Akaishi miaka 44 mingine. Ndipo akatokea mtu akamkumbusha kile alichokifanya. Akaumia. Akatamani asahihishe makosa...
3 Reactions
3 Replies
584 Views
Ikiwa nimebakiza siku kadhaa kuanza ule mchakato wangu wa kuoa ila nimejikuta niko kwenye hali ya sitofahamu kama huyu binti nitamuweza au sitomuweza katika maisha ndoa, kuanzia yeye hadi ukoo...
39 Reactions
184 Replies
9K Views
Binafsi najivunja kuwa mtanzania, vipo VINGI vinavyonifanya nijivunie kuwa mtanzania mojawapo ni amani na uwezo wa mtu kuishi popote ndani ya nchi. Kama na wewe unapenda kuwa mtanzania like yako...
2 Reactions
11 Replies
520 Views
Hivi wanawake mna shida gani haswaaaa kama mwanaume humtaki mwambie sio tunajipinda kutafuta pesa na kuhudumia kumbe una king'asti chako pembeni tena hakakutaki mpaka utoe hela kijamaa chenyewe...
15 Reactions
51 Replies
2K Views
When emotions are involved, people tend to get hurt and bitterness and resentment can arise. In any relationship romantic or otherwise, there must be clear boundaries established. When these...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habar wakuu, Jion Nilikua bar napata Moja Moto,Moja baridi. kichwa kikapata Moto gafla Sana baada kupigiwa simu na wife kwamba nyumbani tumepata ugeni wa ghafla wa dada angu wa kambo upande wa...
25 Reactions
376 Replies
17K Views
Nipeni mbinu ndugu yenu, maana kila nikijaribu kumkwepa kiaina beauty huyu inashindikana. This girl she's very beautiful na pia ana sifa muhimu zote ambazo zinamfanya aonekane bora mbele ya bora...
5 Reactions
67 Replies
3K Views
Hapo vip! Hatimae roboti za kike zinashika kasi sana Duniani.Wanasema hizi roboti ni watamu kuliko wanawake wakaida. Na ukiwaona hauwezi kuwatofautisha na wanadamu. Alon Mask,ambaye ni tajiri...
6 Reactions
119 Replies
9K Views
Mimi nakumbuka few years ago niliwahi kudanganya familia flani mi daktari nipo muhimbili kitengo siri cha kuhudumia wagojwa na watu wasiojulikana . Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
10 Reactions
61 Replies
4K Views
Mwaka 2018 Mimi na aliyekuwa mke Wangu tuliachana na kwa bahati mbaya mwenzangu akaolewa na mwanaume mwingine baada ya kuachana kwetu. Mimi nikaendelea na maisha yangu Lakini cha ajabu uyo mke...
2 Reactions
15 Replies
949 Views
Njia nzima tunawasiliana, najua anaenda kwa ndugu, meseji yake ya mwisho ni kua amefika, baada ya hapo hapokei simu. ni nini kitakua kinaendelea ndugu zangu? Nimejiridhisha na hata aliempokea ni...
18 Reactions
119 Replies
7K Views
Huyu binti ni shemeji yangu. Anaomba pesa mara kwa mara, nilimsaidia kulipia kodi awamu mbili na kampani zingine ndogondogo. Sasa nilipoona anazidi kunipiga virungu nikamwomba nyapu akakataa...
3 Reactions
49 Replies
4K Views
Kuna habari nimeisoma kutoka kwa Labani og inayomuhusu Elon Musk kuzindua maroboti ya kike/mbadala wa mwanamke na unaweza kuishi nalo geto/nyumbani Kama mkeo. NALIA NGWENA nimetafakali mno...
5 Reactions
110 Replies
5K Views
Muigizaji Vin Diesel aliachana na mpenzi wake wa miaka mitatu, lakini walipoachana, hakumtoa nje ya nyumba yake, aliogopa kwamba angeishi maisha ya chini, hivyo alimuachia nyumba yao na yeye...
29 Reactions
141 Replies
7K Views
Naishi dar, brother wangu mkubwa ambaye ni mstaafu kaja kufuatilia madai yake. Nyumbani kwangu anaishi pia mama wa mke wangu. Juzi nlipotoka kwenye mizunguko na kurudi nyumbani mida ya saa tano...
8 Reactions
285 Replies
42K Views
Vijana wengi wanapambana sana lakini hawafanikiwa, kila wakijitahidi kujitoa kwenye janga la umasikini wanashindwa kabisa. Unashangaa tu mambo yako wala hayaendi, unafanya hivi na vile lakini...
19 Reactions
61 Replies
7K Views
Za siku mingi bandugu. Nimeandika uzi huu lengo niwasalimu tu na nijue wangapi walio active.. na ukurasa wetu huu pendwa wenye forums mbalimbali. Nawasalimu wote. Maisha yaendelee, usiache...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Kuamini kuwa na mwanamke anavutiwa sana na mwonekano tu Kwa sisi wanaume tunavutiwa na mvuto zaidi, lakini mwanamke anavutiwa nawe kutokana na vile anavyojisikia akiwa nawe. Akijisikia amani...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom