Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Kwanza Asalaam aleykum, Hongereni kwa Uzima, Sina haja ya kuongea sana naomba niende kwenye Mada moja kwa moja. Miaka kadhaa nyuma niliwahi kuwa kwenye mahusiano na mwanamke fulani lakini kwa...
8 Reactions
70 Replies
6K Views
Habari wanajamii, Hili suala sasa limekuwa likinitatiza sana na kunipa hofu sana kwa kipindi kirefu mno sana. Hapo awali nilikua na mahusiano na binti flani hivi na tulipendana sana katika...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Leo Nipo Na Nyie humu, Baada Ya Kutembelea “Robo Tatu” ya Nchi za Afrika na Nchi kadhaa za Ulaya na Asia, Nimegundua Wanawake wakitanzania Huwa na Dharau za Kijinga mbazo Baadae hufanya Wajutie...
26 Reactions
59 Replies
5K Views
Maisha ya kuishi kwa aman na majirani zako yanafaida kubwa sana kuriko kuishi kwa ugomvi! Sikatai yapo mambo makubwa ambayo jirani anaweza akutendee ukamchukia maisha hata msisalimiane (kwa mfano...
5 Reactions
50 Replies
10K Views
"Kuna mabinti wanaishi mjini hawana kazi yoyote, hawana duka, wala Saloon lakini anaishi maisha ya juu kuliko wale mabinti wanaojishughulisha kwasababu anaikuta mijanaume mizembemizembe huku...
11 Reactions
22 Replies
2K Views
Ingekuwa mzuka sana kama ungeweza kumuona msichana mrembo mtaani, au pengine College au eneo la kazi na kumfuata na kuondoka nae mpaka nyumbani kwako kwa ajili ya kumtafunisha muwa. Lakini sio...
9 Reactions
91 Replies
162K Views
Acheni tu wanawake waitwe wanawake, natamani kuweka Audio ya maongezi na michepuko yake lakini naona kama itakuwa udhalilishaji. Nimeamua Kutafuta Mnyarwanda nipeni ushauri wadau. SEHEMU YA...
22 Reactions
396 Replies
60K Views
Hivi unajisikiaje kumtumia mtoto wa watu siku nzima halafu unashindwa hata kumpa hela kidogo hata laki 2 tu ya nauli inakushinda? Akikuomba masikini unamjibu eti kuna mchongo unasikilizia. Hii...
11 Reactions
83 Replies
3K Views
Tangu unaanza kumtongoza jiwekee akilini kuwa wewe ndo kiongozi. Inamaana utaongoza mazungumzo, mahusiano na ngono kiujumla. Hata kama upo kwenye mahusiano ya miaka 40, endelea hivyo. Hilo ni...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna binti mmoja hapa kijijini kwetu nilivutiwa nae, ila kukutana nae kumwomba namba ikawa ngumu sababu ya mazingira, tulikuwa tunafahamiana kwa sura. Kwa vile ndugu yake yule binti ni rafiki...
11 Reactions
39 Replies
2K Views
Ripoti zinasema kwamba Elon Musk na kampuni yake wako kwenye hatua za mwisho za kutengeneza Mke wa Roboti. Mke wa Robot atatumia betri ambazo hudumu kwa mujibu wa mzunguko wa hedhi. Betri...
16 Reactions
286 Replies
19K Views
Nahitaji kusahau moment zote za nyuma, nifanyaje niweze kusahau kila kitu kuhusu mahusiano ya nyuma (ndoa)?
7 Reactions
200 Replies
6K Views
Salamu Wana JF, Wanaume wengi tumekuwa tukipenda wanawake waliojazia mbele na nyuma haswa.Yaani wenye chuchu dodo saa sita na zigo ambalo sio la buku Jero. Ukiachana na hivi vitu unapenda nini...
14 Reactions
156 Replies
7K Views
Salaam! Za mwizi ni 40, Kama wanenavyo wahenga!! Inshu iko hiv, juz nilikuwa nachat na manz kupanga maeneo mhim ya kwenda kuunganisha viungo mhim katka mwil,Sasa baadae mme wake zile sms...
14 Reactions
132 Replies
7K Views
Miezi miwili nyuma nilimshuku mke wangu ana mawasiliano na jamaa yake aliyemtoa bikira uko SONGEA. Nikaanza kunyatia katika mawasiliano yao. Kiukweli wakakumbushana mambo mengi mpaka siku...
36 Reactions
217 Replies
26K Views
Ulikua naye kwenye mahusiano vizuri. Sasa unaona amebadilika. Anakua anajijali kuhusu yeye tu. Utaona ni mbinafsi sana na hana mpango kuhusu wewe. Pengine anakuambia kabisa nina wasiwasi kuhusu...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Tupo town hapa lakini cha ajabu anaishi kama tupo Itilima, hajui kabisa kuishi kwa bajeti na wala haelekezeki. Tupo wawili tu mimi na yeye lakini cha ajabu ile kilo ya nyama ya ng'ombe inaisha...
23 Reactions
153 Replies
5K Views
Naomba ujumbe huu ufike tuokoe vijana na mabinti, ndoa, na mahsiono hali ni mbaya sana.na sio fair kabisa. Upishi wa penzi na tendo ni Jambo asilia na ni vema libaki kuwa asilia. Matumizi ya...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Tangu wanaume wawaimbie sifa za kuwa na makalio makubwa wanawake ndio wenye soko mjini na vijijini mabinti wamelewa sifa hizo na akili wameweka kando wamebakiza makalio, yawezekana ndio ujana wa...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Ni pesa, pombe, nyege, na ujana ndizo zilinipoteza. She was a hooker and I became her regular client. With time nikaona nimepata kitu ya kukula kula at a small fee without the baggage of marriage...
2 Reactions
6 Replies
683 Views
Back
Top Bottom