Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
NIFANYE NINI? Ninashawishika sana kuanza tena kununua malaya-Dua zenu wadau Imekua kitambo kidogo tangu nilete hapa uzi wa kuacha kununua malaya ila cha ajabu nimeanza kua tempted Sio kwamba...
2 Reactions
32 Replies
6K Views
Mwanaume hanaga chaguo. Ila mwanamke ndo anachaguo. Mwanaume ni wa mwanamke yeyote ila mwanamke sio wa wanaume wote. Katika vitabu vya Dini vinasema. 1 wakoritho 11:9 Wala mwanaume hakuumbwa...
4 Reactions
1 Replies
558 Views
Huko tweeter Kuna meme imeenda sana viral ambayo inaonyesha wanaume wamejipanga mstari wa foleni wakiwa uchi na mmoja kati yao amevaa nguo huku kashika maua wakipata huduma ya mapenzi kwa...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Wanaume wa jf sio wakweli hata kidogo ,they are not real but full of acting. Sijapenda embu niambie Kama unamke umeoa ulinifatia nini Bobo na kuniomba WhatsApp number and then usinipigie simu...
44 Reactions
603 Replies
14K Views
Juzi nlikuwa na demu mmoja tumetoka wote job tukapitia kula sehemu na kunywa kidogo. Of course ni demu ambaye huwa tuna chezeana chezeana. Hatuna mapenzi ya kudumu ila tukihitajiana tunakutana...
9 Reactions
32 Replies
2K Views
Ebwanaeeeeeeee, za leooo. Moja Kwa moja kwenye mada.... Hivi nyie wanawake mkoje.... Hasa mnaoshinda nyumbani wakati sisi tupo kutafuta na kuvuja majaisho huko mtaani. Iko hivi... Mimi huwa...
35 Reactions
93 Replies
6K Views
Ni katika hali ya story za kuhusu masuala yanayohusu mazingira tunayoishi, Hapa namaanisha kuhusu usafi na mengineyo na Mimi ni single boy hivyo sina wa kusimamia masuala hayo zaidi ya mimi...
13 Reactions
97 Replies
6K Views
Iko hivi; Kuna binti nilikua nammezea mate kinoma. Kuna mahala huwa nakunywa chai sasa huwa anapenda kuja kununua vitafunwa hapo, so nikawa namuonaona pale. Wiki mbili zilizopita nilimuomba namba...
21 Reactions
198 Replies
7K Views
Mtu nisiye kuwa na Mengi. Hiyo ndiyo Idadi Rasmi ya wanawake niliotembea nao kimapenzi,humo ndani kuna kila aina ya mwanamke,lengo langu ni kufikisha idadi ya wanawake 100 ndiyo nitulize kende...
9 Reactions
104 Replies
3K Views
Kwanini akuchague wewe kuwa mama watoto wake na si mwingine, Yaani umshawishi kwanini akuchague wewe utakuwa na jibu gani?
8 Reactions
83 Replies
3K Views
Watu wawili wanaopendana na kuishi kila mmoja kivyake ni tofauti sana na watu wanaopendana na kuishi nyumba moja. Wapo ambao hujiuliza inakuwaje wapenzi wawili waliokuwa wanapendana na kuwa na...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Huwaga najiuliza sana, lets say wazazi wawili walitengana, sasa imefika kipindi mtoto yupo na miaka mitatu hivi analilia baba kila siku, baba akatoa sharti kwa kusema au kimafumbo kwamba ili...
0 Reactions
6 Replies
623 Views
Hili tatizo nimekuwa nikikutana nalo sana huku Kanda ya ziwa. Vijana wengi wa kiume wanapofika Kanda ya Ziwa hasa ule msemo wetu wa kujitafuta na Mungu akawawezesha hununua samani za ndani na...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Kwa masikitiko makubwa, mchana huu nimepokea taarifa ya "Nahisi ni mimba." Ujuwe nilikuwa nachukulia simple nikimuona mtu anashtushwa na taarifa kama hii, lakini leo nahisi kichwa kimewaka moto...
18 Reactions
155 Replies
6K Views
Out thereee wakuuu Rajabu kahali born in Chitoholi Mtwara Tanzania, anadai siku hizi wanamuita tembo, Jeshi, Teacher Konde kwenye moja ya interview yake miaka isiyopungua 6 iliyopita anakiri...
18 Reactions
90 Replies
4K Views
Wake zenu,siyo wapenz wala wachumba, wake zenu yaani. Amani ndiyo Nuru ya mafanikio kwa MTU yeyote awe mwanaume au mwanamke. Amani humpa nguvu mwanaume ya kuweza kupambana kutafuta pesa kwa ajili...
20 Reactions
249 Replies
10K Views
Kichwa cha uzi kinajieleza. Guys, nafikiri hawa wanawake sasa tuwapumzishe, this is too much maana halipiti lisaa limoja uzi kuhusu mwanamke uko posted. Na kibaya zaidi ni wanaume ndio wanalia...
10 Reactions
89 Replies
3K Views
Mnakera sana na ndiyo Wengine hivi sasa tumeamua Kubobea kununua ( Migoma ) tu kwani huwa hawana Usumbufu wala Mbambamba kama mlivyo Wanafiki na Wapuuzi nyie. Na kwa huu Upuuzi wenu mtaendelea...
3 Reactions
12 Replies
883 Views
Ni maneno yalio tolewa na binti mmoja mwenye uzuri wake. Na sauti flani hivi ya kibez ikiwa na mchanganyiko na mahaba ya kudeka. Huyu ni binti ambae nilikutana nae katika harakati za kula maisha...
7 Reactions
59 Replies
5K Views
Watu mwanzo wanapendana na kuishi vizuri mfano mume na mke, boyfriend na girlfriend. Lakini inafika kipindi inaibuka chuki na visasi kati yao baada ya sintofahamu fulani kutokea kati yao. Watu...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom