Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Tabia hizi hazina matokeo mazuri, yale unayotarajia upate. Utahisi ukifanya hivyo itakusaidia kumpata mwanamke. Lakini zina matokeo ya tofauti. Zinamfanya asikupende zaidi. Kwa upande wako utaona...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
"Nimemfukuzia muda mrefu, amenizungusha sana kwa kutoa visingizio vingi, mfano mimi bado mdogo, siko tayari kwa ndoa, ngoja nitafakari n.k. Hivi karibuni kafunguka na kusema hayuko tayari kuolewa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kazi iendelee... adumu mama yetu H.E President DR. Samia Suluh Hassan! Toka ukiwa kidato cha kwanza mpaka cha nne, ulishuhudia wenzako wenye nazo ama kutoka familia zenye nazo walivyokuwa...
1 Reactions
38 Replies
1K Views
One more time!!! Mimi ndimi, a.k.a MAJITU MWITU MSITUU!! Aseeeeee! Ebbanaa Dada zangu wapendwa nimefanya utafiti Wangu, sisi wanaume wa kitanzania hatupendi wanawake wanaovaa mawigi, tunapenda...
13 Reactions
482 Replies
49K Views
Kazi na iendelee! JF humu haipiti week bila ya kusoma uzi wa "bro" akilia lia kuhusu kuumizwa na mke wake au mchumba ambaye anatarajia kumuoa. Hii ni red light kwa wadogo zenu ambao nasi tunakuja...
7 Reactions
27 Replies
1K Views
Habari wakuu Katika maisha yangu nimekua nikiamini mwanamke akiwa na kazi au biashara ya kutoka asubuhi na kurudi jioni kuongea na wateja wa kiume katika biashara basi ni rahisi kuliwa Na mimi...
28 Reactions
107 Replies
6K Views
Kazi iendelee! Hivi inakuwaje mtu anapangiwa mara nishike hapa, na hapa sitaki unishike. Huduma anatoa na kila kitu, ila wakati wa tendo masharti ni mengi, mara mkao huu wa kuinama siutaki...
21 Reactions
238 Replies
7K Views
Wakuu, naandika Uzi huu kwa masikitiko makubwa sana.juzi kati kuna wageni wangu flan walipata matatizo Hapa mjini, ikanilazimu niache shughuli zangu niwape ushirikiano kushughulikia Tatizo lao...
11 Reactions
87 Replies
4K Views
Nimekuwa Teja la kutupwa la matako makubwa ya wanawake. Popote ninapoyaona napagawa nakuduwaa ni kama nimepigwa shoti na umeme. Nipo tayari nifanye lolote Ili niishie kuyaminyaminya. Na sasa hivi...
18 Reactions
124 Replies
9K Views
Kuna mke wa mfanyakazi wa taasisi yetu alisikia kuwa mfanyakazi akifa, siku ya mazishi mke wake atapewa na taasisi 3m, atapokea michango ya rambirambi kutoka kwa wafanyakazi na ataendelea kupokea...
14 Reactions
62 Replies
3K Views
Jinsi nilivyo, ulivyo ni matokeo ya Malezi/makuzi. Hii ni story ya maisha yangu, nilizaliwa 1998, mjini Singida Hospitali ya Makiungu na kupewa Jina Julius na baba yangu. Kwa mujibu wao na watu...
5 Reactions
44 Replies
3K Views
Nimechoka sana. Jumamosi nilikwenda barber shop moja hapa jijini. Pale nilikutana na hostess mmoja aliyenipokea kwa kunichangamkia sana Nikaingia na kuanza kunyolewa... sasa wakati kinyozi...
16 Reactions
124 Replies
6K Views
Kila siku nawakumbusha kuwa jukumu letu ni kufanya kazi. Kupata pesa na kutumia sehemu ya pesa zetu kuwahonga warembo wetu wapendeze, wasiwe na stress na shida ndogo ndogo. Mwanamke ukimpa hela...
4 Reactions
7 Replies
528 Views
Katika maisha, tunakutana na Watu wapya wenye Tabia na sifa mbalimbali ambazo kwa namna moja ama nyingine huweza kuleta mabadiliko katika maisha yetu, aidha katika hali chanya au hali hasi. Hivyo...
1 Reactions
1 Replies
410 Views
Inawezekana kwamba msemo huu unashiria kwamba mwanamke anakuwa na uaminifu mdogo wakati mume wake hana utajiri, wakati mwanaume anapokuwa na kila kitu, anahitaji kujaribiwa kuhusu uaminifu wake...
2 Reactions
4 Replies
849 Views
Huwa nacheka sana kuona vijana wanapopigiwa simu na wapenzi wao kuwa wanakuja magetoni. Vijana hukimbilia kununua mihogo,mchuzi wa pweza, mo energy, mkongo , viagra, asiporini, konyagi asali...
14 Reactions
29 Replies
3K Views
Niko Iringa, jana usiku nikatoka kwenda kusafisha macho kidogo, nikafika sehemu ambayo wanapatikana warembo, nikamwita dada mmoja mrefu, maji ya kunde, amevaa miwani, ana hips zamaana na lips...
18 Reactions
87 Replies
13K Views
Kuna mdada mmoja nilikutana naye kwenye mgahawa wa mama ntilie akiwa kama mpishi na muhudumu, alikuwa mrembo nikaona huyu akinikubali na tukiendana, atanifaa for long term relationship even...
22 Reactions
88 Replies
9K Views
Habari wakuu, Mimi ni ME, wiki chache zijazo natarajia kuingia katika ndoa, naomba wenye uzoefu na wanaofahamu mambo wanipe maneno ya hekima yatakayonisaidia kwenye maisha ya ndoa. Usiniambie...
15 Reactions
128 Replies
7K Views
[emoji3517][emoji3517][emoji3517][emoji3517][emoji3090][emoji3090][emoji3090][emoji3090][emoji3090]
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Back
Top Bottom