Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
ulioa ili iweje sasa,yaani mi najiuliza sana mtu umemuona ana faa kuwa mke why umdharau??tena unakuta ni hadharani bora iwe mafichoni. Unaenda mbali zaidi unamkalipia mkeo Kama mtoto mdogo aisee...
10 Reactions
26 Replies
2K Views
Between poverty and bad wife who kills a man faster?...
4 Reactions
102 Replies
3K Views
Nashukuru Sana dada na kaka uliyenishauri Jana ingawa 90% ya advance zilikuwa za kunipopoa. Jana niliomba ushauri baada ya mpezi wangu kuniambia anahisi ana mimba. Jioni hii nimefanikiwa kumpima...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Wakuu Salam, Kuna ndugu yangu ananiomba ushauri kwamba mke wake amejifungua ila anahisi mtoto si wake, hivyo anataka kupima DNA ili ukwel ujulikane. Nimemwambia kama utani, kwamba wewe unajua...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Nilikua nachati na mke wa mpangaji kumbe wife alidaka simu akawa a nachati na mimi ahadi Mida ya jioni tukutane gest.. Lahaulaa kumbe anakuja wife dadeki mtiti ule siwezi rudi maskani nipo huku...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Nimejaribu kufanya utafiti wangu miaka mingi sana kuhusu mahusiano,Uchumba hadi ndoa.Na nikajua humu nikaona kampeni za vijana kuhusu kukataa ndoa. Ila Kwa Hitimisho langu ni kwamba chanzo Cha...
9 Reactions
81 Replies
4K Views
Habari za asubuhi Jambo Forums! Wengi nimeshuhudia wakisemwa vibaya kwenye mikusanyiko mbali mbali kwa sababu ya kutosalimia aidha kwa bahati mbayaau makusudi. Hivi kwa nini imefika kipindi ni...
16 Reactions
97 Replies
4K Views
Wakuu, Kuna Mwanamke flan Ni rafk yangu tumeshibana haswa, Kuna kipind nilipata Changamoto mwenzetu mmoja Alikua na Deni benki na wadau pesa imekata nyumba ya mwenzetu inapaswa ipigwe...
7 Reactions
67 Replies
3K Views
Habari wakuu, Kuna watu wanamtindo wa kujaamiana na watu wasiowaamini kwa Mara ya kwanza au pili bila kondom halafu anaenda mbele kujilaumu au anajialaumu kesho yake, baada ya siku kadhaa anajipa...
0 Reactions
2 Replies
346 Views
Hizo ni mishe gani bro??? If you still bilieve in smashing many puss**s, Stupidity, You still brag bout f*ckn every girl you come Across🖕 Imagine you get a wife who has been f*ckd by more than...
18 Reactions
84 Replies
6K Views
Katika ulimwengu wa leo, wanadamu tunapambana na vikwazo anuai. Mara tu baada ya kuhitimu vyuo, tunajikuta ghafla tupo kwenye ulimwengu wa kutafuta ajira ama shughuli ya kuingiza kipato, maeneo...
5 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa akili timamu tatizo la usingle kwa muda mrefu, hupeleka lawama nje na kulifanya tatizo katika mfumo wa mechanics. Nipo single kwa sababu pamoja na kuishi mjini na sehemu yenye watu wengi...
2 Reactions
109 Replies
6K Views
Bila shaka title inajieleza, Najua wanaume wengi ni watafutaji, mara nyingi warudipo nyumbani hukuta chakula tayari kimekwisha kuandaliwa na msimamizi mkuu ni mama ( mke). Swali, je, nikweli...
6 Reactions
12 Replies
782 Views
Wasalaam Kama kichwa kinavyojishulisha hapo juu wakuu Miaka miwili hapo nyuma, 2018 , ilikuwa green city nlikutana na pini moja kali chotara ya kimwambao Huyu mdada alikuwa mrembo kwelikweli...
3 Reactions
49 Replies
5K Views
Hello, Taarifa toka kwa Wadiz a.k.a Baharia Ukipata nafasi kuwasikia wanawake wakisema ukweli ni raha sana, mara kadhaa nimesikia hii kauli heshima ya mwanaume ni kuupeleka moto, mengine...
0 Reactions
12 Replies
534 Views
Habari za humu familia kubwa ya wana Jf: Kama kichwa cha habari tajwa hapo juu mwaka 2016 nilikutana na dada nikiwa nafanya mazoezi ufukweni (coco-beach) tuka share mawili matatu hakuwa na simu...
14 Reactions
79 Replies
4K Views
Mimi najua ni kwa sababu wapo wenye kumahabatika nayo na wapo wenye kuumia kwayo na wapo wenye kuishi kwayo baina ya mahaba na maumivu ya mapenzi. Wewe je?!
2 Reactions
31 Replies
933 Views
••••• [emoji28][emoji28] Wiki hii nataka uelewe kwanini usifuate huu msemo wa ‘tafuta hela’ ili kupata wanawake. Unatakiwa upande bustani yako ndio vipepeo [emoji1652] waje. Utaelewa kwanini...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kujiamini katika unachokifanya. Kujiamini katika ukisemacho. Kujiamini huku kutokee ndani yako. Sio iwe kwa ajili kumpata mwanamke fulani. Wengi hujiamini wakiwa na wanaume wengine. Ila akiwa na...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kisa hiki ni cha kweli kilinitokea nikiwa safarini kuelekea shuleni. Hadi namaliza masomo yangu ya O-level sikuwa nimewahi kusikia shule inayoitwa Ihungo ambayo ndiyo hiyo niliyochaguliwa...
16 Reactions
63 Replies
41K Views
Back
Top Bottom