Habari wakuu,
Ninayo furaha ya pekee sana jioni ya leo baada ya kutunukiwa mwili na binti mrembo niliyemtafuta kwa miaka mingi sana bila mafanikio, sana sana niliambulia matusi mpaka nikawa...
Am going breafly!
Mba wananisumbua baada ya kunyoa ndevu, ni mba wa ngozi, hawajakithiri ila ni ule weupe weupe tu.
Naomba kufahamishwa dawa nzuri pamoja na dawa za kuoshea nywele au kupaka...
Mwanaume mmoja ambaye jina lake halijafahamika amejinyonga na kufariki dunia ukweni kwake baada ya juhudi za kupatanisha na mke wake kugonga mwamba.
Mwanaume huyo alikuwa amekwenda ukweni kwake...
Hatimaye nimepata mwanamke wa kipekee ambaye nina imani hatoweza kuisumbua akili yangu maishani mwangu kote. Hata nikimshirikisha suala la kuoa mke wa pili, wa tatu, wa nne, wa tano n.k kutoka...
Wakuu naombeni uzoefu ukitaka kwenda ukweni (kwa mwanamke)kwa mara ya kwanza unatakiwa ufanye nini au uzingatie vitu gani
Nasoma maoni [emoji4][emoji4]
Sikuhizi sina maneno mengi, mdada anayenifurahisha namhonga. Bei hutofautiana kutegemeana na sampuli.
Ma great thinker wasio na hela mje hapa kutoa povu, ila mkae mkijua kama hamwahongi wapenzi...
Hata wakiuza milioni 20 nitauza mbaka boksa ninunue nikafunge nae ndoa
Maana sio kwa hekaheka za mademu wa udongo thanks elon musk Mungu akuweke
Haina kisonono wala kaswende no kugongwewa...
Kila mtu anatamani kuona dunia ikiendelea, ikisonga kutoka hapa ilipo. Mabadiliko ama maendeleo ya dunia huja na maumivu makubwa sana, maendeleo hayaji burebure tu, ni lazima uumie.
Unataka...
Habari wakuu
Ni miaka minne tangu nilipoamua kumuoa mwanamke nimpendaye katika dunia hii na tunaenda kwa mengi
Tatizo ninalokutana nalo kwa sasa ni mke wangu huyu kuwa kibonge haswa na mbaya...
Huyu demu nimekuwa nikimfatilia saana. Nimemuona ni mwanamke mzuri saana ambaye ana Akili saana Tena anafaa kuwa mke kabisa.
Ila wanaempoteza zaidi ni aina ya wanaume ambao anawapata na mazingira...
Sijui kwa wanaume wengine wanavutiwa na nini hasa kwa mwanamke wakati wa mahaba na penzi zito
Utamu/raha ya mapenz ni hisia. Ukizikosa hisia mapenz yanakua kama uchafu kwako.
Binadamu...
Habar wakuu bila poteza muda ngja niende direct kwa mada hasa kwa wale wadau wa kununua papuchi mitaa ya lacharz. Jana jamaa yangu yaliyo mkuta hana hamu tena ya kununua malaya.
Jana mida ya sa3...
Wakuu
Nakumbuka Ile December
siku ambayo kesho yake ni xmass,
ndo siku Aliingia period Kwa mwezi huo.
Kisha Kaja kuingia Tena period mwezi January tar 20
Baada ya hapo kaingia Tena period...
Nimeikuta hii mahala!
Ni kwanini ipo hivi!!? Au ni kwasababu kuna nadharia kua mwanaume ndio anatangulia[emoji848]
Au wanawake hawana mali za kuandikia mirathi!!?
===
Ameandika Yericko Nyerere...
Ni kama miezi miwili sasa nlikutana naye Bank fulani town nikiwa naenda weka mkwanja. Akashoboka. Basi mi mlume ndago nikasema hamna noma kama vipi tuunge.
Basi ikawa hivyo. Sasa ana ushamba wa...
Habari za jioni wazee wenzangu,
Kwa wale wakongwe kwenye mahusiano, umeshawahi kugundua kuwa siku mkeo akiangalia tamthilia (hasa kabla ya kulala), halafu ikatokea amevutiwa sana na actor wa hiyo...
Hii inawahusu wanaume waliooa ila hawapendi kuwatoa out wake zao.
Mtoe out mkeo, ni mwanamke mzuri ambaye alihatarisha maisha yake ili kukupatia watoto.
Anakuhudumia chakula kitamu kila siku...
Huyu kala pesa zangu nyingi lakini hataki kutoa mzigo. Alinipa mara Moja tu Tena baada ya kulazimisha. Najitahid niachane nae lakini nafsi inagoma. Kibaya zaidi tumepanga ghorofa Moja. Akiniona...
Natamani ningetumia muda mwingi zaidi pamoja naye. Natamani ningekua namsikiliza na kuongea naye. Natamani ningemtongoza mapema kabla jamaa hajamchukua. Saivi yupo na bwana mwingine. Hiyo ni...
Ndugu zangu habari za Jumatatu, nawasalim.
Mimi na mke wangu tumebahatika kupata watoto wawili kwenye ndoa yetu yenye miaka nane. Sisi wote ni waajiriwa, kwa muda mrefu, nimekuwa nikijiuliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.