Kwa nilivyokereka hakuna salamu hapa!
Baada ya kumfatilia kwa wiki kadhaa akaingia line, toto fulani hivi nyeupe ndefu yenye kiuno nyigu, tunasema figure ya kimataifa. Figure ambayo hata tozo...
Huwa nachoshwa sana na watu wanaotaka kuoa au kuingia kwenye mahusiano lakini cha kwanza wanaangalia Kabila la mtu kwa kuamini kabisa kuwa kabila Fulani Wana tabia hizi na hizi.
Bila kupepesa...
Kuna mwanamke nimeanza date nae kama mwezi mmoja, sasa first time niliomba mzigo akazingua na kusema bado tupeane muda. Mie nikachukulia poa tu sio mbaya, ikapita kama mwezi kutoka na ubize wa...
Habarini wadau.
Mimi ni baba wa familia ya mtoto mmoja na mke ambaye tunapendana sana. Pia Mimi ni mwalimu mpya wa shule moja hapa jiji kasoro bahari nina kama miezi mitano (5) hapa shuleni ila...
Lakini kuna watu bado wanapata hamu ya kusex kipindi hiki cha huzuni.😢kama kweli mmefanya ivo inasikitisha sana mjue😭
Jikazeni jamani kuweni wavumilivu hizo nyapu zipo tu.
RIP Makamanda
Jamani wanaume mnatakiwa kupewa maua yenu mnajitoaga sana baadhi yenu na mkiamua kujitoa mnajitoa mpaka familia zenu amuwasikilizi kisa mapenzi asanteni kwa upendo wenu
Naombeni ushauri wenu. Demu anakula pesa zangu jinsi atakavyo. Ikifika wakati wa mimi sasa kumla anakuwa na masharti
Kuna styles hazitaki. Anasema hawezi fanya mapenzi kwa style hatarishi kwake...
Kuna binti mmoja ni mama lishe. Ni mdada mzuri sana, kama mnavyojua wadada wanaofanya hizi shughuli za umama lishe, tena ukiwa mzuri kuna kuwa na mtiririko wa wanaume kuomba namba kila mara.
Na...
Ni habari iliyousonenesha moyo wangu na kunifanya nishindwe kuyazuia machozi yangu....
Nimelia peke yangu nimeona Leo ni washirikishe nanyi huzuni hii pengine ntapata faraja...
Nakumbuka ilikuwa...
Ewe mwanaume, kamwe mwanamke asikwambie kuwa hawezi kukutunuku mpaka pale mtakapofunga ndoa. Usikubali.
Inaweza tokea mkashindwa ku match code. Unaweza kuwa aina ya mwanaume unayesukuma ukuni kwa...
Sijui hata ni kwanini nimeandika maneno hayo, ila akili ilikuw inawaza vitu vingi vya kuadika hpo juu..
Jukwaa ni la mahusiano, na kweli naona watu mko bussy kuhusiana inapendeza..
Then...
Aise, kwa hili hapana. Sikuwa tayari! Hata mzazi wangu asingeweza kunifanyia ukatili wa namna hii
Ni stori ya kitambo kidogo (2019), miezi sita baada ya kufunga ndoa, nilifuma sms za mapenzi...
Ule usiku wake wa kwanza kulala magetoni kwangu ulimchanganya sana
Nilimvua mibaibui yake kisha kumfunga kanga nusu utupu, mtoto wa watu ni mwendo wa aibu mule ndani
Nikawasha widi (cha Arusha)...
Kazo iendelee! Mimi ni mpole na mkimya toka utoto. Mpaka muda huu ni mtu mpole, naumia mno jamaa au rafiki yangu akipata matatizo. Najiona ni kama mimi ndiye ninayepata matatizo hayo, nashughulika...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka kadhaa, baada ya kutafta maisha kwa muda mrefu Tanzania yakagoma nikaamua kujikusanya nikauza kieneo nikasafiri kuja zangu nchini Singapore, nikafika huku...
Nimekumbuka kisa kimoja kilinitokea miaka miwili iliyopita.
Mi ni mtu nikiwa na kasalio kidogo, huwa sipendi kujibana bana; nitaenda kujumuika na jamii ili mradi siku iende vizuri, hasa siku za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.