Wakuu habari zenu?
Mimi ni kijana mwenye 29 nimeoa. Sasa Nina mchepuko wangu anataka niishi naye binafsi nimeazimia kuishi naye kisiri bila wife kujua.
Je, kwa wazoefu wa mambo hizi inaweza leta...
Umempenda msichana na unamhudumia mara anaanza za kuleta. Kila mkipanga kukutana anakuwa na sababu zisizoisha ila bado akiwa na shida anarudi kwako.
Sasa umeamua kuachana naye na una una mtu...
Habarini za asubuhi wadau wa jukwaa hili! Bila Shaka weng wenu Ni wazma, wenye changamoto pia nawapa pole.
Nisiwapotezee muda niende kwenye mada:
Bila Shaka wazoefu wa michepuko mshawahi...
Nimekumbka miaka fulani mtaani kwetu kulizuka tukio la asiyejulikana mmoja kuwa na tabia ya kuvamia mama na dada zetu mtaani hsa majira ya usiku akiwavizia wakat wa kuoga na mavyumbn mwao, baada...
Kama hujamfata kuongea naye.
Kama hupeleki mahusiano mbele.
Kama hufanyi chochote kumuonesha unamtaka.
Basi ujue hana haja ya kukukataa. Sababu umeshajitoa mwenyewe bila hata kutolewa.
Zile...
Niende kwenye mada, utimamu wetu kwenye akili na maamuzi binafsi uheshimiwe na uzingatiwe na ulindwe.
Kuoa au kuolewa ni hiari na uamuzi binafsi na vinalindwa kikatiba, hivyo basi viongozi waache...
Kiuhalisia huku ni kupotezeana mb zetu bureee.
Yaani unaona mtu kaweka picha 87. Kutangaza biashara sio mbaya lkn ili uweke kwenye status na mvuto na desire kwa walengwa. Nimekuja kuona ni mpuuz...
Nasikitika kusema kwamba wanawake wana utoto na uchuro mwingi sana hadi unakata tamaa kumuoa.. yani unatongoza mwanamke anakaa anakusikikizia mwisho wa siku anakua analalamika njaa, mara hana...
Hii iliwahi kunitokea siku moja nipo chumbani na binti wa kanda ya kaskazini.
Mzee mzima nimetangulia kufika Lodge na nikanunua pakti zangu kadhaa za Condom kabla yeye hajafika.
Kwakua ilikua...
Nlikutana na huyu mmama kwenye biashara zangu akiwa ni mke wa mtu tunaishi nae wilaya moja hapa mjini, akaanza kunizoea na text za hapa na pale mara anitanie wifi anafaidi nikajua lengo lake...
Mbali na utajiri mwanaume alionao bado migogoro ndani ya ndoa haiishi na mingine hupeleke ndoa kuvunjika vipande vipande na mauaji wakati mwingine..
Ila kwa mwanaume wa maisha ya wastani au...
Habari za wakati huu ndugu zangu,
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 30+, Mhangaikaji na mtulivu na mwenye heshima ya maisha na hela kiujumla, pia wanawake nawapenda na nina waheshimu sana cz...
Ni kawaida sana kukuta vijana wa kikristo hasa huku mijini na kwenye majiji wanaoa hadi wafike 33.
Wengine wanaishi na wanawake majumbani na wana watoto lakini hawana ndoa.
Kwa vijana wengi wa...
Wale jamaa wahuni sana , nawachukia kiroho mbaya. Nliwahi fikiria hata kuwaroga. Basi tu ila nikiona hata jina lao tu napaliwa na chakula, pumzi inakata nahema kwa shida na macho yanakuwa mekundu...
Natumaini wazima
Naomba niwashirikishe hili jambo linanisumbua sana
Miaka ya nyuma nilikuwa kwenye mahusiano na kijana mmoja tulikuwa tunapendana sana,nilikuwa Niko chuo nae alikuwa anafnya kazi...
Binadamu tuna asili ya wanyama kiasi flani. Na tabia nyingi za Wanyama zinahusiana na Binadamu.
Kiasili suala la kulea watoto ni la Wanawake. Ndiyo. Wanaume kazi yao ni kutia mimba halafu...
Ni miaka kama minne au mitatu hivi, nilikutana na dada mmoja ambaye alikuwa na muda mfupi Toka afiwe na mume wake.
Tulijikuta tumeingia kwenye mapenzi Hadi akahamia kwangu, nilijikuta nimekuwa...
Habari zenu, ni matumain yangu kwamba wote wazima humu.
Nimekuwa na maswali mengi sana katika haya maisha, ila yote huwa napata suluhisho.
Ila katika hili ndio bado sijapata sululisho sahihi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.