Guten Abend.
Leo nimepokea kwa masikitiko makubwa sana taarifa za kushikiliwa kwa kijana mmoja niliyekuwa naye kwenye project moja ya afya nchini. Alikuwa 'Index Tester'. Kijana mmoja ambaye...
Babu yangu namsikia kila mara anapo toa ushauri kwa wana ndoa hutumia hili neno mara kwa mara naogopa kumuuliza manaake kwasabb hayanihusu sana nasitaki kuingilia maongezi ya wa kubwa.
Wajuzi wa...
Tunaishi kwenye dunia ambayo BABA ama MWANAUME anaweza kuaga asubuhi anaenda kibaruani ama mishe mishe ili kuipa moyo familia kuwa wataiona siku, japo uhalisia hana anapokwenda.
Tunaishi kwenye...
Sina maana ya kuwa mmbea ama kumkandia dada yangu ila hii ndio hali halisi ya matatizo haya ya sasa yanayofanya ndoa nyingi kubomoka, mimi nimeleta case study.
Mifano ipo mingi sana juu ya...
Nahisi km nimeharibu hpa maana baada ya kunitumia msg ya kwnza nikamjibu "sawa usijali" ila msg haikuwa delivered ila imekuja kuwa delivered baada ya yy kutuma msg ya pili, toka hpo nimeharibu...
Wakuu amani kwenu, leo nami nimewiwa na haja ya kutoa mchango wangu kuhusu umri sahihi umpasao binti kuolewa. Mada hii imezua mijadala mingi nchini kwa sasa hasa baada ya viongozi wa kiimani wa...
Nimesikiliza mahojiano ya alokuwa mke wa Mwaka,kiukweli wanaume wa kitanzania waachane na habari za kuoa wake wengi hawawezi kabisa kuwamudu na kujimudu wao kiakili,mwanamke alikuwa mkeo kakuzalia...
Kutoka kitabu desturi za wasuaheli (Waswahili)
Iwapo kijana mboo yake ndogo, huzungumza kwa mganga — ya kama: "mimi Uume wangu mdogo, vijana wanawake wananicheka. " mganga hujibu: "nipe mchele...
Hii imetokea leo mitaa fulan huku Daslam.
Ipo hivii, jamaa na huyo mwanamke ni wapenzi wa muda mrefu sana, mahusiano yao yalifika mbali kiasi kwamba, huyu jamaa alifahamika na baadhi ya ndugu wa...
Kuna kilio kikubwa Kwa wanaume kujilaumu Kwa kutumia dk chache na kufika kileleni na kuacha wenza wao hawajaridhika wawapo kitandani.
Kutokana na changamoto hii Kuna watu wanalishwa midawa hata...
Kama ulizaa na mwanaume mwingine kabla kwanini umpeleke kwenye Ndoa mpya? Inatosha tu kumjulisha mume mpya kuwa ulishawahi kuzaa kabla tena umfahamishe kipindi cha Urafiki au Uchumba.
Unaongeza...
Watu wameoana harusi kubwa sana mashallah halafu harusi kwisha wamerudi kupanga eh Tena,?? Hivi kwanini mnaoana halafu mnaishi nyumba ya kupanga na unafamilia? Inatisha
Habari wandugu!
Kwa heshima kubwa naomba kutoa mrejesho wa mada yangu niliyoibandika jukwaa hili la kuhitaji Mwanamke wa kuanza nae Mahusiano mapya, kiukweli wengi walikuja in box karibia...
Hi wanajukwaa
Nimekuja mji x kikazi,nimefika kwenye saa 12 jion,nikabook hotel,nikaoga na kupumzika kidogo.
Mida ya saa 2 usiku wadau wakanipitia room kwangu,tukatoka kupata chakula,then vile ni...
Wakazi wa Dodoma wana asili ya uvivu,asante JPM kuhamisha serikali Dodoma ili kuwachangamsha hawa watani zangu.
Mwaka juzi nilikuwa naishi Dodoma mitaa ya Nkuhungu,nyumba haikuwa na uzio ila...
SHORT STORY:
JANA NIMETOKA CHUO NIKAPANDA DALADALA ASEEE NIMEKUTANA NA HIYO PISI INA BONGE LA JAWLINE 😋😋 DUHH MAPUMBU YALICHEZA CHEZA ASEE NILITAMANI NIMPE LOVE BITE ILA NDO HIVYO UDOMO ZEGE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.