Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Hello JF, Niwakumbushe tu kama mabaharia wenzangu kama unatoka kimapenzi na binti alozaliwa 1998-2003 hasira zako mkopeshe mchungaji, shehe, na kituo cha police. Jitoe ufahamu endekeza raha...
5 Reactions
8 Replies
761 Views
Hey thereee Hivi ushawahi kuwa kwenye mahusiano na mtu anakuwaza wewe tu mda wote? Kila mda anataka muongee tu? Kila mda anataka ajue upo wap, na nani, kwa nini, mnafanya nini, mpaka saa ngapi...
3 Reactions
16 Replies
894 Views
Kazi iendelee... Jamani wanaume wenzangu, katika umri huu wa miaka 25 naamua kutoa leo kaliba yangu hii ambayo wengi inaweza kuwastaajabisha kidogo. Sina hisia za wivu kabisa wala kupiga...
6 Reactions
52 Replies
2K Views
Hbr Wana jamvi........ Natumai mu wazima wa afya, Amen. Leo naongea na wanaume wote lijali na ambao kesho wanahitaji kuwa na familia Bora yaani familia isiyo kuwa na kizazi Cha ovyo. Najua...
1 Reactions
3 Replies
532 Views
Bila salamu naandika kwa uchungu nilionao moyoni nataka sumu zote zitoke Leo. Miaka tisa iliyopita niliingia kwenye mahusiano na mtoto wa binamu yangu. Nilikuja kuomba ushauri hapa baada ya...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu. Mimi sijui na shida gani wakuu, yani nimekua nikipenda sana wanawake weupe au maji ya kunde yani nikikutana na wanawake weupe najikuta na simamisha mkuyenge mara kwa mara na...
3 Reactions
14 Replies
593 Views
Katika siku nilionyesha uvumilivu ama naweza sema ukomavu katika mapenzi ni jana. Maana sio kazi ndogo kumfuma mtu na mchumba wako, tena mchumba mwenyewe mpya hata week mbili sijamaliza nae...
17 Reactions
51 Replies
6K Views
Nipo Kigali kikazi, hao wanawake wa kinywaranda mnaowasifia kila siku kwa uzuri huko Instagram na hapa Jamiiforums mbona siwaoni? Huku mitaani nawaona wanawake wa kawaida sana tena hawafikii...
34 Reactions
74 Replies
9K Views
Kazi iendelee! "Wrevta unashirikiana na wenzako kweli?" Kauli hii kutoka kwa mwalimu wangu nikiwa sekondari miaka hiyo inanikumbusha machungu mno. Nikajibu "ndiyo", ila ukweli ni kwamba sikuwa...
8 Reactions
24 Replies
1K Views
Kama mnakumbuka kisa kilichonikumba mpaka kupelekea kujifukuzisha kazi huku nikiacha msako wa kunitafuta ukiendelea basi leo nina furaha kuwaletea mrejesho. Tamaa imeniponza, nimeamua kujiachisha...
49 Reactions
67 Replies
7K Views
Yana wanawake sijui walilaaniwa na nani, kila.muda wa inferiority complex, Wanadhani wanadharauliwa kumbe hapana Ndo maana ukikuta mwanamke katika wadhifa fulani wanawatesa watu sana Kutana na...
14 Reactions
51 Replies
7K Views
Habari, Hivi hapo Dar wanawake kutovaa pichu ni joto au kutangaza mambo mengine? Maofisini wanawake wanajiachia ukidondosha peni duh, Najiuliza sana wanatangaza nini? Yaani mwanamke akikupita...
3 Reactions
112 Replies
26K Views
Maana unakuta. Mwanamke hakati kucha au ameweka zile kucha za plastic mikono yote, Mwanzoni nikajiuliza sana hivi hawa wote wanatoka nyumba zenye rivet gun showers? Yaan unabinya maji kwa presha...
13 Reactions
231 Replies
22K Views
Habari wakuu, Nawatakia maandalizi mema ya sikukuu ya pasaka , na kwa ndugu zangu islamic niwatakie mfungo mwema Iko hivi hawa viumbe kiasili ni wabinafsi na kwakua hawapendi kuteseka basi...
14 Reactions
59 Replies
3K Views
Habari wa JF, Ni siku nyingine tukufu ambayo MUNGU wetu ameweza kutujalia kuiona, Sio wote wamepata nafasi hii maana kuna ambao tayari wameshatutoka kuamkia Leo hivyo tuliobaki tuseme "ahsante" na...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Heri ya muendelezo wa mfungo wa Ramadan ndugu Waislamu! 'I'll be short and clear' 1. Mawaidha kama mzee kwa vijana! akati nikiwa kijana wa miaka 24 hivi baada tu ya kumaliza chuo, nilikuwa...
5 Reactions
12 Replies
665 Views
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 33, naishi hapa Tanzania, mkoa naogopa kutaja. Nimeolewa na nimebahatika kuzaa watoto wawili katika ndoa yangu. Ila hapa siku za karibuni niliamua kuokoka na...
1 Reactions
98 Replies
13K Views
Mahusiano sio kitu rahisi Wengi wanaamini kufanya tendo la ndoa ndio mahusiano, hilo si kweli; mahusiano ni zaidi ya tendo. Mahusiano ni sawa na kuunganisha kampuni A na B, zenye mitazamo...
0 Reactions
4 Replies
582 Views
Anzisheni mahusiano na watu wazima, hawa wa chini ya miaka 35 hawana tofauti na vitoto, kutokana na kuwa na ahadi nyingi hewa. Kwa upande wangu, mabinti walio chini ya miaka 35 mimi huwa nawaita...
16 Reactions
74 Replies
4K Views
Na MsasaBreakTime "KIPIMO CHA UTAJIRI NI RAHISI NUNUA SODA WEKA KWENYE FRIJI IKIMALIZA WIKI UJUE UMEANZA KUTOBOA" --------------FRED VUNJABEI-----------------
15 Reactions
73 Replies
6K Views
Back
Top Bottom