Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Mwanamke anataka ajisikie unamjali. Yaani unajali hisia zake za upendo kwako. Ila drama zake unaweza kupotezea. Utamuonesha kujali hisia zake kwa kutenga muda kwa ajili yenu. Mkatengeneza...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari zetu maG.T's., Nahitaji ushauri nina mchumba ambaye ni mtoto wa binam yangu ananipenda sana nami pia nampenda tatizo linakuja kwa baba ake ni binam yangu ambaye tuko karibu kidogo ila...
0 Reactions
110 Replies
26K Views
Usingizi unapaa nanga mpaka niwawaze wanawake wazuri wazuri wenye mikia au maziwa kama yale ya kwenye video za dawa za macho. Humu kumejaa watalamu, naomba mnipe ushauri ni kwanini?
10 Reactions
67 Replies
2K Views
Mambo yanayohusu mapenzi huwa yanaumiza sana pengine kuzidi kitu kingine. Nifanyeje ili nisije umia hata nikivunjwa moyo na nitakayempenda? Nifanyeje ili nisimpende mwanamke hata kama nitakuwa...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Unajisikiaje ikiwa moyo wako una huzuni? Kausha macho yako mwenyewe ili kufuta machozi ya mwingine Katika ulimwengu huu mzuri kuna mabehewa mengi Mengine yamebeba roho zilizovaa mavazi meusi...
10 Reactions
22 Replies
1K Views
Ukiachilia mbali kwamba idadi ya wanaume duniani inazidi kuporomoka, na kwamba katika hiyo hiyo idadi ndogo iliyopo bado kunawengine wengi wameamua kujikataa na kujifanya wanawake, Lakini bado...
10 Reactions
60 Replies
2K Views
Ukitembea na pisi kali warembo wengine watakuwa wanajitongozesha wao wenyewe. Jumamosi iliyopita, nilipata mwaliko kutoka kwa mpenzi wangu (mchepuko) tukutane katika kiwanja fulani, angalau...
7 Reactions
89 Replies
3K Views
Kwa miaka miwili iliyopita nimefanya kazi saana sana. Nilikua nawaza nikipata pesa za kiasi filani nitaenjoy sana maisha. Sasa hivi saa 6 na dakika 48 nipo macho thinking of mustarbating. Pesa...
15 Reactions
36 Replies
2K Views
Niseme nisiseme? Tega sikio. Upendo sio kigezo pekee kwenye ndoa, upendo hautakuwepo kati yenu kwa nyakati zote. Mnahitaji sababu zingine muhimu za kuishi kwenye ndoa. Sababu hizo ni pamoja na...
11 Reactions
39 Replies
2K Views
Habari za weekend[emoji274] Week imekuwa nzuri sana kwa sisi wafatiliaji wa kesi mbowe, ni kesi nzuri sana n yenye kuvutia. Mwaka umeanza vyema sana na moja ya lengo langu mwaka huu mwishoni ni...
56 Reactions
181 Replies
26K Views
Utangulizi: Mapenzi na tamaa ni miongoni mwa hisia ambazo mara nyingi huchanganywa na kuchanganya watu. Katika mjadala huu, tutajadili ikiwa kuna tofauti kati ya kupenda na kutamani. Je, ni hisia...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Straight to the point, huyu mwana mama yupo Dar es Salaam nami nipo mkoa mwingine. Huwa tunawasiliana mara Moja Moja story za shule maana ni school mate ila alinizidi vidato kadhaa. Tukiwa shule...
8 Reactions
81 Replies
8K Views
Katika ulimwengu wa mahusiano na mapenzi, suala la mipaka na uhuru limekuwa likijadiliwa kwa muda mrefu. Baadhi ya watu wanaamini kwamba mapenzi yanapaswa kuwa na mipaka ili kuheshimu maslahi na...
0 Reactions
1 Replies
581 Views
Mimi ni mkristo na nipo kwenye ndoa kwa muda wa miaka 8 na tumebarikiwa kuwa na watoto wawili sasa ila kuna jambo nililikosea kwa mkewangu na sasa nataka nimwambie ukweli kuhusu hilo sasa kutokana...
9 Reactions
194 Replies
10K Views
Wakuu salama? Naomba msaada wa kujua huyu binti anashida gani. Niko hivi niko na binti mmoja kwenye mahusiano sasa shida inakuja binti huyu nikimwambia aje home anakuja lakini akifika...
3 Reactions
80 Replies
5K Views
  • Closed
Nimefiwa na ndugu yangu mwaka umepita. Sasa naota usiku ananitokea akifurahia maisha yangu ya mahangaiko au akiona nami kufa siku zijazo! Mara kadhaa tunapigana sana. Yote hayo hutokea kwenye...
1 Reactions
27 Replies
1K Views
Najua wote.mnaendelea vyema.. nami hiyo ndo furaha yangu kuona mnaendelea vema kwenye nyanja zote Mimi ni msiri kiasi chake,na mara nyingi upenda utulivu hasa nikiwa naoga.. nilikua hoteli...
6 Reactions
108 Replies
4K Views
Hii Dunia ina mambo sna kama HUJATEMBEA huwez kuona mengi, Kile unachokiona Cha maana Kuna mtu anakipigia deki na kukiacha nje kikinyeshewa mvua. Kama kuna mwanamke unamuona ni mzuri sana mtaani...
1 Reactions
11 Replies
725 Views
Mwanaume mmoja alikua ana uhusiano na wasichana watatu. Na akaamua sasa achague mmoja wa kumuoa. Akawapa mtihani. Akamgawia kila msichana mmoja kiasi cha shilingi Milioni moja na laki tano...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Basi miaka ya nyuma ilitokea nikawa na rafiki kwenye mtandao. Huyo dada alikuwa anaonekana mambo mazuri sana. Tunachat n.k na alibahatika kupata rangi ya mitume wengi. Basi tukadumu na kupeana...
10 Reactions
23 Replies
2K Views
Back
Top Bottom