Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wa salaam JF Una watoto watatu umri wao juu ya miaka 15. Ukasikia mkeo akisema kuwaambia watoto hana uhakika kama baba ni wewe au sio wewe!! Maneno yakafika kwa ndugu na wazee wa pande zote...
4 Reactions
14 Replies
544 Views
Mwanamke anayeomba pesa kwa jamaa ake ni kosa kubwa. STORI YA KWELI. Ilikuwa hivi huyu Binti nilikutana name kwenye daladala. Tukiwa wote safari ya makumbusho, saa 2 usiku yeye anaelekea kwao...
13 Reactions
542 Replies
12K Views
Habari za majukumu wakuu!! Bila shaka nadhani niwazima wa afya na tunaendelea na pilika pilika za kutafuta mkate wa kila siku , Huu Ni Uzi maalum nimeamua kuandikia Kwa makusudi tu lengo kubwa...
2 Reactions
272 Replies
57K Views
Hasa akiwa mtu unamalengo nae, yaani inatoa imani sana. Unawaza kua huenda ni amekubuhu na anauzoefu sana, huenda ndio hufanya na wengine hivyo, taflani. Ni vema mwanamke akatulia tu asubiri...
23 Reactions
136 Replies
7K Views
Nina rafiki yangu anapitia mengi nyumban kwako mama yake anamchukia kinyama na anaonyesha wazi kabisa ashawahi kumwambia kuwa yeye n mzigo bora abaki tu shule hiyo n kipindi anasoma hata akiwa...
4 Reactions
15 Replies
964 Views
Habari za wakati huu.. Kama kichwa kinavyo jieleza kama ulisha wahi kumla shemeji yako eleza ilikuaje kuaje mpaka ukamla. Mimi ilikua hivi 1: Mnamo mwaka 2017 nilienda kijijini sasa mtoto wa...
3 Reactions
52 Replies
8K Views
Imeshapita miaka kadhaa nyuma ila kuna post nimeisoma hapa ikanikumbusha maumivu fulani ya moyo niliyowahi kupata hapo nyuma Miaka ya nyuma nikiwa na rafiki zangu kama wa nne tumeshibana gafla...
27 Reactions
131 Replies
13K Views
Salaam, Ndugu Wana jamvi naomba niende kwenye mada. Kwenye michepuko huwa tunapata nafasi ya kujifunza vitu vingi pengine mume au mke unaeishi nae huenda akawa havifahamu. Mfano wa vitu...
0 Reactions
2 Replies
840 Views
NALIA NGWENA Huwa najikunja haswa kufidia vitu vyangu nilivyonunua kama gharama za kijola kusuka pesa za bando vizinga vidogo vidogo nk. Kila nikifikilia hizo gharama ndiyo napata hisia mno...
4 Reactions
20 Replies
935 Views
Kutongoza ni mchakato wa kujuana. Ni kitendo cha kuruhusu nyie wawili mjuane zaidi. Ndio maana hautakiwi kuacha kumtongoza mwanamke wako. Hata kama mna miaka mingapi pamoja. Mchakato...
7 Reactions
10 Replies
1K Views
Habarini, natuma ujumbe huu nikiwa nje kujitafutia chakula sehemu nyingine. Ipo hivi, unakuta mwanaume unawajibika kutafuta mahitaji ya ndani, unahakikisha vitu vimenunuliwa na kubalance lishe...
96 Reactions
503 Replies
17K Views
Familia nyingi haswa za kisasa zinakabiliwa na changamoto nyingi zinazotokana na mabadiliko katika jamii na maendeleo ya kiteknolojia. Leo tutaangazia baadhi ya changamoto hizo na jinsi...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
At least awe amefika form four, narudia tena at least awe amefika form four. As far as unajali future ya watoto wako,oa mwanamke mwenye elimu. Usiwe mbinafsi kwa kutazama vigezo vyako kingono...
36 Reactions
166 Replies
6K Views
Mahusiano yamekuwa na changamoto nyingi sana, leo unabwagana na huyu na kesho unaanzisha na mwingine. Ndivyo asili ilivyo, hatuwezi kupingana nayo; muhimu ni kujua na kujiandaa mapema kwenye...
12 Reactions
270 Replies
7K Views
Ni sahihi kwa wanandoa kupangiana ratiba ya kufanya tendo la ndoa?
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Nimeamini uaminifu kwenye ndoa ni suala gumu hasa Kwa sisi wanaume.Ni heri mwanamke ambaye anaweza akakupenda na kutokana na huo Upendo akashindwa kukucheat. Lakini Kwa upande wa wanaume Upwiru...
4 Reactions
39 Replies
2K Views
Wakuu habari. Kwa elimu yangu hii nimesomea A. Level na chuo maeneo ya kasikazini ila katika uzoefu niliojionea uko uchagani sio siri wanaume wa kisukuma wanapendwa sana yaana ukimwambia kabila...
12 Reactions
93 Replies
23K Views
Habari wakuu. Bhana 2015 mwishoni, nilipata tukio la kusisimua sana hadi leo najiuliza nini kilitokea. Tulikuwa Kahama kikazi, Sasa wikiend tukaenda kula starehe kidogo kwenye bar maarufu pale...
10 Reactions
22 Replies
2K Views
Pamoja na kwamba alikuwa ameanza mwaka wa kwanza Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam Deo Tegeule alikuwa hakosi starehe kila mwisho wa juma. Alikuwa na kundi la marafiki zake wawili Timothy Haule na...
7 Reactions
44 Replies
6K Views
Back
Top Bottom