Jamii Forum ni mtandao wa watu ni Jamii yenye watu wote kama tulivyo mitaani,Nimepatwa na MSIBA wa babu yangu mzaa MAMA (baba wa mama yangu) naelekea Arusha siku ya kesho Usiku mida ya saa 1 hivi...
Amani iwe kwenu wakuu,
Hivi ni kipi kinaumiza zaidi katika mapenzi, kuambiwa sikutaki au kuzungushwa sana na kupewa vijisababu visivyokuwa na msingi?
Tunajua kuwa mapenzi huzaliwa, hukua, hufa...
Wakuu hongereni washindi.
Usiku wa kuamkia leo nimeota ndoto nafanya mapenzi na shemeji yangu mke wa rafiki yangu.
Wakati wa maandalizi ile namvua chupi ulimwagika ute wa kutosha kama maji...
Siku hizi wanaume kuzaa hovyo hovyo na kila sehemu ishakuwa kama fashion vile Ila hii kitu inaaribu psychology ya Watoto wa Nje ya ndoa Yani wanatengwa kwenye kila sehemu hawathaminiki kabisa...
Unjooni mnishauri jmn na wiki mbili chakula hakiliki, mnamkumbuka yule msukuma wangu niliwaambia hajui kukasirka nakufoka?
Sasa Nina wiki mbili tumeachana na mm ndio nimemuacha baada yakumkuta...
Siku za karibuni kumekuwa na nyuzi za sisi wanaume kuwafungukia hawa warembo wetu wa humu jamvini.
Wengi tunajiuliza kwa nini hizi nyuzi zinafuatana sana, kulikoni kuna nini?
Au hawa warembo...
Wanaume ni wengi kuliko wanawake. Kila mtu atapata wa kwake. Acha kupotezeana muda na mume wa mtu na kuharibu familia ya watu.
Acha kumfurahisha huyo mwanaume asiejitambua acha apambane na uhuni...
Huyu demu kila mara anaomba nimtoe out angalau anywe beer mbili tatu. Na hana aibu kabisa kuomba omba beers kwa wanaume. Sijamzoea kiasi hicho basi tu anaendekeza uswahili.
Mara kadhaa aniita bar...
Jamaa yetu mmoja baada ya kumalizana elimu ya kidato cha nne, Kisha kupitia VETA kusomea mambo ya umeme aliamua kujiunga jeshi la wananchi. Miaka 8 tu baada kukaa jeshini akafukuzwa jeshini kwa...
Katika kutizima sana filamu za hawa watu wa West naona, huwa wana tabia fulani ya kuwa wepesi kuanza mahusiano ya kimapenz baada ya kuonana kwa siku chache tu, au unakuta msichana na mvulana...
Kwa hakika mwanamke akiwa mzuri hutongozwa mpaka mara 50 kwa mwezi na akiwa mbaya hutongozwa mpaka mara 15 kwa mwezi endapo atakuwa anafanya kazi mahali pa watu wengi (public).
Sasa mikopo ya...
Jamani wanaume wenzangu mimi mcanada nimeoa tayari mwanamke wa kichaga tuna miaka 6 kwenye ndoa na tumefanikiwa kupata watoto wawili katika harakati zangu za maisha nikafanikiwa kuja canada na...
1. HIV -UKIMWI
2. Rhesus
3. Genotype
4.Hepatitis B
5. Hepatitis C
6. Magonjwa sugu
7. Magonjwa ya akili
8. Makundi ya damu
9. Magonjwa ya zinaa
10. Magonjwa ya kurithi11.Vipimo vya uzazi...
Wanaume tupambane kwa nguvu zote tufungue biashara ili wake zetu waweze kuzisimamia.
Hii hali ya kuoa mwanamke aliye ajiriwa kuna changamoto zake kama ifuatavyo:-
Kazi ndio mme wake
Mumewe ni...
Modest Bafite atoa maoni yake kuhusu Jackline anayedaiwa kutobolewa jicho na kung'olewa jino na mzazi mwenzie
"Ni HAKI ya wanasiasa kuwachukulia watanzania kama wajinga maana wenyewe hu react...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!.
Wewe ni mwanamke wa pekee sana ambaye nimewahi kufahamiana nae.
Mwanaume shababi wa kikurya nimekumiss sana mama na nakuhitaji.
Ujumbe huu ni wako...
Salam Wakuu,
Katika malezi ni muhimu sana mtoto ajihisi kupendwa na wazazi wake ama na yoyote anayemlea. Ni ngumu kwa mzazi/mlezi kuwapenda watoto wote sawa, lakini ni muhimu kwa watoto wote...
Habari wiki iliyopita nilikuwa kwenye harusi moja hivi nilialikwa. Sasa nda wa ukumbini na maharusi kuingia. Sasa katika utambulisho binti aliwatambulisha wazazi wake wa kumzaa na BABA mlezi.
Iki...
Kuna wapenzi mliokutana mizani ya mapenzi iko sawa na mnashidana kupendana zaidi?
Imagine kuna mdada unampenda sana lakini yeye kama haelewi how deep you're au anaelewa ila anachukulia for...
Habarini wana jamvi!
Ebhana wife kapata kazi Mkoa wa Kagera na kazi ni nzuri, amekaa muda mrefu bila kazi takriban 5 yrs. Lakini kwa sasa ana mtoto mdogo, binafsi si kwamba sipendi akafanye kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.