Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Asubuhi mapema saa 1 ulizuka ugomvi mkubwa kati ya mume wa mtu na Malaya wake aliye mkodi kwa huduma ya ngono, ugomvi huu ulihusu malipo ya pesa baada ya huduma kutolewa vyema ipasavyo usiku...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Hivi kwa Nini mkiamka asubuhi huwa mnajifunga kanga moja tu hata underwear hamna mnakwenda dukani/kununua chapati au maandazi?? Hivi ni kwa Nini underwear (nguo za ndani) huwa mnazitundika nje in...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu habari za Jumapili? Kwangu si njema hata kidogo ila nina Imani Kila mmoja ni buheri wa afya. Nisiwachoshe sana ngoja niende moja kwa moja kwenye mada husika kuhusu yaliyonikuta japo imekuwa...
35 Reactions
248 Replies
26K Views
Mwaka juzi kuna mwanamke ambaye tulikutana naye kwenye sherehe, Mwanamke huyo aliniomba namba zangu za simu nilimpa. Tukawa tuna chat naye kawaida tu. Siku moja tu akaniambia ananipenda...
15 Reactions
37 Replies
5K Views
Habari wanajamii, nielekee kwenye hoja husika moja kwa moja. Nilikuwa na matarajio mengi sana juu yake lakini imekuwa ndivyo sivyo. Nilifikiria sana baada ya kumfungulia thread/Uzi kwakuwa...
19 Reactions
277 Replies
8K Views
No passion to make sex, she is has many excuses Rafiki yangu huyu ameniomba ushauri wa kindoa nami nikaona hapa JF kuna wake kwa waume wenye uzoefu na maturity yakumsaidia mawazo ushuri, vifungu...
12 Reactions
366 Replies
121K Views
Nimetoka kutuma screenshot ya call history muda sio mrefu. Nilikua naongea na rafiki yangu mipango yetu, anapiga simu inatumika tu. Basi nilipomaliza namtafuta amekasirika akiamini nilikua...
6 Reactions
17 Replies
747 Views
Habari ndugu zangu.. Kwa kweli huyu bidada nilimpenda sana ila siku zote za mahusiano yetu alikuwa akiniambia niige wanaume wenzangu kwa kuwa anaona mimi ni mkoloni na ninaitikadi za kizamani...
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Ukiona familia Ina watoto 5 ujue wawili au mmoja hapo mama kachanganya baba,sio wote ni baadhi ya familia. Kuna mshikaji wangu tunaishi kitaa kimoja, alikuwa ana date na mke wa mtu mpaka akampa...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Mara ya mwisho nilionana nae Arusha way back huko maeneo ya kijenge karibu na kanisa katoliki, tafadhali kama kuna anayemfahamu au kama yupo humu. Namtafuta sana sana.
3 Reactions
15 Replies
899 Views
Nimebahatika kupata mke na nina muda wa miezi 9 sasa. Cha ajabu toka ndoa mpaka leo mke hajawahi kua na hisia namie. Na miezi hyo 9 tumesex chini ya mara 3 na zote kwa kubembeleza. Na nisipoomba...
18 Reactions
191 Replies
6K Views
Usijihisi labda una deni kwake. Usijihisi kuna kitu inabidi umfanyie. Usijihisi usipompa chochote kitu atakua hakupendi. Hapana. Tambua kuwa huyo mwanamke ni kama mtu mwingine. Ukiona mawazo ya...
9 Reactions
28 Replies
1K Views
Wakati matumizi ya mate yakiwa maarufu kwa wengi wakati wa kujamiiana, hasa yanapotumika kama aina fulani ya kilainishi hasa ukeni na hivyo kuleta ladha ya tendo, habari si njema sana kwa...
6 Reactions
65 Replies
16K Views
Mimi kama Mimi yaani kuna wakati nafanya maamuzi ya kumchapa mtoto wangu wa mwaka na nusu lakini ni lazima nigombane na mama yake, lakini ninacho jivunia kwa mwanangu ananipenda na ana nitii...
1 Reactions
7 Replies
776 Views
Na hata sisi tuliosoma chuo, hii ndio ulikuwa utaratibu wetu kupata mali yenye maileji ndogo na ukibahatika waweza kupata bikra, watu walikuwa wanawahi kwenda chuo wanazuga eti wanapenda shule...
3 Reactions
7 Replies
972 Views
Daah salamu zenu wadau. Kuna hili balaa la kudate na mademu wq vyuo vikuu ni kama kujipaka upupu wa hiari na kujilipua nq baruti ya moyo. Hawa viumbe kwanza nadhani hata hamu au hisia hawana...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Huyu mwanamke ananifanya mimi mtoto mdogo, eti ananidanganya katembelewa na mdudu.😡😡
19 Reactions
78 Replies
6K Views
Habarini wana jf, Kumekuwa na matatizo mengi sana katika mahusiano yetu ya kila siku, hasa ya kamapenzi na hata kijamii(na wenzetu). Mahusiano hayakai,watu kila siku wanasalitiana,na hata wengine...
5 Reactions
177 Replies
36K Views
Muonekano wako ndo kila kitu. Ndio unaamua watu wengine tukuchukuliaje. Ndio unaamua watu wakuheshimu haraka au la. Muonekano wa nje upo juu yako kabisa. Unaweza kuubadili muda wowote na...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Nimekuwa nikipitia changamoto mbalimbali katika maisha yangu ya mahusiano,najitahidi sana kumuomba mungu anisaidie nipate mtu sahihi na siyo wa kunichezea. Wiki mbili zilizopita niliandika hapa...
19 Reactions
239 Replies
8K Views
Back
Top Bottom