Nadhani kila mtu anajua kuwa makabulini sio sehemu ya furaha . ni sehemu ambayo tumepumzisha miili ya ndugu zetu, marafiki zetu ,naa wapendwa wetu inawezekana tulikuwa tunatamani sana leo hii...
Hello JF,
Unaposhangaa vioja vya jana Kuna watu hushangaa vioja vya Leo na juzi , na wengine hushangaa vyote. Ipo hivi wakati upo na Halima Nyerere square hapa dodoma Kuna Halima mwingine ndani...
Basi akanilaumu sana akatoa lawama za kutosha, ya kwamba kwanini nilimtendea vile, lakini haikuwa kosa ni moja wapo ya kutekeleza jambo husika.
Turudi nyuma kwenye stori za maisha yetu ya kila...
Mara nyingi wanaume tukiweka miahadi na mwanamke tunataka aje peke yake (privacy), sasa ilikuwaje ulipanga appointment na mwanamke, akawa anataka kuja na rafiki yake?
Ulimkubalia, nini kilitokea?
Wakuu juzi kati hapa kuna mwamba alianzisha Chombezo kama linavyosomeka hapo juu, bahati mbaya nimelitafuta nisome silipati anaejua anipe koneksheni au lilifutwa?
Here Is Why Human Vαgina Smells
hararelive.comMay 28, 2023 10:03 AM
TheVαgina naturally has its own unique smell. This smell may be stronger or more detectable at certain times, such as during...
Nipo wilaya ya kazi, Bunda mkoani Mara. Majuzi nilihudhuria mazishi ya Mzee mmoja maarufu. Sasa tukiwa msibani kuna dada mmoja msukuma mweupe kapanda hewani na tako hilo. Katika harakati zangu...
Kichwa cha habari hapo juu hakina lengo ya kudhihaki jinsia bali ni mada ambayo ningependa tuiangalie kwa mapana!..
Binafsi wanawake na uongozi hili jambo linanipa ukakasi zaidi nazungumzia...
Hii issues kuna binti mmoja kichwa na yupo vizuri sana nilisoma nae katukimbiza sana skonga kipindi hiko cha nyuma mara nyingi tunapigaga sana story kwenye simu.
Msimu wa sikukuu tulikutana tu...
Habari mabibi na mabwana yu heri wa afya natumai hivo,
Kwenye yanga sc na USM Alger( A.K.A KWENYE 1- NA- 2) kulingana na uchumi wangu ulivyo uki compare na gharama za madem wa siku hizi bila pesa...
Mapenz ni starehe Wala siyo ugomvi.....na unapoenda kuonana na mwenzio unajua kabisa waenda kustarehe.....sasa tukubaliane kwenye faragha zetu ni ruksa kushikwa popote Ili mradi tu najisikia...
Kama ulitumia hizi huduma nadhani sasa uko kwenye ndoa au unawatoto
Kwakweli Tigo na Vodacom walisaidia sana mahusiano ya watu mana hata utaratibu wa kujiunga bando haukua sawa.
Tigo unasubiri...
Bro,
Kikao cha hiki kijiwe sio kama kile cha wanaume wa UWABATA, Hachana na wanaume wasiojielewa, hatuna haja ya kuunda 'hashtag' hizo pigo waachie wanawake.!
Hachana na wanaume wasiojielewa, wao...
Wasaalam wadogo kwa wakubwa😀😀
Natumai nyote wazima wa afya. Niende kwenye mada kama mnavyoona huu ni mwezi wa 6 sasa, na mjuavyo baridi imeingia mpaka DSM sasa.
Na kama mnavyojua miili yetu...
Hivi hii hali ni kutaka tu au kujisahau? Yaan kitendo Cha mwanaume kuoa tu basi na kuvaa nguo Kwa kubadilisha kunaishia hapo full shati Moja au matatu, kazini, nyumbani na la kanisani.
Kumkuta...
Ila kusema ukweli wanaumme tunapitia mengi ila dunia sio fair kwetu, wanawake wote walio shindikana nyumbani kwao anae pokea huo mzigo ni mwanaume, na unakuja kugundua tabia mbaya za mwanamke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.