Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Hello wanaJamiiforums. Najua wengi wetu tumeanza mapenzi toka tukiwa na umri wa kubalehe. Je paka leo katika maisha yako ya mapenzi, fantasy zako ni zipi? Je umekwisha itimiza hizoo fantasy? na...
4 Reactions
330 Replies
65K Views
Kutengeneza ama kuamsha hisia za kingono mpk kufikia hatua ya kujiridhisha bila kutumia tupu za jinsia nyingine ndiyo huitwa punyeto (masturbation). Kwahiyo hata wale wanaotumia dildos ama...
3 Reactions
76 Replies
4K Views
Kuna kauli mbali mbalii unaweza tamkiwa na mpenzi wako ambae unampenda sana na ikakuumiza JE NI IPI KATI YA KAULI HIZI ILICHANA MOYO WAKO, UTUPE NA KASTORI KIDOGO JU YA KAULI HIYOOO ,,,,,, NENO...
13 Reactions
254 Replies
10K Views
Wakati mwingine maisha yanakosa definition kabisa sijui kama kuna mtu mwingine imewahi kumtokea kama mimi, binafsi kipindi sina mpango wa kuoa nlikuwa na marafiki kadhaa wa kike tukisaidiana...
17 Reactions
135 Replies
7K Views
1- Treat her like an Option 2- Ask for her friend's social Media 3- Ignore her Post and Stories 4- Dont allow yourself to get too invested 5- Always be Willing to walk away from Her 6- If...
10 Reactions
38 Replies
2K Views
Ebwanaa sasa hivi ni saa 10 alfajiri niko zangu Mkoani huku. Ghafla usingizi ukakata usiku huu, ile kushika simu nakutana na missed call kama zotee za ndugu "Usiku huu wote wanataka nini, au...
22 Reactions
223 Replies
52K Views
Good morning watu wa Mungu. Basi wakati tukiendelea kuisubiri ndege yetu mpya ya mizigo kutua.nimeona niwaulize haka kaswali. Juzi kati hapa nimekutana na ex girl wangu,sasa katika story za hapa...
12 Reactions
187 Replies
11K Views
Kuna jirani yangu mmoja hapa alifariki mwaka jana. Yeye na mkewe wa ndoa wanawatoto 3. Mtaani tulikuwa tunajua wote hawa ni watoto wake wa kuwazaa kabisa. Hata marafiki zake walikuwa wanajua hivyo...
13 Reactions
75 Replies
6K Views
Maamuzi ndio yanachagua tufanye nini, tufanye nini na maisha yetu, au tufanye nini na wapenzi wetu. Ili kufanya maamuzi kwanza inabidi kujiuliza; ~ Ni kitu gani nataka? ~ Kitanifanya nijisikiaje...
2 Reactions
2 Replies
693 Views
Natamani kujua kama hii ni kawaida au mimi ni mtu ajabu. Nakaribia miaka 39 na sina mke wala mtu naetegemea awe mke wangu. Sina mtoto japo ninauwezo wa kuzalisha vizuri sababu nilishawai wapa...
27 Reactions
178 Replies
10K Views
Mnavyojua tena wakuu, mimi huwa napenda vitu vizuri vizuri vyenye mng'ao mng'ao, na vinavyotamanisha kuliwa. Kuna kipindi nilikuwa kwenye mahusiano, na mlimbwende mmoja na tulidumu kwenye...
8 Reactions
166 Replies
9K Views
" Wanawake wengi hawana hisia... hawasemi tu lakini wako wengi na ukiongea nao wanakwambia wako ndani ya ndoa wana watoto wawili, watatu, wanne lakini ukimuuliza hivi lini umewahi kufika mwisho...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 123, Theresia Nyirakajumba, kutoka Nchini Rwanda, amesema toka azaliwe hajawahi kuguswa na mwanaume yeyote, na sasa yupo na tumaini kuwa atampata mwanaume...
3 Reactions
70 Replies
5K Views
  • Closed
Habarini za asubuhi wapendwa natumai mpo poa. Leo naomba niseme hivi kuna baadhi ya sisi wanaume tumekuwa na tabia ya kujifanya mwanamke yaani ni mshikaji kabisa anakuja PM anajifanya mwanamke...
40 Reactions
575 Replies
18K Views
Miaka yetu tunakua kulikuwa na magonjwa hatarishi sana ya sex. Ilikuwa hatari sana... Na ukumbuke Condoms zilikuwa bidhaa adimu sana hasa vijijini. Na pia ilikuwa ngumu kumuelewesha mtu kuvaa...
3 Reactions
4 Replies
926 Views
Katika pita pita zangu leo humu MMU leo, nimeona vitu vya kushangaza sana..... kuna wanawake wanasema wanavutiwa na wanaume wenye mishipa mikononi😂, wengine nimeona wanapenda kufokewa😂 na hata...
9 Reactions
52 Replies
2K Views
Moderator please DELETE huu Uzi.
16 Reactions
65 Replies
8K Views
Wakuu nimeanzisha biashara ya Duka rejareja na Saloon ya kiume. Changamoto iliyopo ni kelele za mke wangu. Pindi akijua na ku-access zilipo. Makelele yake yatapeperusha wateja wote. Maana...
24 Reactions
93 Replies
8K Views
Mpaka sasa bado sijakutana nao kabisa yaani maana mnalalamika sana kuwa wanawake wameweka pesa mbele ila siajua mpaka sasa wapo wapi maana nliowahi kuwa nao na nliekuwa nae hadi sasa naona wako...
4 Reactions
7 Replies
727 Views
Kutokana na vijana kukumbwa na kitu kinaitwa illussion Au kuzidanganya hisia unakuta kijana Anatumia pesa kubwa kuhangaikia ngono Ambayo inamletea ufakiri. Style zote za ngono Zipo kumfurahisha...
14 Reactions
115 Replies
7K Views
Back
Top Bottom