Habari,
Hata kama wanasema love is blind lakini hapa bro nahisi sio akili yake kwa ninavyomjua mimi nahisi kabisa ni juju limetumika hata Bi mkubwa nae alivyotambulishwa niliona kabisa...
Hello hello JF!
👇👇👇
Katika hali ya kuduwaza na kufurahisha, kitambo sasa nashuhudia wanawake wanaokuja ghetto kwangu kwa kazi maalumu ya kitume na kimaombezi nimeona kuna jambo linawafurahisha...
Wakuu habarini!
Nimekuja kwenu naomba nisaidiwe kimawazo na ushauri.
Hivi karibuni nilipeleka barua ya uchumba (posa ) na Mambo yalienda freshi tu. Kikao Cha kupangiana mahari makubaliano...
Wanaume wengi tunaamini pesa ndio kila kitu kwenye mahusiano, yaani ukiwa na mke na watoto unamini wakila vizuri, wakivaa vizuri, watoto wakienda shule nzuri Mama yao akipata mahitaji yote sijui...
Mdada ametuma text ananiuliza nipo wapi, nikamwambia nimetoka kazini mchana leo naelekea home. Akaniambia ana hamu na hii hali ya hewa tukanyanduane.
Nikamwambia basi akachukue room nimfuate...
Wakuu habari, bila kupoteza muda kwa miezi kadhaa sasa nimefanikiwa kuwa na mwanamke wa nje, na kwa sasa nimepata uzoefu ufuatao:
1. Sigombani gombani tena na mke wangu, hata kama akisema leo...
Natumai u mzima wa afya mke wangu, mimi naendelea vizuri sema niombee sana ukipata muda, haijawahi pita siku sijakuombea, hivi uko wapi?, unafanya nini?, tutaonana lini?, itakuwa wapi?,,mke wangu...
Habari ! Elon Musk ameamuka kutumia Artificial intelligence kujitengenezea mke wake. Hapa ndo tunasema anajitengenezea wa kufanana naye. Maana user requirement zote anazoitaji Yeye. Sijui Kwa Nini...
Joseph Moses ambaye ni dereva bodaboda mkazi wa Mbeya anakabiliwa na shtaka la kumtishia kumuua kwa maneno mkewe Irene Mwaikana huku chanzo cha ugomvi huo ni tabia ya mkewe ya kutoa chakula...
"Kipendacho roho hula nyama mbichi"
Kila mtu/ binadamu hufurahia tendo la ndoa anapokua na mtu ampendae.
Binafsi NALIA NGWENA ninapokua na date na msichana(mwanamke) wa hivi moyo wangu hufurahia...
Kwanza nianza kwa kuwalaumu waliogundua mapema hii siri kwa kukaa na hii (nywila) password kwa muda mrefu.
Iko hivi wewe mwanaume ukitaka kupendwa na watoto wazuri, wasafi wenye shape zao, watoto...
Baadhi ya vyanzo vilivyo sababisha kuondoka kwa furaha ya wanaume wengi na kupelekea kushindwa kujiamini kabisa
𝗣𝗨𝗡𝗬𝗘𝗧𝗢;
Mwanaume anapopiga punyeto anaiminya mishipa ambayo inasababisha kusimama...
Kila kukicha utasikia mikasa ya ubakaji na unyanyasaji. Hivi kwanini ufikie hatua ya kubaka? Una ugonjwa wa akili au unatumia bangi? Wanawake wamejaa na wametuzidi hata kwa idadi kwanini usiombe...
Fanya mazungumzo yenu yawe rahisi.
Fanya mnapokuwa pamoja iwe rahisi kwako na kwake.
Fanya ajihisi maisha yake ni rahisi akiwa na wewe. Simaanishi kifedha. Bali kihisia kwa kujiachia na kutokua...
Wakubwa na wadogo ninakuja kwenu kwa unyenyekevu mkuu nikiwaomba ushauri.
Binafsi nikijiangalia umri unakimbia sana kwa umri wangu huu kuna rafiki zangu wana watoto hata wanne ila mimi sina hata...
Za masiku! Hivi kuwa na mahusiano na mke wa jirani yako ni dhambi? Ni dhambi kwa sababu umezini!
Je, kulala na mwanamke asiye mke wa mtu ni dhambi? Kwa nini Yuda hakupigwa kwa mawe ila badala...
Hizi ni baadhi ya kauli za wavulana juu ya single maza "ukioa single Maza ukae tayar kuchapiwa", "single Maza sio WA mtu mmoja",,, "single Maza ana wakwe pande mbili na mawifi pande...
Habari wana jamvi
Nimeona niweke huu uzi asubuhi sababu mida hii ndo wenye nyumba huwategeshea vijana wapangaji wao wanaoonekana kujiweza kdg kiuchumi na kuwaelezea shida zao ili wawasaidie...
Wakuu kwema,
Niende kwenye mada. Aisee leo nimezunguka sana kwenye hizi pharmacy zetu za mtaani lengo tu nipate kununua kinga "zana" kwaajili ya shemeji yenu, lakini mpaka muda huu naandika huu...
Nimeona niilete hii mada, kwa sababu wengi huwa tunahisi ya kuwa maisha ni sasa, bila kukumbuka kuna ya kesho.
Kumekuwa na kawaida ya mahusiano mengi kuvunjika, ingawa kwa asilimia kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.