Hello guys samahani mimi ni kijana miaka 23 nipo chuo mwaka wa pili UDSM, nilikua na mwanamke wangu ambae tumedumu kwa miaka takribani 7 sasa tangu form 2, mwaka jana nilimpatia ujauzito kwa...
Mimi binafsi yangu siwez wasakama wanawake ambao umri umeenda na hawajaolewa naamin kwa fikra na hisia zao hawajapata mwanaume ambaye sio bora tusiwasakame na kuwachukulia kama ni wakosaji wakubwa...
Nashangaa sana kijana au binti anapelekeshwa na mapenzi kama gari bovu, lazima uwe na msimamo. Unapenda sawa lakini usikubali akili zote ukahamishia kwa mtu.
Unamtongoza mtu akisema hapana au...
Utapata/ itakuja kadri muda unavyozidi kwenda.
Utapata busara kadri muda unavyozidi kwenda.
Yote ina maana moja kwamba we usijali, muda upo. Endelea kusubiri mambo yatakua vizuri yenyewe.
.
Huo...
Kama unavyosoma hapo kwenye title, hiyo ni kauli nliyoambiwa na mke wangu wa ndoa na nimezaa nae watoto kadhaa copyright na mimi.
Kimsingi tunaishi mbalimbali muda mrefu sana kutokana na masuala...
Habari wakuu.
Inasikitisha sana mwanume upo serious na unasaka wife material wakuweka ndani ila unaambulia kukimbiwa kijinga kijinga tuu.
Nimejitahidi sana kutongoza mabinti wa kila aina ila...
Habarini wadau,
Ramadhan Kareem to all Muslim in here...!
Wewe ni mwanaume mfupi, Andunje, Nyadundo kama mimi, kwanini una kiherehere cha kuoa Mwanamke mrefu kukuzidi? Mwanamke akikuzidi urefu...
😁😁😁 Salaam jukwaa la MMU,
Nimeanza na kucheka maana demu unakutana naye mchana eti hajala, demu wa hivi ungekutana naye asubuhi si angeomba mswaki?
Yaani kisa ukali wake anajeuka kuwa yatima...
Hisia za mtoto ni sehemu muhimu ya maendeleo yake ya kijamii, kiakili, na kimwili. Ingawa uwezo wa kueleza hisia unaweza kuwa mdogo katika hatua za awali za maisha ya mtoto, wanapokuWa wanakua...
Aise wakurugwa, mlioweza mumewezaje....Leo asbuhi nimeamshwa na Kofi zito la mgongoni nikiwa usingizini...bila sababu yoyote..Mimi nikimlabua huyu mtoto wa baba mkwe huyu.
Nitajikuta Tena...
Katika viumbe ambavyo vinakazi kuviridhisha basi ni wanawake hasa katika suala la mapenzi wengi wanaigiza sana.
Ila katika viumbe rahisi kuridhika katika suala la mapenzi basi ni wanawake,yani...
Nikosa kubwa mwanamke kumtawala mwanaume na Mungu amekataa hili, soma 1timotheo2:12 (Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha Wala kumtawala mwanaume). Je, waislamu maandiko yenu yanasemaje kuhusu...
Habari wakuu,
Poleni na majukumu!
Leo toka asubuhi wife ameamka ameweka taarab tu tena kwa sauti kubwa!
Taarab zile za kina Mzee Yusuph na Jahazi, na nikifikiria kipindi ninachopitia naona kama...
Huyo mtajwa hapo juu popote mtakapo muona mwambieni Sifi Leo Nina mtafta Kwa wema tu.
Ni zaidi ya miaka kumi Sasa hatujaonana, simtafuti Kwa ajili ya mapenzi maana aliisha niachaga kitambo ila...
Nimechomeka tu pwaaaaah pwaaah
Nimechoka, nimechokaa nimechokaa..
Mwenzenu Nahisi Kuchoka Katika mapenzi. Siijui raha ya mbususu Kitambo sana. Nikichomeka tu pwaah Pwaah. Mademu niliwahi...
Halo wanawake,
Jishughulisheni wanawake na pia unachokipata wewe mwanamke ridhika nacho.
Mtoto wa kike usipotulia zitakazoumia ni sehemu zako za siri.
Hii ni taarifa fupi.
Mimi ninafanya kazi kwenye Halmashauri moja Mkoani Kilimanjaro.
Tokea nimeoa, tuna watoto 2 lakini mke wangu hajui specifically nafanya kazi gani na hahiitaji kujua, as far as nahudumia familia...
Hello family,
Mods please tupeni fursa tuseme kweli, kweli inaponya.
Let speak the truth, the truth be told. Hakika nasema katika kweli hasira na chuki hasa katika mawanda ya ndoa si bure kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.