Shukuru umeiona tena hii weekend.
Shukuru safari zako za wiki zilikua salama.
Shukuru kwa ulichojaaliwa kupata kwa wiki, hata kama ni kidogo.
Shukuru kwa kuwa upo salama sasa, japo sjui unasoma...
Waungwana natumai muwazima, wengi wenu naamin mmelala mida hii mwenzenu nimekosa usingizi kabisa, Ninakoishi tuko wapangaji watatu nyumba ziko tatu ndani ya uzio mmoja, Tuko mabachela wote mimi...
Habari wadau?
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza ndivyo ilivyo hivyo kama mjuavyo mimi sijaoa na wala sina mchumba, ila nina mpenzi.
Sasa mpenzi wangu huyu mpya ananishangaza sana, tukiwa...
Siku ipo nitatoa somo la ndoa ila ipo hivyo, mke wako na mme wako ni mwili mmoja wewe ni yeye damu moja ndio maana mnatumia mwili kupata watoto.
Ikitokea mama anaumwa na mke wako kwa wakati mmoja...
Wadau ipo hivi.
Nina jamaa yangu nafanya nae kazi. Mke wake ni mwalimu sasa mwanafunzi wa chuo kimoja hivi kikubwa hapa nchini
Kabla ya kwenda chuo mahusiano yao yalikiwa yamekaa vizuri kabisa...
Na hili nalo mkalitizame,
Inasemekana huyu binti amekuwa msaada mkubwa kwa mama yangu ndani ya miezi kadhaa iliyopita. Humsaidia mama kazi za hapa na pale, kumhudumia pindi awapo mgonjwa...
Kumekuwa na kawaida ya watu wenye mashaka na uhalali wa ubaba wao kwa watoto wao, kwa sababu mbali mbali, lakini wengi wao wanapata majibu ya kuwa wao ni baba halali wa watoto hata kama baba ana...
.........salamu........
Kwanza tangu uhuru sijawahi na sitawahi kuitegemea serikali ya nchi hii... hakuna ilichofanya kwangu kama favor. Ni hakiyangu na ninastahili.
Sina uchungu nabandari wala...
Sweden imepitisha ngono kama sehemu ya Michezo na itaandaa na kuwa mwenyeji wa Mashindano ya kusimamia kucha Huku Ulaya..
My Take
Uhuru wa Mwanadamu ukizidi unakuwa kufuru na upumbavu..
=======...
Habari..
Nilicho kuja kugundua kwa hawa mabinti wa kilokole wanaojiona wafia dini, nyuma ya pazia wanapenda sana kunyanduliwa ipasavyo .
Bint utamuona ni mlokole haswa mbele ya jamii na mbele...
Haijalishi unajishawishi kichwani kiasi gani kwamba we ni wa tofauti.
Haijalishi unajiona we ni wa tofauti na unaotumia nao muda mwingi.
Lazima mwisho wa siku uwe kama wao, kama unavoendelea...
1. Anapenda kujishika nywele, kidevu, mikono, shingo na mashavu kila wakati
2. Anapenda kulamba au kung'ata lips mara kwa mara
3. Anapenda kupost picha au video zenye msisimko wa kingono mara kwa...
Kijenetiki watoto wa kiume na kike huzaliwa kwa idadi sawa, lkn watoto wa kiume hufa wengi kabla ya kufikisha miaka 5.
Watoto wa kiume wakiwa wakubwa wengi huingia kwenye kazi ngumu au hatarishi...
Kuna demu unapendana naye saana mpaka mkawa Na mpango wa kuoana lakini kwa bahati mbaya demu anasau ahadi zenu zote Na kwenda kuolewa Na mwanaume mwingine
Ukiwa katika stress za kuachwa mdogo...
Nilimuambia brother huyu mke wako nitamla ILa brother alikuwa mbishi na kiburi kwa sababu anasema mke ni mwaminifu nikasema bwana mke wako mbona ananitega? Kwasababu akienda bafuni anaenda na...
Hello getlemen and ladies i'm coming ti you once again for another request but this mostly for only mind girl mostly beutiful girl but even there man or boys who love mteremko it si fine na...
Ukiwa huna Pesa ni vizuri kukaa single lakini ukiwa na Pesa kukaa single ni vizuri kama kijana amabaye ana Malengo na yupo hatua. za Mwanzo za kujitafta
Kwani ukitaka kupima Kama unakopesheka au...
Hello dears just want to share something with you about my love life.
I have grown up to 29 years old now and the worst thing is I have never seen love yaani sijui utamu wa mapenzi sijawahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.