Hiyi si stori ya kusadikika ni stori ambayo imemtokea jamaa yangu, picha linaanza jamaa yangu kafungua duka la vifaa vya ujenzi katika kuuza uza, akafanikiwa kujenga, nyumba kubwa tu ya...
Ni yule asiyekupiga mizinga na haji kwa wakati pale unapomhitaji au ni bora yule anayekupiga mizinga na anakuja kwa wakati pale unapomhitaji?
Nikimaanisha huyu anakuja kwa wakati akijua kuna hela...
Huwa nashangaaga sana mtu kapigwa vizinga ama kazungushwa sana halafu siku ya siku dem kaamua au kabananishwa kutoa mzigo, Mtu anajisifia nimekamua sana nimemkomoa, hivi upo serious kabisa...
Mimi ni kijana wa miaka 29 kama kawaida kilo zangu hazipungui ni zile zile 96, Kibonge flani hivi, mweusi, Kitambi cha kufutia simu (Utambulisho tu)
Naombeni ushauri jamani. Kuna mdada Nimetokea...
GRAND P ARUDIANA NA MPENZI WAKE
Mwimbaji tajiri wa Guinea, Grand P amedokeza kurudiana na mpenzi wake Mwanamitindo kutoka Ivory Coast, Eudoxie Yao.
Staa huyo amechapisha picha katika ukurasa...
Mke mmeshashindwana kwa kila namna; kiuchumi hamuendi, kisocial hamuendi, kinidhamu n.k hamuendi, yaani ni tabu tupu na umeshafanya maamuzi kichwani ya kumrudisha kwao mara baada ya mavuno maana...
Hodi hapa, nitakuwapo kwa muda na pakinipendeza nitabakia hapa. Kule kwenye siasa naona kichwa kinaenda mbio. Nimerudi iliko mioyo. Leo nimekutana na kisa. Hiki kisa cha leo kimenifanya nije hapa...
Poleni na majukumu wana wa Mungu!
Nimekuwa kwenye mahusiano na binti fulani hapa chuoni kwa kipindi kama cha mwaka mzima mpaka sasa.
Mwanzo nilimuona ni binti mstaarabu na asiependa makuu kwani...
Imebainishwa kuwa WANAWAKE wengi wembamba ni watalamu wa mapenzi kuzidi wanawake wanene, hii inatokana na tafiti mbalimbali zilizofanya na watalamu wa masuala ya mapenzi kama wakina Leticia...
Wasalaam,
Jamani hii dunia Mungu aliumba watu, nilikuwa na demu wangu huyu demu alikuwa anajua kila kitu ninachotaka kufanya hasa kama nina mpango na demu mwingine, aidhq atajua huyo demu ana...
Asee twende moja kwa moja kwenye mada,
Kuna mwanamke mmoja nilikutana naye kipindi fulani, alikua ni cheupe, wale shombe, mtoto haelezeki ukimuona lazima udate. Sasa nikamuelewa japo majirani...
Walianza na wazee "sugar dadies", wakatuon vijan wote kwa kpnd kile hatun maana huku wakiwasifia kua wanajua kuhudumia na wanajali af sio pasua kichwa km hawa wa maji ya moto. Wakaanz kubadilika...
Habarini wapendwa.
Wadau, Mke wangu kapata kazi Taasisi moja ya Kiserikali lakini Kapangiwa Mkoani (Shinyanga). Tupo na watoto wawili sasa, mmoja ni mdogo ananyonya (Mwaka mmoja). Sasa nina...
Kichwa cha habari kinajieleza.
Ni kama mara ya tatu au ya nne kwa hizi pisi zimekuwa zikimwaga sifa kuwa the way nawapa kichapo cha mjegeje. Ni vile hawajawahi pata kipigo cha namna hiyo hapo...
Anyaashimikaa (greetings in Korean)
Familia bora ninaweza kuitengeneza nje ya kufunga ndoa yaani kuo? Mimi niwe mkweli tu, mpaka umri huu mabinti wengi hasa wa sasa ni makanjanja tu.
Sisi...
Wakuu salama hapa
Hii ndoa yangu ya mbalimbali ina changamoto sana
Mimi naishi mkoa flani ambako napiga harakati za hapa na pale na mke wangu yupo mkoa wa jirani ameajiriwa huko
Tumefunga ndoa...
Wanaume/vijana wa kiume tumekuwa dhaifu sana kwenye suala la mapenzi.
Mwanaume unaenda kukutana na mwanamke kwa mara ya kwanza halafu wewe mwanaume ndo umejawa hofu na wasiwasi kuliko mwanamke...
NALIA NGWENA sukari ya Cute Wife nasubiri jibu kutoka kwenu wanajamii Forum (kijiwe nongwa) maana Nina Jambo langu.
Je ni sahihi kumuhudumia mwanamke (mpenzi) wako anayeishi kwao kwa
kila kitu...
Habari za leo. Siko vizuri sana katika kuwasilisha jambo katika hadhara ila acha nijaribu.
Kuna mwanaume tumpe jina Leki na mwanamke tumpe jina Siah. Leki alikutana na Siah mwaka 2019. Kipindi...
NJIA NYINGINE 10 ZA KUMTAMBUA MWANAMKE ASIYEFAA.
1. Mwanamke ambaye anaweka picha Facebook akiwa nusu uchi, akionyesha yeye Makalio yake, Nk. MWANAMKR HUYO NI MALAYA! JIHADHARI!
2. Mwanamke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.