Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Vijana wa Kiume wengi wanapenda Sana kuanzisha mausiano na mwanamke kisa ni mzuri, Ana takle Mara mwonekano wa weupe yote sawa Ila kuweni na Akili Acha kabisa kutongoza mwanamke maskini Kama...
48 Reactions
238 Replies
13K Views
Wanawake mnatupasua sana kichwa mara matumizi mara kasheshe na vituko kibao lakini kubwa zaidi mmetubambikizia watoto wasio wetu, wengine ndio kwanza mpo kwenye huo mpango wa kuwabambikizia wenzi...
2 Reactions
2 Replies
582 Views
Habari zenu ndugu, majirani zetu na marafiki tusiofahamiana nje ya JF kama tunapatikana humu, isipokuwa wachache wanaofahamiana JF na nje ya JF. Poleni na mihangaiko ya kutwa nzima na wale ambao...
12 Reactions
101 Replies
3K Views
Habari za wakati huu, ndugu zangu, wakubwa kwa wadogo nyote njooni hapa kutoa maoni yenu. Kwa masikitiko makubwa kuna wimbi kubwa sana msimu huu wa shule zilipofungwa la mabinti wadogo kudanga na...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Hoja za kizushi kwa mwanamke Umewahi kujiuliza kwa nini semina za kisasa zinataka ustaarabu wa ndoa uishie nje, mkiwa chumbani hakuna ustaarabu? Yaani mnapotaka kutiana vurugu zifanyike; romance...
73 Reactions
124 Replies
18K Views
WAKUU POLENI NA PILIKA PILIKA ZA TETESI ZA BANDARI YETU KUUZWA....... Twende direct kwenye mada tajwa hapo juu, Nipo kwenye mahusiano na binti fulani hivi kutoka kanda ya...
13 Reactions
102 Replies
6K Views
Mie nipo single Kisa napenda kweli mpenzi wangu halafu yeye harudishi fadhila kwakweli . Sasa kama upo kama mie njoo tufarijiane halafu kama unahonga hurudishiwi fadhila njoo ufarijike hapa kama...
15 Reactions
219 Replies
8K Views
Wakuu, habari za mchana?, natumaini wote mko njema! Kuna siku nilileta uzi humu, uliosomeka; 'nimeutua mzigo mzito jana usiku'...
8 Reactions
246 Replies
9K Views
Kwanza niweke wazi mimi Binafsi Sijafunga Ndoa ila kuna mwanamke naishi nae yapata kama miaka 2 (Uchumba sugu), Ninayoyazungumza ni experience yangu tu binafsi yale ninayoyapitia hapa kwangu...
26 Reactions
73 Replies
5K Views
Habari ndugu zangu.. Nafupisha sana, na jamaa yangu mmoja ameoa single mama pasipo kujua baba wa mtoto wake ni nani japo mwanamke alimwambia jamaa kuwa baba mtoto bado yupo hai kijijini kwao...
5 Reactions
36 Replies
3K Views
Siku hizi limekuwa jambo la kawaida sana kwa baba kuwa na uhusiano wa kimapenzi na binti yake wa kumzaa mwenyewe Tatizo ni nini wakuu? Ni tamaa za kingono au kuna sababu za kishirikina nyuma yake?
5 Reactions
142 Replies
14K Views
Habari za majukumu ndugu zangu, nipo hapa kuomba ushauri wa kimahusiano natumaini ntapata majibu ya hiki kinachonitatiza. IPO HIVI Miaka miwili nyuma niliwahi kuzoeana na mdada mmoja, kiumri...
8 Reactions
41 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu Mm ni kijana wa kiume, katika maisha yangu huwa nashaanga sana kuona kwamba watu huwa wana date. Unakuta mwamaume na mwanamke wako kwenye mahusiano wanaonhea zao na kufanya yao...
18 Reactions
198 Replies
8K Views
Lengo la kuandika uzi huu, naamini kabisa wanajamii forum mlio karibu na the Tanzania sweaty heart (Wema Sepetu) mumfikishie ujumbe huu baada ya juhudi zangu binafsi kugonga mwamba na kuona kabisa...
14 Reactions
172 Replies
9K Views
Amani iwe nanyi, Naomba mnialike rasmi kwenye jukwaa la huba, mgeni wenu natokea majukwaa jirani hapo, hususan Ajira na Tenda. [emoji28] Basi, nisikuchoshe, kuna kisa kifupi nitasimulia lakini...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Kumekuwa na hii trend, mwanamke anamwambia mume,mchumba au mpenzi wake mambo yake aliyofanya zamani hasa mahusiano. Ivi niwaulize wanawake unaponiambia mim mwanaume kwamba umewahi kuwa kwenye...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Muda huo nikiwa darasa la nne saa nane hiyo nimetoka shule narudi nyumbani.kama kawaida nikafika chumbani tua begi la daftari na kuanza kupekenyua viporo vipo wapi huku namuita Dada wa kazi...
3 Reactions
17 Replies
24K Views
Bila Shaka utakuwa umegundua hii ni mizoga ya makinda ya ndege fulani! Kwa mtazamo wa kawaida utaungana nami kuwa kifo chao kilitokana na kutokuwepo kwa Mama yao! Yamkini mama alienda kutafuta...
20 Reactions
28 Replies
2K Views
Picha linaanza unamtongoza anakukubalia, zinapita siku mbili anakuomba hela kiroho safi unampatia, hujakaa sawa baada ya siku mbili mbele kipigo kingine. Unasema kwakuwa ni mtu wangu ngoja...
20 Reactions
87 Replies
5K Views
Nafikiri hili ni kundi hatarishi zaidi kwa ndoa ama mahusiano, kwa mimi mwanaume katika vitu navyoviepuka sana ni kuruhusu ukaribu wa rafiki zangu ama hata kakayangu na mkewangu, yaani mkewangu...
16 Reactions
37 Replies
4K Views
Back
Top Bottom