Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Baada ya Kupita pita kwenye mitandao ya kijamii mbalimbali Kwa lengo la Kuona ni Kwa ukubwa gan hii kampeni ya Kataa Ndoa imefikia, na kundi gan la Vijana linaloshadidia hii kampeni , nikagundua...
26 Reactions
77 Replies
4K Views
Inauma sana. Hebu piga picha , Wewe ndo umetongoza, Wewe ndo umepeleka posa na pesa kiasi kwenye bahasha, Wewe ndo umetoa mahari, Wewe ndo unaanda sherehe, Mke unamkaribisha nyumbani kwako, Wewe...
14 Reactions
77 Replies
6K Views
Kutojiamini inajionesha kwenye tabia yako. Hata kama ulijificha lakini matendo yako yataonesha tu hujiamini. Na kama ulipata mwanamke anaweza kukuacha au kukusaliti. Sababu unaonesha tabia za...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Mwanamke anaposema tuachane tuachane mara kwa mara maana yake nini? Ugomvi kidogo tu tuachane halafu unamuona usoni kabisa anamaanisha.
12 Reactions
122 Replies
21K Views
Habari wadau wa Forum hii,nami naomba kushare machungu niliyowahi kupitia katika mahusiano baada ya kupata ujasiri kwa shuhuda za watu humu JF! Waswahili wanasema ukijua matatizo ya mwenzako...
53 Reactions
345 Replies
25K Views
Mke wa doctor amemfumania mume wake kituo cha kazi (cha afya), akiwa na mchepuko, Huku mchepuko akilala utupu kitanda cha mgonjwa kama mgojwa. Ili achepuke na doctor.
10 Reactions
183 Replies
18K Views
Leo week ya pili nimeshindwa kabisa kupokea simu ya Baba mkwe na Mshenga wangu. Iko hivi katika misoto yangu na kukulu kakala za maisha atimae nikajikuta nimedondokea kwa mtoto wa kichaga Kama...
60 Reactions
208 Replies
29K Views
Hawa malaya wamevimba sana mtaani na viduka vyao vya nguo, gari zao za passo na simu macho matatu mnavyowapatia huko. Na wakiwa wanaulizana na mashangingi wenzao wanasema "ni yupi shosti...
2 Reactions
12 Replies
989 Views
Natumai hamjambo wakuu. Jana nikiwa nimerejea toka kazini tukawa tunapiga stori na wife aliniuliza "hivi mume tumewezaje kumaliza wiki ya 3 sasa bila kukwazana? wakati mara nyingi hata wiki hua...
5 Reactions
97 Replies
12K Views
Ngono kabla ya ndoa ni ubatili, ni ubatili mtupu. Ngono inakupeleka kwenye muunganisho wa kina. Unaunganishwa kwa kemikali na mtu ambaye labda hautawahi kumpenda au ambaye hata sio mzuri kwako...
11 Reactions
72 Replies
3K Views
Jamani naomba wenye uzoefu wenu katika mahusiano na wataalam wa psychology ya binadamu tuelezeani uzuri na ubaya makundi haya mawili ya wanawake. Binafsi naangukia kwa mke /msichana mwongeaji...
12 Reactions
127 Replies
29K Views
Salute Comrades! Kuna hii ishu ambayo imenifikirisha sana mpaka nimeona niilete kwenu wadau mnipe mawazo yenu. Yupo mwanamke mmoja ambaye anafanya kazi ya kuuza bidhaa mbalimbali kama vile...
3 Reactions
104 Replies
5K Views
Habari za muda huu wana jamvi. Natumaini wote tu wazima naomba mchue dakika chache kupititia uzi wangu huu kuhusu ujana wangu ili mpate kunisaidia kimawazo. Mimi ni kijana wa miaka 28 sasa...
5 Reactions
60 Replies
4K Views
Wakuu, Kijiwen nnakopata riziki kwa mbele kdg kuna kijiwe Cha bao na draft huwa wanapaki bodaboda, Nikiwa Sina kazi huwa napenda kukaa pale Kupiga story na kubadilishana mawazo na vijana. Kuna...
22 Reactions
86 Replies
6K Views
Changamoto za ndoa zimekuwa nyingi sana sababu ya kesi za ugumba. Mume analalamika mkewe hashiki mimba kumbe kamuoa binti akiwa above 28 binti kashakula sana p2 huko nyuma. Kina Dr Mwaka...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Sikuwepo mkoani kwa miezi kadhaa, nimerudi Jana usiku nimekuta mke wangu ana mimba ya kama miezi mitatu, kumbuka sijakuwepo for more than six month. Sitaki kumuuliza lolote kwa sasa
9 Reactions
143 Replies
18K Views
Wasalaam, Jana nimepita starpark Morogoro nikiwa natoka DSM kurudi Dodoma nimempigia demu wangu mmoja bahati mbaya yupo kilosa, sasa bhana si nikaingia starpark kula vyombo nikawa natupia Hanson...
19 Reactions
61 Replies
6K Views
Huyu ni mwalimu wangu alie tufundisha somo la hesabu tukiwa form two. Ni madam ambaye alijaaliwa uzuri wake alikua mweupe kapanda hewani na anabonge la shepu yaani sijui hata kwa nn alikua mwalimu...
6 Reactions
33 Replies
4K Views
Huwaga naskia stori kwamba kwenye fumanizi ni heri upewe kichapo kizito sana kuliko uachwe uende kwa amani. Kuna kisa ambacho kimetamba sana ila nadhani ni stori ya kijiweni tu nadhani wengi...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Vijana ndo wnawaharibu na kuwakataa, wakishawazalisha wanaanza kuwaponda (single mothers) Wakishachovya chovya huku na kule wanaleta skendo za kuoa bikira. Kulingana na mazingira/maisha...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom