Hivi ndivyo ilivyo kuwa kuna siku moja nikiwa kwenye ofisi moja ya serikali. Nikiwa napiga story na mama mmoja ambaye yupo kwenye kikundi cha kufatilia watu wenye virusi vya UKIMWI wakati napiga...
Kitaa ndoa nyingi zina migogoro kwa ‘ishu’ za kukurupuka. Kufanya papara bila kufahamiana vizuri. Kuna vitu vya msingi watu tunapaswa kufanya lakini tunavipuuza. Ujuaji mwingi na kuishi kimazoea...
Kwenye ulimwengu wa mahusiano kuna mtindo saivi kwamba wa kwanza kumpotezea, kumchunia au kumuacha mwenzake ndo mshindi, sio mtindo mzuri ni utoto.
Kama kweli mnajaliana mtaongea na kusuluhisha...
Unabanwa haja ukiwa baa au klabu, unaenda ili ujisaidie unafungua mlango lakini haufunguliwi. Baadae anatoka mwanaume na mwanamke.
Hii imekithiri sana hapa Bongo.
Aise hata salam sitoi.
Yani kuna wanawake wame umbika mpaka usipokuwa makini unaweza kujikuta umemwaga ubongo hata kabla hujaingiza kunako katikati ya uvungu wa mapaja.
Mwanamke na mshepu wake ...
Huwenda umeshawahi kusikia kuhusu umuhimu wa kushiriki tendo la ndoa asubuhi na ukashangaa lakini ni kweli kuna faida za kufanya tendo hilo kwa afya yako na wataalamu wanasema ni moja wapo ya...
Nataka uhusiano wa kweli. Ninataka mazungumzo ya kweli, sio tu mlolongo wa maandishi. Ninataka kuwa na uwezo wa kuelezea hisia kwa kila mmoja, sio kutuma jumbe za kunakili kwa toka kwenye mitandao...
Wasalaam waungwana. Amani ipitayo akili na fahamu za binadamu iwe pamoja nami.
Tangu nioe nina mwaka wa kumi sasa ndoani. Wakwe zangu ni wakarimu sana na wacheshi mno. Ni marafiki na washauri...
Kuna story nyingi sana kwenye mahusiano, mtu akishaishi kidogo tu na mpenzi wake basi kashamchoka anataka kumtema na kupata mwingine.
Wengine wanachokana baada ya siku, wiki, miezi, miaka nk na...
Kabla sijaoa nilikua na maisha mazuri sana, hela ilikuwa inakaa mfukoni, laki tatu inakaa hata miezi mitatu kwenye chakula, sikuwa mtu wa mawazo ya usumbufu wa kudaiwa daiwa vitu vya ndani kifupi...
Hali zenu waungwana!
Nina kijana wangu wa kwanza, kuna kazi alifanya sasa ametuletea wazazi kiasi cha pesa kama zawadi! Akafika, tukaketi barazani na akaanza kueleza lengo la ujio wake.
Mwishoni...
Ndugu zangu,
Ijumaa iliyopita mume wangu mtarajiwa alileta watoto wake (wetu) walale kwangu ili Jumamosi nikawafanyie shopping ya mavazi.
Jumamosi nikawawafanyia watoto wetu shopping hadi hela...
Mko salama waugwana,
Leo naandika uzi huu niki regret lakini pia natoa somo kwa vijana.
Kwakua sina mke na nimeacha kuamini katika mapenzi, ila kuna demu najikuta moyo wangu kama umenasa kwake...
I'll keep this short... as short as a lunch break 'quickie' with that slim sexy secretary nextdoor.
Iko hivi, mwanamke yoyote yule hapa duniani ana tamani kuwa 'dominated' mara kadhaa au mara...
Hasira ni hisia zilizoshindwa kujikabili baada yakufanyiwa au kufanyika kitendo kinachoaminiwa si cha kiungwana kwa mtendwa au mtendewa.
Hasira ni hisia kama namna tumejifunza kuwa hisia ni...
Majuzi nilileta thread kuhusiana na faida ya ndoa kwa mwanaume tajiri ni nini, nashukuruni kwa michango yenu.
Nina ka story kadogo cha demu fulani hivi niliomtokeaga 2018 hapo kalikuwa kamemaliza...
YAMENIKUTA UKWENI
Shangazi'enu aliniomba nimpeleke hom kwetu akaonane na bi mkubwa, nikakataa KUTOKANA na sababu BINAFSI lakini baadaye alipokaza uzi, nikaona acha nimpeleke.
Ile tumefika...
Ndoa kiroho ni agano.
Unaposaini cheti cha ndoa au unapoingia agano hilo kwa makubaliano mengine yoyote unatakiwa ujue unachokiingia.
Siku hiyo unasaini hati ya
Kufanikiwa kwako au kufeli...
Wakuu,
Morogoro ndani ndani uko kidg
Miaka kama 6 ilopita niliwahi kulima mpunga na mahindi sana, sasa Kuna familia flani ilkuwa ikinisaidia Sana kazi za shamba.
Ile familia
Mume na MKE na watoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.