Nawasalimia kwa pamoja ndungu zangu wana JF.
Muda mrefu umepita nimekuwa nikiwaza sana kuhusu jambo hili lililonitokea tarehe 11/9/1990. Kila nikijaribu kumwambia mtu moyo unakataa nahisi kwamba...
Binafsi nilijitahidi sana kuwa kijana mtulivu na nisietaka makuu..
Lakini nilipofikisha umri wa miaka 18 nikasema liwalo na liwe sasa nimekuwa natakiwa nianze mahusiano ya kimapenzi. Nitafute...
Kakubambikia mimba
Kakubambikia mtoto
Umeshindwa kuprovide child support
Kakushitaki
Umefungwa miaka 5
Umetoka
Umekwenda partenity court
Imethibitika mtoto si wako
Naye anakiri anamjua baba wa...
Hii inawahusu wanawake wote walioolewa ambao ni wachoyo wa tendo la ndoa na waume zao.
Lady mpe tu haki yake mumeo kila anapohitaji, usimnyime kabisa.
Mfanye mumeo asiwe mtu wa kuchelewa...
Nimehamasika kuandika mada hii kutokana na mada ya jamaa anayeomba ushauri kuoa nyumba ambayo baba ni mchawi kisha ni mshirikina.
Nyumba yoyote inayoabudu ushirikina na uchawi tambua hiyo ina...
Kwanini unakuta unamtongoza mdada na unampenda kweli, ila anakukatalia ila muda umeanzisha mahusiano mengine analeta hisia za wivu au kutaka kukuharibia wakati yeye alikuwa kataa
Huwa mnafanyaje katika hali kama hii.
Uwezo wa kuhudumia mke na mtoto mmoja upo lakini ukisema usubiri ujichange hadi uwe na mahari inayotakiwa ni parefu. (1,000,000)
Je ni sahihi kuomba...
Wanawake mumemsikia Pastor?
=====
Mchungaji Anthony Lusekelo almaarufu Mzee wa Upako anasema ni ngumu kukuta mwanaume hana mchepuko na kueleza kuwa kati ya wanaume 100, basi 90 wanayo...
Kuna watu huwa wanapendwa na mapepo (roho chafu) hadi wanafikia hatua ya kuungana kimwili na roho hizo.
Hakuna kitu duniani chenye wivu mbaya zaidi ya mume au mke wa kiroho, ukifanya mapenzi...
Nakumbuka nikiwa mgeni ndani ya mji wa morogoro/mji kasoro bahari nilipata mchumba(mwanamke) mtaani nilipokuwa naishi, panaitwa Mafiga. Yule manzi alikuwa anakuja geto, sometimes analala lakini...
Kuna wale wanajionaga mafundi wa mapenzi sababu ya mionekano yao,uzuri au fedha zao wanajiamini kwamba wanajua kuacha hawajui kuacha,ila baadae hujaga kuwa wasumbufu.
Nakumbuka nilikuwa na demu...
Habari, naleta uzi kwenu kupata mawazo ya wengi baada ya rafiki yangu kuniomba ushauri.
Iko hivi, huyu jamaa alitongoza dada flan kipindi cha nyuma yule dada akamjibu kuwa ana mpenzi na...
Huu wimbo wa Nimekuchagua Wewe - Bob Rudala kwenye harusi yangu kanisani nitawambia wanipigie huu,hata kama wataurudia mara 1000 ni sawa tu.
Huu wimbo ukipata binti ambaye mmpendana kama Romeo...
Habari Mkuu!
Ilikuwa ndoto yangu kubwa kuwa mwekezaji mkubwa katika taifa langu. Ndoto hiyo ya muda mrefu sasa inaenda kutimia.
Miaka miwili iliyopita nilikuwa kwenye Project moja ambayo...
Ni kastori ya kabinti kamooja.....
Leo nimeamini..,. Ni ngumu saana kwa baadhi ya mabinti kuonesha hisia zao wazi kwa mwanaume wa Ndoto zake....
Nilikutana na huyu binti humu humu Jf...
Salaaam!
Nimekaa muda mrefu nikitafakari namna ya kufanya ila kabla sijachukua maamuzi yoyote ikiwa ni pamoja na kumuweka hadharani muhusika kwa ajili ya manufaa ya wengi naomba nielezee kidogo...
"Unapo oa au kuolewa unaapa upendo na kutarajia maisha ya furaha kwa wakati ule na ujao, ingawaje mambo yamekuwa tofauti kwa siku za hivi karibuni".
Anasema Rodney Simmons, mwandishi wa masuala ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.