Kiukweli kwakua Leo nilikua maeneo ya kigamboni na usafiri wangu nikaona niende KIMBIJI nilisikia beach zake kumetulia sana hakuna fujo, yes nikaenda na mwanangu mmoja hivi kiukwel Pako vzur japo...
Last three years bro alikuwa anaenda kutoa mahari kwa kabila moja huko Kanda ya Kaskazini. Ni bro wangu wa damu kabisa baada ya yeye ndo mimi. Hivyo tukachukuana kwenye usafiri hao mpaka huko...
Nina mpenzi ambaye naona kuna tatizo japo yeye hayuko wazi kunieleza ukweli.
Tatizo kubwa ni mawasiliano,ni kwamba mm siku zote namtafuta yeye,mara moja moja anapokea simu,mara nyingi...
Habari za muda huu wakuu,
Kiafya siku poa, Ila nashukur muumba kwa kunipa nafasi ya kuendelea kuwa hai😔
Kuna muda unaweza kupitia magumu+aibu Hadi kuhisi ukimya au sehemu iliyokimya ndo sehemu...
Habari wakuu
Nina kama miezi miwili tangu nilipo rejea kutokea nchi jirani ambako nilipokuwa nikiishi, niliondoka nikiwa mtoto mdogo sana na baada ya miaka ipatayo 8 hatimaye nimerejea.
Jirani...
Wapendwa hbr za jioni?,Poleni kwa majukumu ya siku nzima.Bila kupoteza Muda nianze kwanza kwa ku declare interest kuwa mimi ni Muumini wa dini ya Kikristo,Kanisa Katoliki.Hivyo ninapenda sana...
Mwanamke aliyegonga vichwa vya habari nchini Brazili baada ya 'kuolewa' na mdoli wa viraka ambaye mama yake alimtengenezea anadai kuwa mpenzi wake amemsaliti kimapenzi kwa mara nyingine...
Nauliza kwa nyie wanawake,ikiwa umegundua na kuthibitisha kuwa mumeo aliwahi kuwa au yupo katika mahusiano ya jinsia moja.
Je, utamchukulia hatua gani,ikiwa anakupenda sana na kukujali na kwenye...
Habari za jioni wakuu!
Baada ya kuondoka humu kwa muda mrefu hatimae nimeamua kurejea tena….niliwamiss.
Naomba msipite bila kusema neno hapa,
Kwa Wale mliochoka magumu ya ndoa au mahusiano ya...
Mimi kiukweli na mahusiano ya watu wawili yaani na wachumba wawili ila nilivutiwa na bwana mmoja hivi basi tukaanza text za hapa na pale . Sikujua kama ameoa . Hadi hiyo siku mke wake...
Salamu tumewaachia Wazanzibar wakesha vibarazani.
Aisee kama una mwanamke mwembamba usije kumkorofisha, kwasababu wengi huwa na hasira sana na vinyongo vya hatari!
Unaweza kuchukulia poa lakini...
Mwanaume au mwanamke mwenye Imani za kishirikina au mwanaume/ mwanamke mwenye kujifanya mlokole sana. Mara mia adui unaemfahamu kuliko usiyemfahamu.
Sishangai takwimu za maambukizi ya VVU...
6 secret code
Ugomvi mkubwa katika kila mahusiano ni kushindwa kushirikiana, na sababu ni umimi au ubinafsi ambao utachukua mimba na mimba ikiisha kukomaa huzaa Magonvi makubwa na mwisho...
Wakuu,
Tangu wiki ilopita nmetofautiana na MKE Wangu mamaG, chanzo Ni mm mwnyw na upuuzi upuuzi wangu, kujitia ujuaji mwingi, kutokufuata ushaur wa MKE wangu mpk nmeyaharibu mambo.
(Sio cheating...
Ilikuwa Saa 8 inaenda saa 9 usiku, weekend, nimekaa zangu Getto usingizi sipati nikasema ngoja nitoke niende town.
Basi bhana nikaenda club moja hivi inaitwa The Boss ipo Mianzini Mataa (Arusha)...
Habari Za humu ndani wakuu?
Natumaini wote ni wazima wa afya ukiachilia mbali changamoto za kijamii zinazotukabili, kama vile Mgao wa umeme na maji, binadamu tuache ukaidi wa kuharibu vyanzo vya...
Habari za humu wanaForum,
Kwanza kabisa nitoe pole kwa watanzania wote katika msiba huu mzito wa rais wetu mstaafu Benjamin WIlliama Mkapa. Niende moja kwa moja katika suala langu labda nitapata...
Juzi tu nimetoka tabora
Ni baada ya kitambo kirefu Nimekuta tabora imebadilika
Katika sehemu zote nyingi za starehe Terrace lounge imekaa uzuri sana
Pale ni pazuri na pana hadhi nzuri
Kuna...
X wangu kawa single mother na kampatia mwanae Jina langu, mwaka 2014 ni mwaka nilipata KAZI ya kuajiriwa ya Serikali, kabla ya kupata ajira nilipitia msoto wa kibabe Sana, pamoja na marehemu baba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.