Hivi nyie wanaume mliopo kwenye mahusiano kweli unashindwa kumzawadia mpenzi wako au mke wako kweli? Yaani mtu unamzagamua utakavyo unashindwa mpea hii[emoji3][emoji3] basi mpe hata sumsung nzuri...
Habarini,
Nilikuwa na mke tuliependana sana kwa muda wa miaka 9. Mwanamke alibadilika na kuondoka, alinichenga sana alipo mpaka sasa ni miezi 6 hataki kuwasiliana, nami ameamua kudanga.
Nataka...
Eid el Fitr njema ndugu Waislamu.
Naomba niwe 'short and clear', kijana liheshimu mno jando lako. Ukiweza, oa akili na TAKO, ukishindwa basi katika michepuko yako yote hakikisha hukosi mwenye...
Wakubwa shikamoni na wadogo wote hamjambo..
Niseme jambo langu, nimeanza na kujieleza kuwa nimekulia familia ya ibada - Mkristo. Kitu cha kwanza nilichogundua katika maarifa na hekima niliyopata...
Siku ya leo nimefuatwa na rafiki yangu kipenzi kuniomba ushauri juu ya mpenzi wake.
Rafiki yangu ni mwajiriwa wa kiwanda cha cement na amepanga kufunga ndoa na dada mmoja msomi wa chuo kikuu na...
Habarini wanajamvi.
Nimegundua kuna biashara moja akitokea mwanamke au hata mwanaume akaamua kuifanya itamlipa sana. Mimi niko bize siwezi anza kukimbizana nayo ndo maana nasema mchepuko...
MAZUNGUMZO:
Ongea kuhusu mambo tofauti tofauti yanayohusu mahusiano yenu (Mazuri na mabaya, yanayo jenga na yanayo bomoa, yatakayo imarisha afya ya mahusino yanu au yatakayo dhofisha afya ya...
Wife karudi analalamika kuwa salon aliyokuwepo kuna mwanamke kaongea shit. Na kaongea shit mbele yake pasipo kujua.
Mwaka juzi mwezi May nlimwagizia wife Nissan Dualis baada ya kuwa analalamika...
Wanawake wanadharau sana. Eti ananiambia kisa mimi mfupi gharama yake ili angalau anifikirie fikirie nimnunulie bia 6! Dah, nilishangaa sana! Kununulia bia sio tatizo, ila hiyo sababu aliyoitaja...
Ni rafiki yangu anakiri laivlaiv.Kwake Anadai utamu wa papuchi hajui ni upi ndiyo maana anachelewa hata kumwaga.
Anadai kuwa anaweza kwenda hata Lisaa BIla kumwaga sababu hasikii chochote zaidi...
1. Mwanamke mpumbavu.
Huyu huwafundisha watoto wake kutomheshimu (wamdharau) baba yao.
2. Mwanamke mwenye hekima. Huyu huwafundisha watoto wake jinsi ya kumheshimu baba yao.
Je wewe ni mwanamke...
Jioni ni njema kwangu. Natumai hata kwenu ni njema. Ila kwa mabinti wenye umri wa miaka kuanzia 25+, jioni hii si ya furaha kwenu. Najua mnayopitia wanangu!
Kwa kujua huko, nimetafakari na kuamua...
Hali watu wazima!
Mimi nimeoa huko. Na mbaya zaidi nimeoa Machame, na tunazeeka pamoja tukiwa na watoto na wajukuu kadhaa.
Kifupi wanaume acheni udhaifu, mwanamke anakushindaje? Kuwa na misimamo...
Mwenzenu huu usinglemom ulinikuta chap Kwa haraka. Yaani bila kutarajia mtu niliyemwamini na niliyekuwa na malengo nae alinigeuka. Nikisema iliingia kwa bahati mbaya nitakuwa nadanganya tulipanga...
Tukiachana na mapenzi (ngono), mwanaume anaweza kuishi bila kumtegemea mwanamke.
Mwanaume anaweza kuishi kwa kujitegemea kuanzia level 0 (hana ajira, hana mtaji, hategemei mtu) na akasurvive...
Goodmorning good people.......
Hopin y'all are really fine.....am just great...
Now BACK TO THE MAIN ISSUE
Leo for some reasons but nimeamka nawaza hii kitu......
Dhana ya kuwa HOUSEWIFE NA...
Habarini wana jamvi MMU, natumai mko poa kabisa.
Hivi in kauli gani chafu na kejeli unayoikumbuka kutoka kwa Ex wako kiasi kwamba ukiifikiria unajisemea mwenyewe kimoyomoyo "hii ng'ombe ikirudi...
Wakuu,
Kichwa kinajieleza. Wamakonde wanasika kwa haya mambo, sasa namtafutia manzi wangu kungwi wa uhakika aongeze ujuzi.
Mambo ya jando na unyago yapo kwenye makabila machache sana ikiwepo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.