Ukiona mtu yuko kwenye ndoa miaka zaidi ya mitatu basi..
Itoshe tuu kusema ndoa inahitaji uvumilivu
Ndoa ikikosa uvumilivu ni kama vile mikono na miguu kwenye gari vishindwe kuelewana, mikono...
Nami kwa kweli kama huna gari kali hata usinisemeshe. Maana tutatoka out itafika mida ya kutaka kuondoka akili yako inahama inaanza kuwaza kugombea daladala au mwendokasi. Sitakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Nimezaa na mwanamke fulani hatukubahatika kuoana akapata bwana mwingine ambae pia wamezaa kabla nilikua namuona mtoto wangu nitakavyo lakini baada ya ndoa alibadilika nkitaka kumuona mtoto anatoa...
Mademu wengi nakutana nao wananing'ang'aniza nimwagie ndani. Wanapenda sana. Nadhani kuna raha wanapata... Ila sasa nawaambia mapema kabisa. Habari za kusema. "nina mimba yako" nitakuambia iwache...
Vijana wengi kwa sasa mtizamo wao ni kwamba kuoa ni mpaka 30 yrs huko, hapa katikati ni katika kutafuta pesa za kuja kutumia na huyo mke utayemuoa at 30. Tupo sahihi kweli? Na wakati huo unayemuoa...
Ni Jumatatu njema! Mfungo mwema kwa ndugu Waislamu!.
Vijana mimi huwa nawachora sana! Nawaangalia tokea mbali mno mnavyodanganyana kuwa ukioa muda wowote utakaotaka tendo basi ni kufunua tu sketi...
Wakuu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni kijana mdogo niko kwenye early 20's. Nategemea kuoa kwa mara yangu ya kwanza na nimebakiza mwezi mmoja kabla ya kufunga ndoa.
Je, nini...
Hate That I Love You"
Yeah, yeah
Yeah, yeah
That's how much I love you (Yeah)
That's how much I need you (Yeah, yeah, yeah)
And I can't stand you
Must everything you do make me wanna smile
Can I...
Nina ex wangu tuliachana miaka 8 iliyopita ila tuliachana kwa wema sababu ya umbali kijiografia, hatukugombana.
Leo nimemuomba tupashe kiporo amekubali kwa moyo mmoja na tukapanga na venue kabisa...
Yaani anapenda tu kumuonea pasi na sababu. Yaani akifika tu malangoni, mtaa wote unafugumiza harufu ya pombe bila kusahau maneno machafu machafu
Akiingia ndani anamkunyuga mateke na makofi ya...
Iko hivi, nina Manzi yupo grocery, anauza vinywaji.. sasa huyu Manzi mimi kanitunuka fresh fresh, na najua manzi ananielewa sana
Sasa ninefika location hapa nakutana na mwamba tumejuana juzi juzi...
Kwanza samahanini wakuu naombeni msaada hapa nilipo nipo nipo hospitalini baada ya jana kula kipigo cha mbwa koko baada ya jana brother mkubwa kunifuma porini nikimla mke wake wa huko mjini dar e...
Ungependa kuongozana na mkeo, akiwa kavaa nguo ndefu zilizomsitiri mwili wake? Au ungependa kuongozana na mkeo, akiwa kavaa nguo zimembana au zimemuacha nusu uchi, huku wanaume wenzako wakimsifia?
Boss ashampoo niliyumba kibiashara hapo kati kati mimi miaka mingi toka 2013 nakaa posta tu kisutu. Baada ya kuyumba kidogo nikahamia uswahilini nje ya mji, pia niliwapa story ya shemeji yenu...
Habari!? Kumekuwepo na ongezeko la wadada wengi ambao hawako kwenye ndoa ila tayari wana watoto, wengine wanaishi nao na wengine wamewapeleka vijijini kwa wazazi, unakuta anayehusika kwa malezi ya...
Kumuhudumia Mwanamke mmoja kwa kumpatia mahitaji yake yote sio shughuli ndogo achana na hilo muziki mwingine ni kukidhi haja zake na matamanio yake ya kimwili kuhakikisha kabisa unampandisha na...
Enyi wazazi na wana ndugu wenye watoto wa kike ambao mnataka mtoto wenu aje kuolewa na mwanaume mwenye kipato na kazi nzuli kuanzia leo acheni huo ubabazazi fundisheni watoto wenu kutafuta pesa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.