Kwa wenye uzoefu kwenye hili mshee mawazo, inasemekana mabinti wengi wenye umri huo hawataki ku-settle kwenye ndoa au serious relationship, ilhali kwenye huo umri ndo wapo kwenye hot season/prime...
NALIA NGWENA huwa nachoshwa sana na hii kauli ya kwenda kufikiria na unakuta kipindi anakufikiria vocha, bills za umeme na mengineyo anakupiga vizinga.
Kama mna kwenda kufikiria kwa Nini mnaomba...
Mwanamke ni kama ua, lisipotunzwa linapoteza mvuto kabisa. Hivyo usidanganyike kuolewa na mchovu akaanza kukulaza chini kwenye mkeka, mnakaa sakafuni, mnapikia kuni au jiko la mkaa mpk kucha...
Hii tabia ya mume na mke kuishi chumba kimoja inachangia sana migogoro kwenye ndoa.
Kujambiana 24/7/52 sio mchezo. Ndo maana michepuko mapenzi yanakuwa matamu.
Kutokana na uzoefu kama Mungu...
Kuandika ujumbe ndefu si kawaida yangu kwa huyu mtarajiwa wangu. vijana haya mambo si ya kupuuza hata kama unaongea nae kila siku lakini jumbe kama hizi anakuwa nazo na atarudia kusoma mara kwa...
Mpaka sasa najiuliza hivi ni mimi kweli nimefikia hatua ya kupelekwa puta na pisi.
Wakuu nipo Mwanza kuna pisi moja matata rangi nyeupe imenipiga ganzi nikienda kupata huduma kwenye moja ya...
Kuna Mambo mengi ambayo wanawake hufanya, kupendeza wachumba /wapenzi wao ili kupendwa zaidi. Baadhi yao hata hupotezwa na mapenzi wanapotia juhudi ili kuhakikisha kuwa amekaa. Lakini sio lazima...
Yaani kuna watu humu wanaandika mambo mpaka unajiuliza huyu naye ana demu? Aliwezaje mpata demu wake? Alitumia maneno gani kumshauri demu atoe nguo?
Maana kichwani ni empty kabisa. Unawazaaaaaa...
Kwa uzoefu wangu mdogo tu katika mahusiano kwa umri wangu mdogo wa miaka 50+ kuna mambo ambayo nimeyagundua ambayo huwa yananifikirisha sana.
Shughuli zangu za kikazi hunifanya nisafiri kuhama...
Heri ya sikukuu tukufu ya Eid el Fitr dugu zetu Waislamu.
Salamu pia WanaJF wengine wote.
Asububi hii nimeamua niamke na hivi vibinti na akina dada wa hapa Dar es Salaam.
Jueni kwamba sisi...
Ndoa Ina gharama yake kabla ya kuwa ndoa wanawake wengi hawalipi hio gharama at first baadae wanapostuka wanataka kufanya janjajanja wanaishia kupigwa tu na wengine kuishia kuwa single mother...
Nachojua tendo la ndoa siku ya kwanza lilikuwa na heshima zaidi endapo binti alikuwa ni bikra, ila kwa sasa hali imebadilika sana, ni mabinti wachache sana utabahatoka kuwakuta na bikra original...
Akiongea katika Kipindi kizuri na kinachoelimisha na ambacho GENTAMYCINE ni Balozi wake wa Kujiteua Kilazima kiitwacho Mazungumzo ya Familia cha Radio One Daktari Bingwa wa Saikolojia Dk. Charity...
Nina jirani yangu ana mke wake wana mtoto mmoja wa kiume miaka 2 hivi. Jamaa mkimya sana na mke wake ana ukimya wa kuigiza akiwa na watu wengine lakini akiwa na jamaa hasa hapo nyumbani huongea...
Ni mwanangu Sana, yaani mshikaji tu wa kushare nae mawazo mbili tatu, Basi akanidekeree ( kunipigia simu ) kunichana wazi kuhusu maelekezo wake ( mchumba wake )
amefuma meseji zake akimpiga...
Assalamu alaikum wa rahmatullahi wa barakatuh. Wanawake warefu weupe kwa huku ni nilipo ni adimu sana.
Unaweza kumkuta mrefu ila mweusi, mweupe ila mfupi ama lah ni mweupe na anaonekana mrefu...
Nipo hapa kwa mchepuko wangu, ameniomba angalau nije nile pilau la sikukuu hapa nyumbani kwake.
Baada ya kufika hapa kwake, amenipokea kwa bashasha sana; baada ya kufika mlangoni tu...
Habari zenu wakubwa kwa wadogo,
Nina jambo linalonisumbua kwa muda mrefu sana, kiukweli nimebaki na msimamo japo naumia moyo nishaurini jamani.
Mimi nina tatizo Moja ikitokea nipo kwenye...
Leo nimejaribu kukagua nguo zangu zote, karibia robo tatu zimepauka na zimepoteza mng'ao wake; nikawa najiuliza, hivi ni mimi equation x ndio huwa navaa haya mavazi?
Ama kweli, pisi kali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.