Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Nilikuwa naangalia wazazi majirani zangu kwenye mitaa ambayo nimekulia tangu utotoni kama sample space(jaribu na wewe). Nimegundua Kwa asilimia 99% wote bado wapo pamoja. Ndoa zao zimedumu kipindi...
3 Reactions
11 Replies
891 Views
Wakuu nawaamkua. Wakongwe naamini tunapaswa kumshukuru Mungu kwa uzima na afya. Kwa muda sikuweza kuwepo humu lakini hekima, busara na elimu ambayo niliipata humu sitoweza kuisahau kamwe. Bado...
2 Reactions
14 Replies
924 Views
Nipo tayari hata kuambiwa kuwa haya ni maneno ya mkosaji. Hali tuliyofikia, inachekesha sana aisee. Wanaume, wanaume, wanaume... Tupunguzeni kujishusha Yaani unakuta mwanaume anajitutumua kurusha...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
NATAFUTA MKE WA KUOA. Jina Flavian. umri 34. Dini Mkristu. Kazi N/jiajiri. Kimo 5.3"ft. Uzito 66kg SIFA ZA MWANAMKE ANATAKIWA KUA. Umri 28-35 Dini Mkristu Kimo 5"ft...
0 Reactions
4 Replies
552 Views
Mimi ni mfanyabiashara ambae bado na hustle kufikia ndoto zangu nilizojiwekea ila nataka ushauri kidogo. Mtu hustler kama mimi mwanamke ambae atanifaa kwa future yaani ntakae kuja kumuoa, awe...
4 Reactions
37 Replies
2K Views
Ni kijana msomi au sio msomi ila anajitambua kila nyanja. Ana kipato kizuri, ni God fearing Person, anajua kukaa na jamii yake na kujishusha pale ikibidi. Mpole na ana upendo wa kweli, sio mtu wa...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Closed
Hallo wataalamu, Tafadhari rejea kichwa! "Nini kinapelekea umauti kwa kila ninae fanya nae mapenzi !" Mwanamke nikilala nae, hapitishi mwaka anakufa. Wataalamu, humu kuna wazee wenye uzoefu na...
11 Reactions
73 Replies
3K Views
Habari ya mda huu!! Nina swali la kuhusu mahusiano kwa nn wadada kati ya umri 17-20 katika mahusiano wanakuwa na mambo mengi? Inayopelekea kutokuelewa ukweli na kua na jeuri, ujuaji,ubishi n.k?
4 Reactions
3 Replies
480 Views
Wiki iliyopita nilienda kiwanja fulani angalau kupata moja baridi kidogo, ili kuondoa misongo ya mawazo katika utafutaji. Baada ya kupata huduma, nikasema sasa ni muda muafaka wa kwenda...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Kama picha inavyo jieleza
3 Reactions
35 Replies
3K Views
Hivi inapotokea wanandoa mmegombana na mwanamke akahama chumba akawa analala na watoto hataki kurudi kila ukimbembeleza. Rafiki yangu kaniomba ushauri nimsaidie njia ya kufanya nikaona nije...
5 Reactions
31 Replies
4K Views
Karibuni kwa siku kuu ndugu zangu.. Wanawake wanao wajibu wanaume vibaya pindi wanapo tongozwa mwisho wao huwa mbaya sana na wengine wanaishilia kuwa single mama. Amini na waambieni Unakuta...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Kama umetuma nauli Na mwanamke hajaja ghetto basi wewe ndio mwenye makosa Na sio mwanamke ambae hajaja ghetto. IPO namna ya kutuma nauli ambayo uki I apply mwanamke lazima aje ghetto. ( HAPA...
80 Reactions
260 Replies
22K Views
Mchezaji wa Manchester City Benjamin Mendy alimbaka msichana mmoja kisha akamwambia "ni sawa, nimefanya ngono na wanawake 10,000", mahakama imeambiwa. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28...
2 Reactions
3 Replies
809 Views
Wakuu MUNGU NI MWEMA HATA SASA Nina rafiki yangu mmoja ambaye tumeshakuwa kama ndugu sasa. Maana tokea tuko secondary mpk chuo tumekuwa wote mpk ndugu zake nao walishaniona kama ndugu yao tu...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Moja kwa moja kwenye mada... Baada ya kukaa kwenye mahusiano kwa muda mrefu na wanawake tofauti tofauti sasa naamua kuoa nitulie zangu nikiusubiri uzee hapo baadaye, lakini inapokuja swala la...
2 Reactions
122 Replies
5K Views
Huwa unamchukuliaje mpenzi wako anapokuambia tutasex baada ya kufunga ndoa/kuoana? Hivi jambo hilo lina faida yoyote? Jamaa yangu ananilalamika kila siku anadai mpenzi wake anakataa kutoa mali...
5 Reactions
44 Replies
3K Views
Wakuu habari, Kwenye kukua kwangu nmekutana na baadhi ya vitu ambavyo ni 'unique' (upekee) tofauti na ilivyozoeleka. Kuna hili la baadhi ya wanaume kuvaa pete kwenye kidole gumba cha mkono (Ring...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
"Huyu kaka tulifahamiana tangu nilipokuwa form three, tulikuwa na ukaribu tu wa kawaida hatukuwa na mahusiano yoyote kwa kipndi hicho, lakini siku zilivyozidi kwenda nilianza kumpenda kutokana na...
10 Reactions
84 Replies
6K Views
Ndugu habari Direct kwenye mada, ndugu zangu kuna kijana naishi naye karibu sasa ni mwaka mmoja. Ilikuwa hivi nilipohamia huku vijijini baada ya kuletwa huku kutokana na makosa ya ulevi...
5 Reactions
62 Replies
3K Views
Back
Top Bottom