Kama kichwa kinavyoeleza.
Kumekua na kasumba au dhana fulani ambayo imejengeka katika jamii kuwa kuna watu ukiwa nao kwenye mahusiano basi wanaweza kukusababishia mikosi au nuksi..
Hii...
Kutokana na utandawazi, karibia robo tatu ya warembo kwa nyakati hizi huwa wanavaa shanga kiunoni au ata miguuni; wao wanaita urembo.
Ingawa wao wanavaa wakiamini, huwa zinawapendezesha na pia...
Habari.
Kiukweli wengine tunamshukuru hata kwa uhai tulionao.
Mwanamke niliyekuwa nae mwanzoni nilimpenda na nimetumia gharama nyingi kwake.
Kikweli nawapongeza wanaume waliopata wanawake wenye...
Wanajamvi poleni na harakati za hapa na pale.
Jamani nakumbuka hili tukio mpaka saivi ilikuwa 2020 ndo nimetoka kambi-jkt nipo zangu nyumbani pale bomangombe nikamuona Dada kama 23 years mambo...
Hiki ni kitu cha kawaida kweli au jamaa kachanganyikiwa, nikimpigia simu kila siku anauliza wewe Nani? Hii hali nikaona ni dharau tena kubwa Sanaa Nikajaribu kumuuliza kwann hausevu namba yangu...
Kesho ni mkesha wa chako ni chako Kawe kwa Mwamposa njoo na maombi yako 12 Mungu anakwenda kufungua yale yaliyo magumu maishani mwako.
Maombi yangu maalum kwa Mungu ..Tuwe na ndoa njema zenye...
Kama mjuavyo makazi ni Kerege Sasa kutokana na umbali kwenda kazini (Posta mpya CBD) nikaja kupanga chumba tena kimoja maeneo ya Kinondoni Studio.
Basi, nikapata mchepuko wa kupunguza ashki...
Huyu mrembo niliye naye, ananichanganya sana, mpaka uwezo wa kufikiri kuna wakati huwa unapungua kabisa; kumbe kupenda sana ni ugonjwa.
Kuna siku nilileta uzi, 'nimeutua mzigo mzito' lakini baada...
Wakuu niliamua kwa mara nyingine kujipa kazi ya kufanya "Utafiti" katika maeneo ya "Massage Parlour" katika jiji la Dsm na vitongoji vyake. Raha ya utafiti wa aina hii ni kujivika "uhusika" haswaa...
Nimeolewa mwaka wa Saba mwanaume hakuna maendeleo na pesa anapata zinapoenda anajua mwenyewe. Akinunua vitu vya ndani anajiona kafika.
Kazi kulalamika apelekewe maji bafuni kwenye ndoo badali...
Hii chai imefanya niwe na nyege sana, hii chai imefanya niwe nachelewa kazini, hii chai imefanya niwe namnyandua wife kwenye kila kaupenyo kakijitokeza Sebuleni, jikoni hata nje hasa kwenye meza...
Mwanamke kwangu ni huyu..
1: Awe na akili inayo chaji, ajielewe, mwaminifu, awe msikivu, mtii na kunipa heshima yangu
2: Awe na k inayoteleza haswa sio mi maji ( kunatofauti ya maji na utelezi)...
Leo nataka tuzungumzie wale wanaume wanaoa vibinti vidogo, nawaambia tu kuwa mateso yanawangoja uzee unapoingia, kwani huyu mwanamke anakuwa bado anahitaji ila mzee nguvu kwaheri.
Ni heri ukate...
Kuna vijana wa hovyo sana nchi hii. Utakuta mijitu imeweka kijiwe nje ya lodge/guest house inapiga stori zisizo na kichwa wala miguu.
Hivi nyie mmekosa mahali pa kwenda mpaka mje mkae hapo nje...
Kuponya vijana wa siku hizi .
Huu ni ukweli usiopingika.
Ewe kijana Kama demu wako, mpenzi wako, mchumba, mwanamke wako au mke wako hataki kuongozana na wewe barabarani achana nae kabisa haraka...
Mke ni kitu cha thamani sana sio kila mwanamke ana deserve kuwa mke wengine wabaki kuwa barmaid, stripper na sexworker. At the same time sio kila Mwanaume anapaswa kuwa mume wengine Wabaki kuwa...
Kulikuwa na wakati, katika mji mdogo wenye mandhari ya kuvutia, ambapo maisha yalikuwa yakipita taratibu. Katika mji X huo ndipo mimi sasa nilikuwepo kijana mwenye moyo wa upendo na ndoto za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.