Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
MUWE wachumba, muwe ndani ya ndoa, tendo la ndoa lina umuhimu wake. Kwa namna moja au nyingine linakamilisha maana nzima ya mapenzi. Ni kama vile kachumbari kwenye pilau. Si kwamba pilau haliliki...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Tukubaliane duniani kote kwa sasa kuna changamoto kubwa sana ya Mapenzi ya kweli, ndani ya miaka 20 dunia imebadirika kwa kasi sana kimatendo, hisia, busara, na namna watu wanavyochukuliana...
3 Reactions
4 Replies
764 Views
Maisha ya ndoa ni mazuri Sana Kama mtaelewana,japo mapungufu yatakuwepo lakini ni kawaida. Yanafanana na pedeli ya baskeli.Siku mke akiwa juu,mume kubali kuwa chini na mume akiwa juu mke kubali...
12 Reactions
31 Replies
2K Views
WHO BENEFITS FROM MARRIAGE? He's 68 years old. Retired pensioner. Worked all his life to raise his kids. Deprived himself of life's pleasures to pay expensive school fees and living expenses...
11 Reactions
79 Replies
4K Views
Nilikuwa kwenye mahusiano na dada mmoja mrefu (aliyenizidi), mwenye shepu yake. Kusema kweli, amejaliwa kwa kiasi fulani. Nimekuwa naye kwenye mahusiano kama miezi miwili hivi. Changamoto...
33 Reactions
314 Replies
17K Views
Huu si utapeli huu. Nimekuwa kwenye mahusiano na mmama mmoja, anayejishughulisha kwenye mambo ya biashara mbalimbali. Kusema ukweli tumefaidiana sana; ukiwa naye utapiga mpaka wewe mwenyewe...
6 Reactions
81 Replies
4K Views
Habari ya wakati huu Katika pitapita zangu za hapa na pale za kutafuta mke nimekutana na binti wa kipare na mlokole ambae tulipotezana muda mrefu sana , kiukweli binti yupo single/ haja olewa...
9 Reactions
27 Replies
2K Views
Leo katika Kipindi Bora duniani cha Mazungumzo ya Familia cha Radio One ambacho GENTAMYCINE ni Balozi wake wa Kujiteua Kilazima Daktari wa Saikolojia Genius Charity Xavier Johnson na Kaka yangu...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Mimi nakumbuka siku ya kwanza kula denda ilikuwa hatari sana, nilihisi kizunguzungu nilikosa mawasiliano kwa muda. Mdomo wake ulikuwa na ladha kama ya maji yenye chuma chenye kutu, nilijisikia...
15 Reactions
222 Replies
52K Views
Mwanzoni mwanamke anakuwa bado hajajiwekeza sana kwako, hasa miezi mitatu ya kwanza. Bado atakuwa anaangalia aendelee na wewe au la. Bado anakusoma kama atapata usalama kwako au la. Kama nawe...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
KWA WANAWAKE TU: NJIA 10 ZA KUMTAMBUA MWAMUME ASIYEFAA. 1. Mwanamume mwenye kundi la marafiki wa kike na hasa ikiwa anawaita dada zake. DADA JIHADHARI! HUYO MWANAMUME NI MALAYA! MFUTILIE MBALI...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari waungwana, Huwa nakata tamaa sana na mwanamke wa ki afrika anaye jipiga carolyte ili afanane na Mzungu, hawajajua labda thamani yao. Kitu walichofanikiwa wazungu ni kumfanya mwafrika...
3 Reactions
45 Replies
6K Views
Habari wakuu poleni na majukumu. Mume kaenda safari kikazi akamuacha mkewe nyumbani akiwa katika maandalizi ya harusi ya mdogo wake akiolewa Sasa kukawa na party. Mume alishamueleza mkewe...
6 Reactions
168 Replies
8K Views
Wake za watu wengi hupatwa na hili tatizo chamzo ni migogoro
1 Reactions
5 Replies
588 Views
Walikuwa wananiambia oa nawaambia bado kwanza hawaelewi kwa nini kumbe mwenzao natafuta pesa kwanza, vijana wengi siku hizi wanaowa wakiwa bado hawana hela Halafu wake zao tunakuja kuwala sisi...
11 Reactions
54 Replies
3K Views
Mapenzi uumiza, ushawahi jiuliza inakuwaje amani imetawala, bata unazila, mapenzi yamenoga alafu ghafla mpenzio/mwenza wako anakuambia "mimi na wewe basi". Zipo sababu za kujifunza kuyaepuka haya...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Kama tittle inavyojieleza waungwana nimeguswa kupepesa juu ya hili swala.Kisa kama hiki nimekifuma mahali.Mke anakunywa mme hanywi.Chakustua zaidi mke anaenda kulewa huku anamwacha mumewe nyumbani...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Nazungumzia ile kutegeneza fitna,zengwe na figisu Fulani ili KUVURUGA mahusiano ya watu, ili Wewe upate nafasi ya kumsogeza karibu umtakae au kumtuliza yule umpendae[emoji2] BINAFSI ILIKUA...
39 Reactions
473 Replies
29K Views
Kwema ndugu? Nakumbuka nikiwa chuo mwaka wa nne, kuna binti ambaye alikuwa ni mrembo, ila alikuwa na urembo wa kawaida si wa kutisha sana.... Ajabu naye alikuwa so picky ikija ishu ya wanaume wa...
16 Reactions
104 Replies
4K Views
Moja ya kosa kubwa tunalofanya wanaume ni kutowapa sifa wanazostahili hawa mabinti wazuri, ukweli wazuri wengi huwa wanaringa na inakua ngumu kuwapata maana wana masharti na vigezo vingi. Kama...
20 Reactions
130 Replies
9K Views
Back
Top Bottom