Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Habari zenu wana JF katika jamvi. Naomba ushauri wenu jamani. Miaka mitatu iliyopita niliwahi kuwa katika mahusiano na demu fulani hivi hakika nilimpenda sana ila ikafika tamati yetu tukaachana...
4 Reactions
69 Replies
3K Views
KATIKA hali ya kawaida, tumezoea kuona watalii kutoka mataifa mbalimbali duniani wakija nchini kuangalia vivutio vya utalii vilivyopo. Baadhi ya vivutio hivi ni Mlima Kilimanjaro, mbuga za...
0 Reactions
126 Replies
40K Views
Wasalaam JF, Ulikuwa ni mwezi uliojaa raha na mapenzi motomoto. Kipekee kwangu nilianza na penzi la mdogo akafuate msambaa, Kisha mpare baadae mchaga, baadae mmeru, baadae mbugwe, finally...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakubwa kwenye jf hasa wale wenye uzoefu wa kutunza nyumba ndogo au wanaotunzwa kama nyumba ndogo, ni faida na hasara gani zinapatikana kiuchumi na kijamii kwa ujumla. Nawasilisha hoja
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Nimeshangaa sana. Penzi ni kitu cha Kumnyima Mtu Kweli? Mpeane Mapenzi na Mfurahie. Inashangaza mtu anakuwa tu na roho mbaya, roho ya kichoyo na kibinafsi. Mtu kaja kakuomba penzi. MPE. si...
5 Reactions
49 Replies
2K Views
Habari wakuu Baada ya vuta nikuvute ya mimi na huyu binti nilietokea kumpenda sana, hatimae kanifungukia na kusema eti Hata kama tungebaki mimi na yeye kwenye hii Dunia abadani hawezi kuwa namimi...
26 Reactions
318 Replies
15K Views
Wanaume huvutiwa na tabasamu la mwanamke na sio mavazi yake. Hivyo hakikisha unalivaa tabasamu kama unahitaji kumvutia mwanaume yoyote umtakaye na sio kuvunja kabati, kazi bure.
17 Reactions
72 Replies
3K Views
Mtakubaliana nami hapo zamani karibu kila mwanamke kabla hajafika miaka 23 ashaolewa. Kwa nini kwa sasa wanawake ishazoeleka wanazeeka bila ndoa ?
0 Reactions
21 Replies
1K Views
Habari ya uzima ndugu Wana JF,, poleni na majukumu ya kila siku. Nimempenda binti wa kimasai naniko tiyari kwenda kwao kufanya taratibu za kuoana. Ugumu unakuja kwa kaka zake hawataki dada yao...
9 Reactions
67 Replies
3K Views
Anaandika Robert Heriel. Wanawake wengi waliokosa malezi na kufundwa wameingia katika tabu na madhila makubwa kutokana na kujilinganisha na mwanaume. Hilo ni kosa kubwa mno. Kosa ambalo wengi...
13 Reactions
35 Replies
3K Views
Wanandoa hamjambo? Nataka niwape hekima kidogo kuhusu ndoa. Kama haukwaruzani na mwenza wako ni hatari. Ni somo pana sana ila kwa kifupi, mkwaruzano ndani ya ndoa husaidia kustawisha ndoa...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
Habari.. katika shughuli zangu nimekua nikikutana na huyu binti kila mara nilimchunguza chunguza akaniambia yeye ni mbulu , tukawa tunapeana salama tunapo kua tunakutana na ninavaa ukauzu sitaki...
14 Reactions
55 Replies
7K Views
Ikiwa tu unajijua huna nguvu za kifikra na kihisia,zenye kuweza kukusaidia kuhimili nyakati ngumu pale zinapokutokea katika misukosuko,kuachana,migogoro,falaka nk. Narudia tena kama huna nguvu za...
17 Reactions
68 Replies
4K Views
Nina miezi sita sina ajira wala kazi na hali yangu ya uchumi ni mbaya mno, sina hata pa kuhemea. Juzi nimekutana na mdogo wa rafiki yangu, tuliishi wote huko Arusha, dada ni mjamzito anasema...
8 Reactions
68 Replies
3K Views
Katika harakati zangu za moja na mbili na utafiti mchwara niliofanya bila kufata vigezo vya kisayansi na kiutaratibu wa utafiti wowote ule nimeweza kugundua yafuatayo; ~ Wanawake wengi hawana...
32 Reactions
301 Replies
10K Views
Sasa nipo serious kidogo , So siitaji keroo. Nauliza tu hivi kwa hawa wanaume wanaokupenda , wanakujali halafu mwisho wa siku wanawivu mno sana , ukiwa sehemu hii nimekuona , wapi sehemu fulani...
8 Reactions
71 Replies
2K Views
Kwa sisi wanaume tunaoendela kutafuata msingi mzuri wa maisha, tujitahidi kukaa mbali na hawa wanawake haswa linapokuja kwa maslahi ya mapenzi. Nimepiga hesabu tokea 2020 mpaka sasa takriban...
19 Reactions
60 Replies
4K Views
Habari za wakati huu, Nakumbuka miaka kadha wa kadha iliyopita nilipata kumpenda sana binti mmoja na kuweka ahadi nyingi sana za kumuoa, kiukweli nilijitoa kwa kila hali kuhakikisha ananawiri...
45 Reactions
209 Replies
11K Views
Kiuhalisia nikiwa kama mmoja ya hao watu wanao changia mapenzi kuwa magumu ni hivi. Kuna wimbi la vijana wakike kwa wakiume wakilalamika ugumu wa mapenzi na heri wabaki kuwa singo maana mapenzi...
10 Reactions
26 Replies
2K Views
Kama kichwa cha khabari hapo Juu Kinavosema, nimeoa nina mke na mtoto mmoja Ila hii ndoa nahisi Kuanza kuishindwa kwasababu ya GUBU la mke wangu. Nimejaribu kuongea nae mara kadhaa ila sio...
14 Reactions
76 Replies
5K Views
Back
Top Bottom