Ndugu wanajukwaa wenzangu hivi karibuni nilitembelea jiji la Tanga, Ila niliona yafuatayo ambayo kiukweli ni ya kipekee.
1. Ukifika tu ukitoka demu bodaboda aliyekubeba anakuuliza aweje umbo...
Neno mapenzi si geni masikioni mwa mtu mzima mwenye akili na utambuzi.
Licha ya umaarufu wa neno hilo lakini hakuna hata mmoja ambaye ameweza kutoa tafsiri sahihi ya neno hilo ambayo itakubaliwa...
Wiki iliyopita kuna rafiki yangu mmoja hivi nafanya nae kazi, sasa baada ya muda wa kazi akanivutia waya kwamba niende kiwanja flani yupo na Manzi yake na huyo manzi yake kaja na Pisi kaliii...
Mwanaume mwenzangu ikiwa una suala tata na mkeo - haijalishi ni mwiba jinsi gani - lijadili naye na kulimaliza kwa amani. Usifanye ujinga wa kumpa kichapo.
Kwa kawaida sisi binadamu uwezo wetu...
Siku hizi na sumbuliwa na tatizo la gas tumboni sasa kuna rafiki yangu mmoja ambaye alinishauria niwe natumia pilipili manga inasaidia saana kuondoa tatizo hilo.
Kwa hiyo mimi nikatafuta pilipili...
Tokea mke wangu aniende kwa mtaalamu pasi na mimi kujua, pombe imenikataa kabisa
Niliamua kutafuta mbadala ya pombe. Nilijaribu soda, juisi za viwandani hadi juisi za kienyeji. Zote ziligonga...
Wakuu kijana wenu nimekwama.
Mwaka Jana mwanzoni nilimpa ujauzito mdada ambaye tulikuwa kwenye mahusiano Ila hayakuwa serious.
So Yule Dada alikuja kupata ujauzito na nikamwambia asitoe nitalea...
Habari ndugu zangu, naishi Kigoma, nina lafiki yangu wa kike alifunga ndoa na mwanaume mmoja hivi toka wameona mwanaume hajawahi kushiriki tendo la ndoa na hana uwezo kabisa.
Wameishi miezi 3...
Kama mwanamke amekuzidi miaka si chini ya 20 na sio ndugu yako usimuamkie mwambie tu mambo au za saa hizi imetoka hiyo
Mwanaume wewe ni kiongozi na kusema shikamoo ni kama unamwambia nipo chini...
Tufanye kwamba factors nyengine zote zinafanana kati ya mwanaume mfupi na mrefu isipokuwa kimo cha urefu pekee.
Mwanaume mrefu mfano akiwa futi 6'2 ana uwezo wa kuvutia wanawake wengi kimapenzi...
Wakuu habari,
Bila kuwapotezea muda kilicho nisibu ni hiki hapa;
Baada ya miaka 15 ya ndoa nikiwa ni mtumishi idara ya elimu nimejikuta napata ajali kazini kwa kupunguzwa kazi katika sakata la...
UBINAFSI NA UTAPELI WA SISI WANAUME NDANI YA FAMILIA
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Niliwahi kuandika hapa, unaweza kupitia👇Wanaume tuache Ubinafsi
ukitaka familia yako ianguke basi moja Kati...
kamwe haumuumizi mwanamke.
Kuwa mwangalifu sana unapomfanya mwanamke kulia, maana Mungu huhesabu machozi yake.
MWANAMKE
alitoka kwenye ubavu wa mwanaume
SI kutoka kwa miguu yake ili akanyagwe...
Wakuu leo bwana nikasema niushangae huu mji ambao hauna hela na maisha yakiwa makali mno.
Katika pita pita zangu nikakutana na binti mweusi pee yaani toto kiuno kama nyigu nywele kaziachia...
Kina kitu sikielewi, Urafiki.
Kwani urafiki maana yake nini na upo kwa sababu zipi, na ili watu waitwe marafiki wanatakiwa wawe wanafanya nini? Au wanatakiwa wawe katika hali gani?
Inaumiza sana. Kwa nini wanawake hawadumu na mimi? Wana matatizo gani lakini? Wanawake wa siku hizi hawafai yaani ukisema tu uutue moyo.... Yeye ameshaliamsha anasonga mbele.
Mimi wa kuachwa...
Anaandika, Robert Heriel
Acheni kabisa, yaani kuna mtu kwenye mahusiano ukiachana naye hesabu umekula hasara ya Maisha. Achana na hawa wajingawajinga wanaowaza uchi wao, uchi kitu gani bhana...
Iko hivi,
Nna jamaa yangu mmoja wa karibu hasa kwenye maswala ya biashara,familia,viwanja vya starehe na huzuni Hadi kwenye mambo ya Michepuko huwa hatufichani.
Sasa jamaa yangu ana Mchepuko...
SINDANO TANO ZA MAHABA KILA SIKU KWA MWANAMKE [emoji3590][emoji3059][emoji8][emoji8]
[emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257]
1.Usiache kulia wakati tendo la ndoa kilio chako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.