Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Jana nilienda salon moja kusuka mitaa ya Sinza, nikakutana na dada anasimulia kwamba yeye huwa akitembea na mtu, hafuti namba yake, na yeye hawezi ku save number ya mtu ambaye hana interest naye...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Heri ya shamra shamra za Uhuru day, Katika pita pita zangu mitaa ya Kariakoo msimbazi, Aya maduka ya kuuza vipodozi. Nmekutana na duka moja linauza bidhaa tajwa Apo juu. Tena zimepangwa Kabisa...
10 Reactions
163 Replies
20K Views
Habari za asubuhi nyote! Wote tunafahamu hapa kuwa kulala na demu mwenye ngoma/HIV bila kinga ni hatari zaidi ya neno hatari lenyewe, mbaya zaidi unamwaga ndani kabisa... tena demu mwenyewe ni...
6 Reactions
33 Replies
4K Views
Wanawake ni wabinafsi sana, I remember two years ago niliwahi muapproach mwanamke mmoja tukiwa chuo, akanireject tena sio kunireject na some kind of drama kibao, mara afanye kushikana kimahaba na...
92 Reactions
336 Replies
21K Views
Hivi ni kwa nn wanaume mkiwa na nyege mnakuaga so romantic? nimekaa nachat nashemej yenu najichekea jinsi anavyo respond yan yupo so romantic sababu ya nyee sasa nna kazi ya kuagiza vitu na yeye...
30 Reactions
230 Replies
11K Views
Wanawake wengi upenda vigezo wanavo vitaka kushinda TBS ya ukaguzi ya USA. Kosa linakuja vigezo vinapelekea kuachwa au kuzalishwa. Leo na lalamikiwa na mdada ambaye alikuwa anapenda mwanaume...
9 Reactions
69 Replies
2K Views
Ukipata mwanamke anayeamini katika mihangaiko yako, kazi yako, anayeamini kwenye safari yako na kuwa nawe katika hali ngumu na changamoto na anakuunga mkono, akaonyesha ushirikiano bila kufanya...
39 Reactions
289 Replies
7K Views
Heri ya uzima ndugu zangu! Nimelazimika kufungua huu uzi baada ya kushuhudia katika nyuzi tofauti tofauti watu wakitoa na kusimulia mahusiano waliyo pitia na wanawake walio wazidi umri...
11 Reactions
33 Replies
5K Views
Picha ya kwanza (Kushoto) ilipigwa na kuwekwa Instagram mnamo 14.09.2019, picha ya pili (kulia) ilipigwa mnamo 08.06.2021 katika Hospitali ya Norvic, Ni mtu yuleyule, anaitwa "Nisha Ghimire"...
4 Reactions
10 Replies
940 Views
Sijui hata nianzie wapi nakosa hata lugha ya kuelezea namna navyojisikia juu yake. Niishie tu kusema kiberenge a.k.a komamanga nimefall in love. Kaeni mkao wa kula mazonge yanaanza upya. Kweli...
3 Reactions
6 Replies
659 Views
Hali? Naamini mara moja au zaidi wewe mwanaume utakuwa umewahi kuhisi au kugundua kabisa hili. Kuna ile mmekaa sehemu au kwenye mkusanyiko fulani, mmechanganyika wanaume kwa wanawake. Sasa mara...
8 Reactions
41 Replies
4K Views
Nilikuwa YouTube Muda huu naangalia video za Jack wa USA this guy anaweka content za wanawake wa Marekani most of them wapo happy kwanza wazuri wakipewa salamu wanaitikia kwa bashasha kubwa Sana...
15 Reactions
53 Replies
3K Views
Mtu anakunyamazia kama vile hajawahi kukvulia nguo😂😂😂
13 Reactions
37 Replies
2K Views
Habari wakuu, Ni mwezi wa tatu sasa nipo kwenye uhusiano na binti mmoja niliekutana nae chuoni. Ni binti fulani hivi wa kawaida kimuonekana kutoka mkoa X niliekutana nae Dar es salaam kimasomo...
27 Reactions
82 Replies
6K Views
Aisee wakuu Yaani Kuna watu kua nao kwny mahusiano Ni changamoto Sana[emoji848] Juz Kati Tulikua na migogoro inaenda wiki ya pili kila mtu kivyake, ijumaa usiku tumekutana kaomba msamaha...
27 Reactions
225 Replies
11K Views
Mimi ni kijana umri wangu ni miaka 32, ni msomaji mzuri wa jukwaa hili japo sio mchangiaji sana! Nimeamua kuja na ID mpya ili kujieleza kwa uhuru zaidi! Nimekuwa kwenye mahusiano kwa miaka 3 sasa...
132 Reactions
609 Replies
56K Views
Mwanamke ni utukufu wa mwanaume kwa sababu ametoka kwenye ubavu wake. Mwanamke bora ni huyu hapa: 1. Mwenye heshima kwa wadogo mpaka wakubwa. (USAFI WA MWILI, MATENDO & MDOMO)...
12 Reactions
132 Replies
55K Views
Habari za wakati huu wakuu. Wakuu hadi naandika hapa binafsi huwa natokewa na hali hii for instance, kupitia mitandao ya kijamii mfano, hapa JF kupitia mada au comment za mtu unaweza jikuta...
35 Reactions
1K Replies
57K Views
If you're struggling with the decision of whether or not to walk away, you've already seen some of the signs. Photo: Getty Images Knowing when to break up with someone is, undoubtedly, one of the...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wengi huwa tunapenda kuanzisha familia ikiwa lengo kuu ni kupeana faraja tu, bila kufikiria ili familia iwe na amani na utulivu uchumi unatakiwa uwe umetulia. Si vema kwa mtu mwenye familia kuwa...
14 Reactions
38 Replies
4K Views
Back
Top Bottom