Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Hii imekaa vipi? Hasa kwa mwanamke asiye bikra, ambaye hana muda na wanaume, tena ambaye hajishughulishi kana kwamba kuna jambo linamkeep busy, hapana. Anayeendekeza chuki dhidi ya wanaume. Kuna...
8 Reactions
24 Replies
2K Views
Tayari nimeshafanya maamuzi. Lazima nifanye maombi maalum kwa wenzetu waliooa wanawake kutoka kwenye makundi yafuatayo; 1. Wanawake ambao ni makada kindakindaki wa vyama vya siasa hasa CCM na...
11 Reactions
61 Replies
5K Views
Hii post naandika nikiwa nimetulia baada ya kurudi kutoka vacation ambapo niliona nimeenda kupumnzika ila badala yake ndio nimefanya kazi kubwa kuliko na kurudi kupumnzika nyumbani na sio tena...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Wakuu habari za majukumu? Wanaume wenzangu huwa inatokea sana kwenye mahusiano kuambiwa na mwanamke uliyenae katika mahusiano "kaka yako kanitongoza" au "rafiki yako ananitongoza", kwa kweli...
10 Reactions
61 Replies
7K Views
Members, Sheria zinawalinda wenye nguvu tu. Yaani nguvu hapa namanisha pesa/madaraka/umaarufu(fame) Mwenye nguvu akiua Kwa makusudi kesi yake itageuzwa geuzwa kuwa "kuua bila kukusudia" na jela...
9 Reactions
22 Replies
682 Views
Wazee wa zamani ilikuwa ni ngumu kukamatwa waki cheat kiasi Kwamba unakuta siku ya msiba ndipo inajulikana Kuwa Mzee alikuwa na watoto 5 wasiokuwa wametambulika hapo kabla ......ila kwasisi...
12 Reactions
56 Replies
3K Views
BEYOND PAIN SEHEMU YA 1 MTUNZI : PATRICK .CK Ni saa kumi jioni nikiwa maeneo ya Kimandolu nikielekea Usa river katika baa iliyotulia ya Roterdam garden mahala panapofanyika vikao vya harusi...
2 Reactions
125 Replies
83K Views
Professor John Mordechai Gottman, ni kati ya wanadamu ambao ni ngumu kusahaulika sana kwenye dunia hii hasa katika ulimwengu wa masuala ya ndoa na mahusiano. Alizaliwa tarehe 26 April mwaka 1942...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Mdau anasema alimuachia mkewe mwekundu wa msimbazi kama makadirio ya gharama za matibabu ili ampeleke mtoto mchanga hospitali ya serikali kutokana na mafua. Mdau aliporudi kutoka kazini akamuuliza...
0 Reactions
8 Replies
817 Views
Wanabodi, baada ya kuandika ule uzi wangu wa "Maisha yangu baada ya miaka 37" wengi walinishauri niache nyumba ya laki tatu nikapange ya bei nafuu ili nitoboe. Kweli nimehamia nyumba ya laki na...
12 Reactions
85 Replies
3K Views
Wana MMU naombeni mnipe tu pole. Mie ni mtu nisiyeumizwa na mambo ya mahaba, lakini nashangaa kuona huyu single mother niliyekutana nae kwenye pilika za maisha mkoani Mbeya, anaolewa 😥. Huyu...
12 Reactions
49 Replies
3K Views
Nimatumaina yangu kuwa uu mzima wa afya, nimatumaina yangu kuwa upo kipindi Cha furaha kuliko Wakati wote nilio kufahamu . Najua zimebaki siku mbili ufunge ndoa na mwanaume umpendaye. Kwa upande...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Kuna misemo mingi wapenzi huwa wanapenda kutamka/ kutamkiwa na wapenzi wao. Kwa mfano: your my chocolate, my honey, my apple, my banana, my angel, my bank. Etc embe share idea ni kitu gani...
4 Reactions
88 Replies
3K Views
Hali!? Nilibahatika kuwa na vijihela kidogo wakati nabalehe... nakumbuka nilikuwa na miaka kama 21 hivi nilipoanza kujiingiza kwenye mahusiano na wanawake... Wakati huo wote mpaka nafika miaka...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu, bila kupoteza wakati kuna haka ka kitu kanaitwa Mtungi, ama wanasema Bia tamu, Japo kiukweli mimi sijawah onja, ukiachilia mbali imani ya dini, ila kuna vioja ambavyo vinafanya Pombe...
6 Reactions
118 Replies
8K Views
Hivi karibuni nilienda kiwanja fulani kwenda kujiburudisha, mjuavyo tena sisi wapiga maji, unapokunywa chupa ya kwanza unajikuta unaongeza chupa nyingine; nikajikuta nimekunywa nyingi sana, mpaka...
12 Reactions
66 Replies
4K Views
Kuna siku kiongozi mkubwa wa nchi alikuja eneo letu, sasa wale mabodigadi wanaovaa miwani Black wanaokaa nyuma ya viongozi nikakutana nae wakati wa chakula, akanielewa tukapeana number. Ila...
8 Reactions
34 Replies
3K Views
Ogopa sana! Iwe ni sura, rangi, shepu sijui nywele, dimpozi, mwanya, kimo na vitu kama hivyo. Hivi vitu wanawake wajinga huwaambii kitu, akishajipata kuwa na kiungo mojawapo ya hapo juu anahisi...
6 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu! Wenye wapenzi wenye mapenzi ya kihindi tukutane hapa.. Tubadilishane uzoefu... Furaha zake na namna ya kuwalinda wahindi wetu 😊😊
7 Reactions
32 Replies
2K Views
Njia mojawapo ya kukabiliana na maumivu yanayokutesa ni kukubaliana na hali halisi.Kubali ulimpenda ila yeye Hajakupenda sawa na ulivyompenda.Kubali umeachwa,kubali hupendwi Usipokubali kuwa...
10 Reactions
22 Replies
4K Views
Back
Top Bottom