Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Binti yangu nisikilize mimi... 1. Mwanaume atakaekutambulisha kwa wazazi wake na si kwa rafiki zake pekee huyo ndiye mwenye mwelekeo wa kufanya maisha na wewe. 2. Usitizame gari wala pesa nyingi...
19 Reactions
65 Replies
6K Views
Mimi
30 Reactions
161 Replies
6K Views
Mimi
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Unakuta umevutiwa na mdada ukaamua kurusha ndoano mkifika hatua nzuri anakuuliza swali, umenipenda hau umenitamani? Hivi wanaume huwa mnajibuje hili swali, make unakuta kusema uongo sitaki na...
13 Reactions
103 Replies
5K Views
USIPUUZE TAARIFA YOYOTE INAYOHUSU KUWA UMEBAMBIKIZIWA MTOTO. Anaandika, Robert Heriel Labda uwe unajua kuwa huyo mtoto sio wako, au labda uwe unajua huna nguvu za Kupata mtoto na huyo kwako ni...
28 Reactions
86 Replies
9K Views
KIFO KIDOGO ( THE TITLE DEATH/LE PE IT MORT). SOMO HILI LITAWAHUSU MWANAUME. Mwili wa binadamu huwa na nguvu nyingi tofauti . miongoni mwa nguvu hizo na ambayo ndo kubwa kuliko nguvu zote ni...
34 Reactions
149 Replies
115K Views
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Sexless unit imebainika pasipo shaka kuwa asilimia kubwa ya wadada wa kiislam ni warembo mno kuliko wale wa upande wa pili. Hata wewe mwanaJF fanya utafiti...
10 Reactions
101 Replies
7K Views
Story iko hivi.... Nilikua na mpenzi wangu ambae tulidumu kwenye mahusiano kwa takribani miezi 6 lakini tulipishana tu Kiswahili kdg tu na nilijaribu kuzungumza nae lakini nikaona kama mwenzangu...
30 Reactions
149 Replies
8K Views
Kuna umri unafika kwenda kwa ndugu iwe ni kwajili ya kumjulia hali unarudi kwako, umeenda mkoa wake kikazi kakuhost ukae kwake ukimaliza unarudi kwako, unaumwa kakupeleka kwake akuuguze ukipona...
17 Reactions
43 Replies
3K Views
Kipindi cha nyuma sikutaka kabisa kujiweka karibu na yeye kwa Kuwa nilimuona yuko nje ya uwezo wangu. Hii ni kutokana na sababu kadhaa ikiwa ni pamoja na pesa (Kwao wanae pesa), Mzuri sana...
5 Reactions
8 Replies
858 Views
Good morning guys. Kuna story nimeiona sehemu naomba kushare nanyi. 👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻 more hesitation. All he felt now was disappointment. Ironically, today was also their wedding anniversary. There was...
2 Reactions
4 Replies
918 Views
Habar wakuu, Kipind flan Nilipata dili la kusambaza mizigo Ofsini alikoajiriwa mpenz wangu, Baada ya malipo kufanyika wakapungukiwa pesa kiasi flani ya kulipia makufuli ya milango yao. Wakaomba...
15 Reactions
117 Replies
5K Views
Hali? Huu ni unyama! Kuna uzi humu nimeusahau jina, kuna member(id nimeisahau) humu alikuwa anajitapa wazi wazi kuwa alipokuwa chuo, "washkaji" na baadhi ya "mademu" walikuwa wanamletea nyodo...
13 Reactions
95 Replies
4K Views
Ukweli usemwe tu kuna wadada wa ajabu sana. Wengine sura zao zimekomaa kama za madume kulegea hawataki. Unaeza kuwa nae chumbani mpaka ukashtuka yani wanakaza sana kama sisi madume anakaa kama...
17 Reactions
49 Replies
4K Views
Kwakweli hiki kitu kiliniuma sana, nilimuazma geto rafik yangu ili AZAGAMUE, nyie acheni tu, nilijifunza kuanzia siku iyo mpaka leo chumba changu ni Madhahu, Takatifu siwezi kuazima mtu...
18 Reactions
23 Replies
3K Views
Katika harakati za kutongoza huwaga mwanaume anakutana na majibu mengi mojawapo ni hili la mwanamke kumwambia mwanaume wawe marafiki ukweli ni kwamba hapa umeshakataliwa tayari Kama mwanamke...
31 Reactions
219 Replies
17K Views
Ni mwaka 2019 mjuba narejea toka bondeni. Kuna dili imefeli kiajabuajabu. Kwa hali ya kawaida Mtoto wa kiswahili formula imegoma na Imani imehama. Fikra na hisia nimeshaona Kuna nguvu za giza...
11 Reactions
51 Replies
7K Views
Mdau anaomba ushauri: Jamaa amewahi kuwa na mwanamke kwa muda wa miaka 10 wakiwa kwenye mahusiano wa kimapenzi, walifanikiwa kuanzisha biashara ikasajiliwa kwa jina la mwanadada ambaye...
0 Reactions
4 Replies
542 Views
Kuachwa huleta hisia za maumivu, hasira na uchungu moyoni. Hisia hizi hutofautina kati ya mtu na mtu, hutegemea jinsi hali hii itamuathiri vipi na hatua zipi atachukua kupona maumivu haya. Leo...
15 Reactions
25 Replies
3K Views
Back
Top Bottom