Habari wana FF.
Nina ndogo wangu wa kiume hapa ana 27 years.
Sasa alikuwa na rafiki wa kike yani yeye aliona huyu ndo mtarajiwa. Mwaka jana mwanzoni dogo aliitaji kufahamiana sana hasa kifamilia...
Nanukuu;
"Nimedumu na huyu mwanamke kwa muda wa miaka 3 na tumefanikiwa kupata mtoto 1, kutokana na tabia zake mbaya za muda mrefu nilivunga kutopeleka mahari kwao licha ya kuwa walishanipangia...
10 Simple Ways to Keep Your Relationship Strong and Healthy
MARCH 20, 2023
Share
It is no secret that it takes more than just love to keep a marriage strong and healthy. Obviously strong feelings...
Jambo Jambo?
Nashangaa wanaume wenzangu ambao wameoa na wale ambao hawajaoa kuwa na tabia za ajabu pale ambapo anakuwa anampatia pesa ya matumizi ya aina yoyote na ikatokea kuna chenji basi huwa...
Hiki ni kipimo sahihi cha kujua kama mpenzi wako anakupenda kweli au anapenda tu pesa zako na hapa naongelea zaidi kwasisi wanaume.
Unakuta mtu ana mpenzi wake wa kike na anajinadi kwa watu...
Kulikuwa na wapenzi wawili, Adam na Eva, ambao walipendana sana. Walikutana katika mazingira ya kuvutia, wakiwa na utofauti mkubwa katika tabia zao, lakini wakilingana katika hisia za upendo...
Huyu hata sijamaliza naye week kumbe naye ni kimeo tu. Sijajua nakosea wapi ninapokuwa natafuta mwenza.
Huyu dada tupo naye Jengo moja la ofisi nlimfahamu muda tu this time nikaona niombe urafiki...
Nimekuonyesha mapenzi yangu yote. Kama kukugharamikia nimekugharamikia hata Kwa vitu vingine visivyokuwa na msingi lakini Bado huna shukrani kwangu.
Nilijitoa Sana kwako Hadi kukulipia Ada usome...
Ni hivi, nina mke na mtoto mmoja. Katika maisha yangu nimekuwa vizuri katika swala la kuzagamuana alaf napenda sana huo mchezo.
Sasa mke wangu kaanza kuumwa mwezi wa nne kiasi cha kushindwa...
Habari wakuu
Nimemtongoza huyu binti ila kagoma kutoa jibu kabisa kama amenielewa au la hasha, ila kila nikirusha nyavu zangu kwa lengo la kumkumbushia kuwa na muhitaji awe mpenzi wangu...
Pesa inaweza kuwa muhimu katika mahusiano ya kimapenzi, ingawa siyo kila kitu. Hapa kuna mambo kadhaa ya kuzingatia:
Stahamala kifedha: Kuwa na utulivu wa kifedha kunaweza kuleta amani na uhakika...
Ndiyooo, ni UKWELI.
Unapokutana naye kwa mara ya kwanza huzificha, ila akikuzoea au ukimuuliza kama hapendi au lah atakujibu kama upendavyo.
Utasikia ukiniletea nitavaa, au nitavaa kwa ajili...
Habari za humu wakuu
Nilijieka kwa mdada fulan hivi ila hatukudumu Sana mahusiano yakapotea tu ghafla, japo haikuwa kuachana rasmi. (Mimi ni mme na baba wa familia)
Sasa wiki mbili zimepita wife...
(Jana Jioni). Huyu mwanamke tumezoeana sana. Mazoea yetu yalianzaia kwenye biashara tu. Kwa kuwa niko mchangamfu na mcheshi, mwanamke huyu kajikuta amezama kwenye dimbwi zito la mahaba
Katika...
Asubuhi hii mie nipo busy .
Kutoa hii post maana imeniusu 100% . Huyu kijana nilimpenda alinipenda sana . Ukiwa kijana huwezi ishi na mtu mmoja ila huyu niliishi naye sikuwa na jiibia kwa mtu...
Achana na msemo kuwa "anakujaribu". Kama umejitahidi lakini yeye haoneshi kujali mahusiano, ujue unapoteza muda wako. Unatumika tu kupoteza muda. Pengine ana bwana wake anayempenda zaidi yako na...
Moja ya vitu vigumu kuvielezea mbele za watu ni hisia za upendo. Hata ukimuuliza mtu aliyeoa/kuolewa, sababu iliyomfanya kumpenda mwenza wake, majibu mengi yatakuwa ni kwasababu ni mcha Mungu, ana...
Siku moja, nilikutana na demu mrembo sana kwenye hafla ya kijamii. Jina lake lilikuwa Amina, na alikuwa na macho ya kuvutia ambayo yalinitia moyo kuanza kuzungumza naye. Tulianza kuzungumza na...
Anapenda pesa kama Bank. Hazipiti week mbili anaomba pesa. Yeye zake anatanua sana maisha. Simu anabadilisha kila mara na vitu vya thamani. Kushindana na wenzie kuwa ana boyfriend tajiri. Mimi...
Furushi la nyege ni sawa na kubeba gunia la misumari inayokuchoma mabegani au unaweza kusema ni sawa nakutembea na mkongojo wa muwa anytime anyplace you can nyamnyam!😂
Wale wa no fap mlifika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.