Siku za hivi karibuni nilikuwa naongea na dada yangu mmoja anasema anajuta sana kwa sababu mpenzi wake wa zamani amepata ajira ya ualimu shule za serikali.
Dada anasema alifikiria kuwa kwanini...
Sipunguzi neno,oneni Sasa jinsi wanavyotunyonya 😁😁
Kwa mujibu wa utafiti wa Finscope mwaka 2023 uliofanywa na Wizara ya Fedha unaonyesha kuwa wanawake Tanzania waliofikisha umri wa kufanya kazi...
Leo nimeskia kituko cha ajabu Sana kimenifanya niandike huku
Nipo zangu oysterbay na Marafiki tuna chill kwenye kijiwe chetu, mara rafkiangu akapigiwa simu na Huyo bwanake tusiemjua😓...
I know, it has been a minute
Bado nimekuta maswali mengi inbox after been gone for 3 years
Sasa kuna MTU kakwama anaomba atolewe shimoni;
MTU: da penny, nimekuwa singo Kwa Miaka 8 sasa, nataka...
Nipo hapa kitaani kama kawaida yangu anti wa kuchakarika na kuisaka shekeli, huku nimevaa mask kuzuia maambukizi ya Corona,
Nipo nashoot kipindi cha YOUTUBE CHANNEL yangu, wakati tunafungafunga...
Mwanamke mweupe wa asili, mweupe hana madoa doa ya kujichubua. Ngozi laini,Mwenye hips.... Aaaargh. Nakuwa hoi.
Hawa ndo huwa wananichuna sana. Yaani mi hoi nikimwona mwanamke wa hivi. Nalegea...
Nimesikitika sana. Huyu dada tupo naye ofisini. Sasa nilipungukiwa tu vicent kadhaa kwa ajili ya kuongezea kununua shamba sehemu fulani.
Nikamwambia aniazime nijazie ntamrudishia baada ya week...
Nyie kuna watu waongo aisee.
Binti mrembo kajua kaolewa na mwasibu wa TPA kumbe jamaa ni day worker tu huko TPA. Ni kuli ambaye zikipatikana kazi makuli wenzake wanamshitua.
Kuna wakati kazi za...
Kwakwel nataka kumuoa MAMA UMUT lakini sijui chochote yani kuhusiana na kupeleka barua na posa pia.
Kwahyo nikaona nina familia kubwa na ndugu wengi huko JamiiForums niwashirikishe ili nijua...
Wadau habari zenu,
Naomba ushauri umsaidie jirani yang Jirani yangu kapanga nyumba Moja na rafiki yake, jamaa kaoa ila rafiki chumba cha jirani wife yupo mbali, jirani huyu yupo na ukaribu na...
“Wengi hawazingatii wajibu wao, kila mmoja hajui anatakiwa afanye nini, au tupeane mitihani kabla ya kuingia kwenye ndoa?
“Mtu anaweza kuwa na vyeti vingi vya elimu lakini hajui wajibu wake wa...
Umri wa kuanzia miaka 15-27 yaani hapo wanawake wengi huchagua kuzaa na waume za watu, vijana wa hovyo, deadbeat dads (wanaume wasiotaka kulea watoto wao na familia). Pia nimechunguza sio kwamba...
Bila ya kupoteza muda!
Binti uliyetoa maombi leo katika Parokia ya kanisa katoliki Buswelu, Mwanza, Misa ya pili, nakiri kusema umenikosha Moyo.
Sauti yako tamu kama Malaika wakiimba nyimbo za...
Hii inawakuta wanaume wengi.
Hata mimi ilishawahi nipata kabla.
Lakini ni muhimu kutambua thamani yako. Na unastahili upendo na furaha.
Ubaya wa kumng'ang'ania asiye kutaka ni kukosa kuwa...
Utafiti uliofanywa na shirika la Uganda Christian Network Aid katika eneo la Africa mashariki limetoa matokeo ya utafiti wao kwamba 70% ya wanandoa ya Kikristu huzini ukilinganisha na 10% ya...
Ipo hivi nikiwa nataka kushiriki mapenzi maswali huwa yanakuwa mengi mpaka hamu inapotea kabisa
Lakini kabla sija shiriki uku kwenye simu au nikiwa nae karibu na kuwa na feeling nyingi sana mbaya...
Karma is bitch.
Mapenzi ni upofu ila mwisho wa siku unaweza kuona bila kutarajia, wakati unataka muwe familia mmoja yeye anaweza mengine. Nilimpenda sana huyu binti mpaka maisha yangu...
Wakati tunapambana na mfumuko wa bei kumbe sikujua hata condom nazo zimepanda bei juzi wakati nipo safari usiku ule nilivyofika bar moja nimekunywa wakati naondoka zangu kulikuwa kuna mrembo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.