Hii ni dhana potofu na ni tatizo.
Yaani mwanaume unaenda bao 3, 4 au 6 halafu mkeo ana bao 1 tu au hajapata kabisa, hilo ni tatizo rafiki zangu. Mwanaume mwenye nguvu (rijali) hasifiki kwa idadi...
Wadau hamjambo nyote?
Mada na elimu hii ni kwa wale wenye hekima peke yake na ndiyo wanakaribishwa kujadili
Anatakiwa kama Amemaliza leo basi ni vema akasubiri angalao siku 2 hadi 3 kabla ya...
Kumbe kufungiwa jf kunauma hivi siku zilikua hazisongi any way tuachane na hayo.
Unamchukuliaje mwanaume anayebadili dini kisa mwanamke, mimi namuona wa ajabu kweli kama ameshindwa kusimamia...
Wakuu, nijibuni haya maswali:-
Huwa unavaa mavazi ya aina gani, pale unapoenda kukutana kwa mara ya kwanza, na mpenzi wako mpya, mliyefahamiana naye kupitia mtandaoni?
Na kwanini unavaa hayo mavazi?
Nawashukuru sana Wana jf kwa ushauri Mlio nipatia.
Asubuhi nilipost chapisho hapa kwa upendo wenu mkuu mmenipa ushauri mimi kijana mdogo na maskini. Japo Kuna baadhi walini kejeli lakn hiyo ni...
Habari ndugu zangu..
Katika safari ya maisha kuna siku inatokea una hamu sana ya kukutana kimwili na mpenzi wako ila kwa makusudi tu mwenza wako anaamua kukubania utamu.
Je, ulichukua hatua gani...
Habari ya wakati huu mashabiki wa Azam na Yanga, ninyi wengine mtapewa salamu zenu na Prince Dube Mfalme wa Bulawayo
Leo nataka niongee na wanaume, kama kawaida beberu wenu J nakuja na mada ya...
Habari za majukumu waungwana.
Nisiwachoshe sana iko hivi, kuna brother angu mmoja amekuja nimpe ushauri juu ya tabia ya mke wake.
Mke wake bwana anatabia ya kugawa sana vitu akinunuliwa kama...
UNCLE Musa.
After living in the United States for 40 years and at the age of 70, Uncle Musa finally relocated to Salagie, The Gambia this year to live in his 5-bedroom house which took him 10...
Hellow wanajf muwazima, Kwanza samahani sina uandishi mzuri ila twende kazi tutaelewana.
Kabla sijakutana na huyu mwanamke nilikuwa na mpenzi wangu tuliekuwa tuna mahusiano ya kama miezi mitano...
Habari wana JF,
Kama mada isemavyo hapo juu mimi nina mpenzi niko nae kwenye mahusiano almost 3yrs nampenda siwezi sema tunapendana maana sijui upande wake ananichukuliaje
Now amebadilika sana...
Watoto wa miaka ya 2000 watadhani umaskini ulifanya nivae yale "matambala" yanayotumika kwenye mashine za kusaga na kukoboa wakati watu wazima waliponiona na suruali hiyo waliwaambia madogo...
Nadhani sijavunja protokali za kibalozi Wala kumshushia hadhi yake.
Kiufupi hii ni pisi ya ukweli kuanzia Lips,kifua saa Sita Hadi hips za ki model.
Hivi nawezaje kupata mawasiliano yake...
Wakuu salamu kwenu.
Naandika uzi huu kifua kikiwaka moto kwa hasira.
Iko hivi nina mke mwajiriwa, tumefunga ndoa na tuna watoto.
Ni muda sasa tunaishi mbalimbali kiasi kutokana na inshu za...
Ndugu zangu, habari za jioni?
Nawakumbusha wazazi na walezi kuwa makini na malezi ya watoto hasa kwenye michezo Yao pindi wakutanapo na watoto wengine. Ni wazi baadhi ya michezo michefu ikiwemo...
Habarini za jioni wakuu, moja kwa moja niende kwenye mada. Hii ni kwa wanaume wenzangu, hivi mnawezaje kukaa na demu mmoja zaidi ya wiki moja na kuendelea?.
Mimi kila nikijaribu kukaa na demu...
Ilikua Jioni majira ya saa 12 Mwaka 1995 Mkoani Mbeya alibishwa hodi nyumbani kwetu na mdogo wangu Asubisye Alitoka kwenda kuitikia wito na kumkaribisha mgeni.Alikua ni mama wa makamo amebeba begi...
Mambo ya kubagua hapa hayapo,
Kuna kundi letu maalumu linaitwa kundi labwafariji wakuu, yaani mwanamke uwe bonge, uwe mwembamba, uwe mfupi, uwe mrefu, uwe mweusi, uwe mweupe, uwe na miguu kama...
Wadau nawasalimu tena kwa mara nyingine. Najua mpo fresh na mambo yanatembea hata kama ni kigumu.
Leo nimeona niwape mkasa ambao nimeuhifadhi kwa muda mrefu kidogo nikiwa nasubiri nipate uhakika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.