Wale wanaume wanaopenda kudate wanawake waliowazidi umri wengi wao walikosa mapenzi ya mama zao tangu wakiwa wadogo mpaka wamekua. Kukosa mapenzi ya mama zao kunawafanya watafute wanawake wakubwa...
Wajuvi wa mambo ya mahaba nisaidie Tafadhali maana nimeshaimbisha sana kwa manzi flani lakini naambulia patupu.
Ingawa ana viashiria flani Kama vya kunikubali but ninapoimbisha anasema ana mtu...
Ukahaba haujaanza leo duniani ila miaka hii umekuwa kwa kasi sana.
Tanzania na Afrika ukahaba kwenye majiji na manispaa wanawake wengi ni makahaba. Nimeishi uswahili Keko, Temeke na maeneo kadhaa...
Sasa nina miaka 35 sipati hamu kabisa ya kuoa na kuishi na mwanamke, labda aje tu nichaape aondoke. Ziko shida nyingi na hatari nyingi ninazoweza kupata kwa kutoishi na mwanamke, kiufupi sina...
Profesa Yew Kwang Ng wa Chuo Kikuu cha Fudan, Shanghai China ameshauri serikali ifikirie kuruhusu wanawake kuwa na waume wawili au zaidi, ili kutatua tatizo la kukukosekana kwa uwiano wa kati ya...
Nimejifunza sana kuhusu ni njia zipi za kupata mume mke.
1.Kila siku vaa kwa staha, uwe unanukia vizuri, usinuke mdomo, kikwapa
2.Shiriki mikutano ya kidini, mikutano ya nzengo, makongamano ya...
Haya ni mambo kadhaa yanayo mfanya mwanamke thamani yake ishuke katika jamii.
1. Mahari
2. Ndoa
3. Kutegemea mwanaume kumhudumia( wenyewe wanaita kucare)
4. Haki sawa( wenye wanaita 50/50)
5...
Kabla ya kufanya maamuzi ya kuishi na mtoto wa mtu uliza moyo wako na ujiridhishe kwamba unampenda na kisha iulize nafsi yako kuthibitisha kuwa imeridhika kweli kwamba unapendwa na unayempenda...
Natamani kuandika love story yangu ila nitafanya hivyo kipindi kingine. Niliambiwa mambo ya ndani hayasimuliwi ila mwenzenu nimezidiwa, siwezi mwelezea yeyote physical wacha nije JF banah yanini...
Dunia hadaa ulimwengu shujaa.
Ni imani yangu sote tu buheri wa afya.
Nina kisa Cha mpenzi aliitwa Agnes, katika ubora wake huyu mtoto wa kingoni alikuwa na roho nzuri ya kila kitu yaani kila...
Salaam nyingi kwa waiter🤣!
Imekuwa ada yaani kama kawaida mikoa yetu maarufu ya kula bata, Dodoma, DSM, Arusha, na Morogoro. Mabaharia tunakawaida ya kutimba viwanja bila hiana bila kelele...
Meatu.
Katavi
Katika hali isiyo ya kawaida, nyumba ya Seleman Mussa (65), Mkazi wa Kijiji cha Nkoma, wilayani Meatu, Mkoa wa Simiyu, iko hatiani kuuzwa kama fidia ya deni la Sh1.1 milioni...
Aisee ni hatari sana hii nchi! Tukamuulize mama Maria Nyerere kwani ilikuaje inawezekana akawa na majibu ya uhovyo wetu.
Tukianza na majina ya mitindo;
1. Kifo cha mende
2. Chuma mboga
3. Mbuzi...
Heshima zenu Wakuu,
Kimsingi kuna mwanamke ninadate nae miaka 3 sasa tumeish maisha mengi na hapa katikati tumeachana mara kadhaa na kurudiana.
Kiukwel yeye anaonesha kunipenda na mimi pia...
SHIKAMOO Wabongo!
Basi last month nimekaa zangu buzy na simu, nipo zangu Kibo Complex nachat chat na nini buzy na simu yangu
Mara mtu akadondoka inbobo, Oh! DADA Penny naomba msaada wako...
Nilikuwa naongea na bwashee mmoja WhatsApp baada ya kuletewa Uzi na shogangu WA Yule binti alieng'atwa na mbwa😂😂
Nikamwuliza bwashee kwanini wanaume wengi sikuhizi hampendi kuzama chumvini...
Nauliza tu kama swali.Mtu amebalehe hajui mapenzi au amevunja ungo hajui mapenzi lakini ana hisia za kutaka kuwa karibu na jinsia tofauti.
Ni kitu gani kinamfanya mpaka awe katika mahusiano...
Wajumbe wenzangu ni vipi, mimi swalamaa kabisa.
Nikasema tupeane chakula cha ubongo kidogo si unajua tena mambo mengi muda mchache. Du leo nikasema hebu tushauriane kidogo mana haya mambo yapo...
Wanaume wa hit and run wanaongezeka kwa kasi ya ajabu mno aisee💔 Ladies kuweni makini ... Imagine mtu mmekutana hamna Hata week ameshaanza kuleta stories za Mapenzi 😤🙌
Jana nilikuwa airport napata huduma, katika kusubiria huduma kukawa na malumbano Kati ya binti mmoja na Mzee mmoja
Mzee: akawa anamtania Huyo binti kuwa amuoe wawe wapenzi, atampatia Mapenzi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.