Happy Saturday to you All..
Friday night moja buanaaa nimekaa na my girls gurls GIRL, happy time, friday night
Tunaenjoy groove night na nini tunajikumbushia miziki ya kikwetu kwetu old school...
Habari ..
Hawa wanawake sijui wapoje, unakuta kijana wa watu ume mpenda bidada kwa moyo mmoja na unania njema ya kumuweka ndani ila utata unakuja pale anapo kuuliza unafanya kazi gani...
Umewahi kumla mzungu? au wewe unahangaika na hayo akina mwajuma ndala ndefu au akina cheusiku wa ubongo riverside? Pole sasa nikuambie mie mwenzio nimemla mzungu jana kwenye guest za manzese sema...
Nawasalimu kwa jina la Chama pendwa CCM.
Kama tafsiri ya kubaka ni kumwingilia mtu kimapenzi bila ridhaa yake basi watu wengi hasa wanaume wangekuwa mahakamani wakijitetea kwa tuhuma za kubaka...
Habari ndugu zangu,
Wanawake wote mnaojielewa popote mlipo haijalishi mnatupasua kichwa sana, ila mbarikiwe sana. Uwepo wenu ni mkubwa sana na nyie ni viumbe wa muhimu sana katika kuipamba dunia...
Kwa muda Sasa toka nihamie kufanya kazi katika bank Moja hapa Kariakoo. Katika pitapita zangu nikakutana na Dada mmoja akanialika kwenye party ya vikoba ili niwashauri namna ya kuweka pesa na...
Aisee nimeshangaa sana baada ya jamaa zangu wa karibu wakilalama wapenzi wao ifikapo tu tarehe 21 ya mwezi huanza kulalama nywele zao zimefumka na kuchakaa na luku kwao imekata ghafla nikajiuliza...
Mwanamke mmoja aje PM anielekeze kupika tambi.[emoji26
Out there wakuu,
Jobless mwenzangu wakiume, mbususu chakata ila usipende. Jobless wa kiume sikiliza, mwanamke ukimtamani au kumpenda kula...
Nashauri serikali iweze kuanzisha somo la Ndoa kwa kila mmoja anaekaribia kuingia humo. Hakika wengi wetu tunaingia katika ndoa bila kujua bila kuelewa ndoa nakujikuta tunazama kupitia Mihemko...
Habari zenu wadau, nimejikuta nipo kwenye wimbi la mawazo nashindwa hata kuchagua niingie upande upi kati ya kupenda na kupendwa.
Kuna mabinti wawili wote wana umri kati ya miaka 24 -28, wote...
Wasalaam JF,
Tafadhari wadau swali hilo hapo juu. kwanini hawa mabinti hawana noma kunyanduana, na haoni shida kukuchunia kama akiomba lake usimpomjibu na haijalishi una shoo shoo kali wala nini...
Hali sio nzuri ni Mwaka sasa tangu nimevunja mahusiano kutokana na sababu za kutokua na amani katka mahusiano.
Leo tangu Mwaka ulivyoanza hata kabla mzazi wangu wa kike amekua akiforce niweze...
Nilikutana na manzi mmoja wa chuo hospitalini. Mtoto fulani hivi mweupe mwenye kashepu kakuvutia. Sikupoteza muda nikawa nimeshaanzisha mashambulizi. Nikafanyikiwa kuchukua namba.
Siku zikapita...
Sikuwa na lengo ka kuanzisha uzi katika muda mbovu kama huu, ila nimeshindwa kujizuia. Kelele nilizoziona kwa wingi ni juu ya kufunga ndoa au kutokufunga ndoa; lakini je, tunataka watu wafunge...
Kila unakopita, watoto lainii na wazuriiii wanaongezeka kila siku na wanazidiana tu katika kuiachia misambwanda yao ikitetema.....ajabu kila mwanamke analo sambandwa la haja siku hizi. Nina...
Nawapa tahadhari na kuwakumbusha Wanaume dhaifu kama wa Dar,usije kurogwa kuoa Mke Mikoa ya Kusini,utakuwa Kila Mwezi unalalamika dawati la jinsia.
Ama laa hakikisha karate uko vizuri vinginevyo...
Ni matumaini yangu kuwa wote ni wazima. Niende kwenye mada moja kwa Moja.
Mimi ni Kijana wa kitanzania na hivi sasa nipo chuo kikuu kimoja hapa Tanzania jijini Dar es Salaam, nachukua shahada ya...
Habari wana jamvi..
Hivi mwanaume unawezaje kuishi na mkeo ili hali anachelewa kutoka kazini,
Unakuta wewe mwanaume kazi unayo fanya unatoka saa 11 jioni ila yeye kazini anatoka saa mbili usiku...
Nimeshuhudia ndoa nne za gharama (nilizochanga Mimi) ndani ya miezi 6_9, tatu kati ya hizo zikipumulia Mashine Huku moja iliyodumu kwa Mwezi mmoja (siku ya harusi kamati ilimpa zawadi ya million...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.