Jamani za wikiendi, nilikuwa na utaratibu wa kuweka 1,000 kila siku kwenye kibubu chetu na mke, ni miezi mitatu sasa.
Ilitakiwa leo nikute 90k na kidogo, ila nimeikuta 2000 tu. Nimehamaki na...
Heshima zenu wakuu,itifak imezngatiwa!
Ndgu zangu kama nilivyowah kuleta uzi hapa jukwan,kuna mchumba nampenda sana naye pia ananipenda(kwa ninavyomuona) ila sasa
nmeona kabisa linapokuja swala...
Wanawake sasa hivi wana roho ngumu kuliko Lilith (usiniulize ni nani), kukuchanganyia mtoto kwenye ndoa, kwake haombi hata ushauri.
Wewe cha kufanya kausha halafu jifanye hujui kabisa, then...
Dakika 20 zilizopita, nimepokea simu kutoka kwa pisi kali moja matata iliyokuwa inanizungua huko nyuma kwenye ule uzi 'nimeutua mzigo mzito', ananiambia amefanya leo vipimo ana ujauzito wangu, wa...
Mahusiano kwanini jamani? Kila ukijaribu kujitosa unapigwa matukio, unaempenda hakupendi na anaekupenda humpendi yaani ni fujo tu.
Naona kama wasichana ndio tunaumia zaidi kuliko wanaume...
Ni kwamba miaka 11 iliyopita nilimtaliki mke wangu, kabla ya kukubali kuwa nimemtaliki, nilienda kumuomba turejeane. Sasa alikataa na kuniambia ananiona bado nina ujana na utoto mwingi hivyo...
Habari.
Jambo gani hautakuja kuthubutu kufanya kwa upande wa mahusiano yako au katika ulimwengu wa kula kimasihara.
Kuzama chumvini na kula kwa mpalange sitaweza hadi nakufa.
Tuambie kipi...
Baada ya kuishi kwa muda mrefu kama bachelor sasa hapa nyumbani kwangu nimepata mgeni binti black beauty ana mzigo wa maana
Huyu binti kaletwa na rafiki ake ambaye tunafahamiana amekuja hapa...
Habari zenyuu nyotee.
Mida hii nilikuwa natafuta kitu nikakutana na hii wine kabatini. Nilipewaga zawadi basi nikaona si mbaya nikiitendea haki.
Kama kawaida yangu baada ya kunywa glasi mbili...
Mitandao ja kijamii iko Mingi...
Whatsapp, twitter, facebook, instagram..etc. mnaweza itaja.
Wanawake wengi kwa sasa ambao huenda waliolewa kabla ya kumaliza tabia zao na shauku zao za...
Sababu zinazowafanya wapenzi/wenza kuchokana.
1. Mazoea ya kupitiliza ( wengi uwapumbaza na kucha kutenda yale yalio wafanya mwanzo waonane bora iwe ngono, chakula, ukaribu, mawasiliano nk. Mfano...
Na Humpo Lakaje, BBC
CHANZO CHA PICHA,NHLANHLA MOSHOMO
Maelezo ya picha,
Kuanzia kushoto ni Lithabo, Fletcher na Lunia. Na mtoto huyo ni wa Fletcher na Lithabo
Mtindo mpya unaoitwa 'Polyamory'...
Leo nimeamka sina hili wala lile, kwanza nimechoka na kazi za hapa kiwandani kwangu,
Nimechoka na uchakataji niliofanya jana usiku na mtoto wa diwani yaani niko tu bored,
Ghafra kuna huyu demu...
Ni Binti aliyetaka Sana kusoma.Alikuwa na shauku kubwa ya kufika elimu ngazi za juu na alipagania Sana shauku yake mpaka akafikia kiwango Cha elimu alichokitaka Cha Masters.
Na kamaliza sasa hiyo...
Hello.
Jf members.imani yangu mpo salama.
Ikiwa kwa imani zetu wote tumewekwa katika sahani moja basi tunamshukuru sana Mungu kwa hilo.
Mada mezani safari zetu za mapenzi ni ndefu sana ila kama...
Jinsi ya Kuwa na Mahusiano ya Muda Mrefu na Mbinu za Kufuata
Mahusiano ya muda mrefu ni kitu ambacho kila mtu anatamani kuwa nacho. Ni muhimu kutambua kuwa mahusiano ya muda mrefu yanajumuisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.