intro:
so siku za nyuma nimekutana na binti mmoja wa kiislam, age : 19. married, education : form 2. ana mimba pia anamuamini Sana mume wake , mume yupo late 20s, mfanyabiasha na pia ameajiliwa...
Unajua mahusiano yanachangamoto nyingi sana, na hazifanani. Kila mmoja kwa sehemu yake anapitia changamoto katika mahusiano. Sasa inapotokea umefanyiwa mabaya na mtu uliyenae kwenye mahusiano, sio...
Jambo?
Sijalala usiku wa kuamkia leo, pia usiku wa kuamkia jana. Huyu Smaki yupo wapi?
Aje tafadhali, nampenda na nimetuma kitu kikubwa kwenye ulimwengu wake waroho ila hajakiona bado. Kina hang...
Habari..
Vijana ambao hamjaoa na mabinti ambao hamjaolewa njooni hapa tufarijiane katika hizi harakati za kupata mpenzi ( mume / mke) wa maisha.
Kwa upande wangu sijaoa na ninatafuta mweza wa...
Vp wajumbe? Hivi hii mambo ni sawa kweli,unakuta bint wa kazi anapewa kazi nyingi bila kujali.MBAYA ZAIDI NI PALE ANAPOCHANGANYIWAKAZI😂Wajuvi wa mambo wanasema hii inaanzaga kidogo kidogo lkn hasa...
Hello guys,
Hivi unajua kwamba mwanamke akiwa anakupenda ukimsifia wewe ni mzuri huwa anafurahi? Hata sauti yake huwa inabadilika.
Ila kama hakupendi ukimsifia anaona kama unamkera, so mwaume...
Natumai wote humu mu wazima wa afya [emoji41].
Leo ni siku weekend kama mnavojua siwe wengne hapa jamii forum ndo kijiweni pa kubadilishana story mbali mbali tukiwa tumejipumzisha ndani na...
Nimechukua miaka miwili kuchunguza hili Jambo, kwanini ndoa za siku hizi hazidumu na zimesongwa na milima mingi na mabonde kuliko tambarare. Kila mara watu wanatumia nguvu nyingi kuendesha...
Ndio ukweli huo na kwa kuongezea ni kwamba kuna upungufu wa wanaume wenye mafanikio lakini hakuna upungufu wa wanawake wazuri. Kama huamini pita pale riverside utakutana na viumbe wa kike wazuri...
Habari zenu watanzania bara wenzangu.
Nimeoa miaka mitatu iliyopita,ila bahati nzuri au mbaya nilikua vizuri kifedha kwa wakati huo hivyo sikutaka kuchangisha mtu pesa,hivyo shughuli ya sherehe ya...
Hamjambo wanajf mko vp huko huku ni balida kabisa.Leo nimeona niwachane hawa jamaa wenye wivu wa kupitiliza wa mapenzi hivi kwanza hebu ncheke kwanza hahahaaaaa, hivi wewe kweli uko radhi hat...
Kuna kauli nyingi ambazo wakati wa muingiliano Huwa zinakera.Nachosikitika ni kuwa wanawake ndyo wanakuwa vinara wa hizi kauli Mbaya.Zinaweza zikawa kauli za kweli lakini zinawasilishwa Kwa njia...
Habari wana JamiiForums, kwa wanaume wenzangu ambao watakuwa offended na title ya thread, mtanisamehe kwa muda ila nadhani kufikia mwisho wa kusoma yote nitakayoandika; tutakubaliana kuwa hii ni...
Huu uzi ni wa Q&A
1. Kwa nini watu wana oa na kuolewa ?
( Kitu au vitu gani vya pekee vipo ndani ya ndoa tu ? )
Note: Huu uzi utatoa picha halisi ya kwa nini watu wana oa na kuoana je, ni kwa...
Una mpango wa kuoa hivi karibuni, au wewe ni mwanandoa unaeishi na mwenza wako?
Kuna mambo kadhaa nataka nikujuze ambayo wanandoa wengi wanaonekana kuyakwepa katika ndoa zao ingawaje mambo hayo...
Kwa sababu kwa sisi wanaume, mdada akijipendekeza kwetu, hata kama kimuonekano tunamuona ni wa kawaida, sisi tutafanya naye ngono tu halafu tunapita hivi, tunakula hadi wadada vichaa Waokota...
Kuna muda huwa kuna matukio yanatokea pindi tunapofika ama tunakaribia kileleni, mshindo unavurufika kabisa.
Nikianza mimi kuna siku nikiwa nakaribia mshindo ghafla simu ya dem ikaanza kuita...
Mwanamke mmoja alimcheat mume wake. Mume akamkamata, tena kitandani na ni kwenye kitanda chake mwenyewe.
Alichokifanya huyo mwanaume alimwambia jamaa atoke halafu akamwambia huyo mwanamke nenda...
Unakuta unachat na dem kumbe ana watoto wanne.. amewaacha homu kwao kwa bibi. Na kwa vile wewe mwanaume una UGWADU , huchukui shida ya kuwaza. Unaingia mkenge ,unatumia pesa zako , unataka kwenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.