Hii CD ya sasa hivi, Prison break, 24, zitasubiri miaka 1000!
NI MVURUGANO WA KUFA MTU!
MSOMAJI USICHOKE, TWENDE MPAKA MWISHO, UKIFIKA KATIKATI USICHUKIE WALA KUKIMBIA, NDIO MAISHA!
KIJIJINI...
Last week Muungano day kukawa na family gathering kwa uncle, alichinjaaa mduuduuu kachinjaaaa mbusii kachinjaaaa majogooo kabanikaa mandisi kachomaaa yani nyama choma festival flan amaizing
Basi...
Numbisa
lara 1
Valentina
SIDECHIC MANAKE NI MCHEPUKO/NYUMBA NDOGO/KIPIMA JOTO/ MSAADA TUTANI/ SPEA TIRE/ ETC ETC ETC
MAIN CHIC MANAKE NI MKE/ MPANGO MZIMA/ MAMA LA MAMA ETC ETC
Nimewaletea...
Haloo wakuu kina Chakorii, Hornet, To yeye, Kelsea, Depal, Joanah, Witnesj7, miss minah, stacia, Kalpana, Kasie, na wengineo wote hao kwa pamoja ni dada zetu. Itifaki imezingatiwa.....
Kimasihara...
Oy wajumbe Hivi Haina madhara ya kumweleza mpenzi mke/Mme wako historia ya mahusiano yako ya zamani.Mimi nipo kwenye harakati za kuuaga ukapera soon ila kuna swala linanitatanisha.Mdau mara kwa...
Wasaalam!
Kutokana na kuwa jobless kulana ndio imekuwa sehemu ya kupunguzia mawazo.
Leo ikanibidi nimtafte X wangu mmoja angalau tupashe kiporo, tukapanga mida ya saa 10 atakuja geto tufanye...
Hello JF,
Mvua ni chagizo la veto ya mapenzi, kila wito imo!
Neema ya mvua za vuli imeanza maeneo baadhi ya Nchi ya mahaba, natoa Rai Kwa mabaharia wote tuendelee kuyaanda Maghetto yetu.
Kwa...
Kwani mavazi ya kikahaba ni yapi jamani, mbona mnanichanganya?
Je ni kweli mavazi ya kikahaba yanamfanya msichana kutopata mume?
Mbona wanawake wanaokaa uchi wameolewa sana mpaka na kuacha na...
Mnaotafuta waume au wake kumbukeni anayechagua ni Mungu, ila anapitia kwako. Unapokuwa na options zaidi ya moja na pale ukisikia sauti inakwambia ni huyu, basi ujue huyo ni Mungu, na please...
Kijana wa kiume anapokutana na binti kwa mara ya kwanza, swali la kwanza ambalo binti huuliza ni:
"Unafanya kazi wapi?" Jamaa akisema anafanya kazi kwenye kampuni ya mafuta, binti huyo atakubali...
aAshampoo jana nilienda kusuluhisha ndoa fulani huko sasa wakaniuliza ashampoo kama mjomba una ushauri gani nikajibu hakuna wakufa wa ndizi moja wala wa kufa na kitasa kimoja mvumiliane...
wanaokula bila kuhonga
Wachungaji, maustadh na waganga - Hasa kwa wadada wanaotafuta watoto kwa maustadh, wachungaji na waganga feki. Mdada anaambiwa dawa inabidi iingie kwa kuchomekwa, kuna pepo...
Hapa naongelea mwanamke ambaye ulikua naye vizuri lakini sasa analeta jeuri. Ila kama mwanamke ana hulka ya ujeuri, huyo hakuna haja ya kupasua kichwa.
.
Mwanaume kuwa dhaifu baada ya muda. Mara...
Moja kwa moja kwenye mada, mnakumbuka niliwaambia Niko Maeneo ya kanda ya Ziwa! Sasa bhna juz Kati kwenye mishe za ofs nikakutana na manz Yuko vzur balaa…mwanaume nikaweka mitego yangu nikapata...
Habari wakuu,
Ni mengi sana nimepitia japo nawaza sana hapa sipati majibu kabisa.
Hivi ni kwanini mwanamke ukimwambia unataka kumuoa awe mke wako ndiyo anakukataa kabisa na kukuona kama adui...
Unapokutana na mwanamke anaongea au kushabikia kauli hii “Chunga sana akili yako mwanamke akikuchoka anakuwa adui" fahamu kuwa huyo kichwani hamna kitu na hafai tu kuwa mke sema Mungu amempatia...
Ndugu zangu, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30+ na nina uchumi wa kati tuu , ila mapenzi yamekua sehemu ya kunitesa sana katika maisha yangu sijui nifanyaje yani yananitesa kweli kweli
1...
Wanawake wengi walio katika ndoa huona ufahari kuwasifia waume zao mbele ya marafiki zao mwisho wake,marafiki hugeuka michepuko ya wame zao.
Content zingine hazipatikani kwa Sasa.
Unakuta binti unamtongoza ila mwanzo wa safari anakukataa kabisa... Unaweka pending..
Unaenda kwa mwingine unamtongoza mwingine nae anakataa vile vile . Wewe kazi yako ni kutongoza tuu yani heka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.