Kwema Wakuu!
Kwa kweli sisi wengine tukiachana ndio tumeachana moja Kwa moja. Hakuna kitu ambacho kinaniudhi na kunifanya niwe mkali kama binti niachane naye halafu baada ya miaka miwili aniletee...
Habari wakuu ni matumaini Yangu nyote ni wazima wa afya.
Na Kitu naomba kujua japo ni personal kidogo, sababu tuna toka kwenye familia na jamii ambazo kimsingi ni ngumu kuuliza baadhi ya mambo...
Wakuu Salaam!.
Juzi nikiwa nimemaliza dozi ya UTI nikasema ngoja nijipe pole kwa kujivinjari na mpenzi wangu.
Katika kujivinjari akaniomba nizame uvinza na mimi bila hiana nikazama, Tukafanya ya...
Nawasalimia,
Kama tunavyojua katika familia zetu hasa kwa wale walio wawili katika mwili mmoja, asubuhi hii, nimefanyiwa kituko na mwenzangu nikahisi kuwa na hasira mno, nikajaribu kujiongoza...
Huyu ni jamaa yangu ambae tumefahamina yapata miaka mitatu sasa kupitia masuala ya kazi, kwenye suala la maisha naweza sema sio mabaya sana kwani ukiwa na nyumba na usafiri kibongo bongo ukipata...
Habari jf.
Kipi kimetokea katika ulimwengu wa mahusiano ,mapenzi ya sasa kama yamepoteza kabisa mvuto watu tunafanya ili Tuzaliane tu tofauti na wazee wetu.
Kuna Tabia zimejitokeza na...
Habarini wana jamvi...
Natumai mu wazima wa afya kabisa na Mungu anasaidia katika mihangaiko yetu.
Aaiiiseee nimekaa nimefikiria kiundani zaidi. Nimeona mimi kama kijana wa kiume kuna umuhimu...
Ndoa ya wake wengi inahusu zaidi kumsitiri mwanamke awe na ndoa ajulikane ni mke wa fulani kuzidi mwanaume kuwa na wake wengi.
Leo hii wanawake wengi wa kikristo ni kawaida kuwakuta wanazeekea...
Jamani hivi umeachana na mtu wako, unajaribu ku move on yeye Bado anakukwamisha.
Yaani hata ukimpata mtu mwingine anakuharibia yeye ashampata Mtu wake na wanaishi maisha yao lakini hatak akuone...
Imekuwa kilio kikubwa sana kwa wanaume wakisema mchumba wa kike hasomeshwi. Vivo hivyo imekua kilio kikubwa kwa wanawake ambao hawajaolewa kuwakopea wachumba fedha ili tu wapate ndoa...
Ikitokea ukawa kwenye mahusiano na ndugu yako wa ukoo mfano mjomba kwa shangazi, je kuna faida gani kwa ndoa hio kwa mambo kama usuruhiswi wa migogo ya kindoa.
Na je ndo hizo huwa zinadumu?
Kuna pisi kali ilikuwa inanisumbua sana; kutokana na uzuri wake, nikasema hapa, piga ua lazima hili goma nilichukue, na ili kuhakikisha napata huduma muda wote nikaahidi lazima anizalie...
Heri ya sikukuu ya Idd kwa ndugu zangu waislamu wote na wanaJF kwa ujumla.
Niende kwenye mada husika ndugu zangu wachaga kwanini mnapenda sana kunyang'anya watoto hata wakiwa wachanga kwa mama...
Inavyosemekana wanaume wengi walio ndani ya ndoa hawavutiwiii na wake zao.
Pia wajuzi wa mambo wametafiti na kugundua wanaume walio ndani ya ndoa huvutiwa sana wanawake wanaojiuza,Maa baa medi ...
Samahani kama nitakuwa nimekukwaza ila naomba tusaidiane hii mada hapa
Siku moja nimekaa night Club IT PLAZA HIGH SPIRIT LOUNGE
Nimekaa zangu napunguza stress
Nyuma ya kochi langu kulikuwa na...
Mtu ni roho anayo nafsi na anakaa ndani ya mwili.
Roho na Nafsi vikiumwa na mwili nao unaumwa.
Sikuwahi kufikiri ninaweza kufanya kazi ya kusikiliza wagonjwa na kuwatibia kwa kuwapa matibabu ya...
Mwanaume,
NDOA ikishafeli, na Wakati tu mgogoro wa kugombania watoto utapoanza na wewe ukakomaa nao, hapo kaa ukijua tayari umeshindwa kabla hujaanza. Yaani hapo Mwanamke tayari anakuwa...
Mwanaume huyu ana umri wa miaka 68. Ni mstaafu aliyefanya kazi maisha yake yote kulea watoto wake.
Alijinyima raha za dunia ili aweze kuwalipia karo ya shule (kwenye shule za gharama) na gharama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.