Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Nawasalimu nyote! Leo nimeamua niweke kichwa cha mada kwa kiingereza! Nimshukuru jamaa yangu aliyenitengenezea maneno haya, maana mwenyewe ingenishinda! Nimeambiwa kuwa English inapunguza ukali...
58 Reactions
291 Replies
15K Views
Katika harakati za kutafuta riziki huwa tunatumia njia mbalimbali.Lakini pamoja na hivyo kuna njia nyingine tukiweza kupata mbadala wake itakuwa vyema.Jana Katika harakati zangu za kupumzisha...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Mfurahie mume wa ujana wako daima Ushauri huu unawahusu wadada wote mliopo katika ndoa halali...... Usingoje kila wakati mumeo aanzishe mapenzi, we mchombeze tu kimapenzi utapata kilicho chako...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Mimi na mchumba wangu tuna mahusiano ya miezi 5, anafanya kazi katika familia ya watumishi wa selikali nikimaanisha baba na mama ni wafanyakazi serikalini. Shida ni kwamba bosi wake wa kike asipo...
8 Reactions
59 Replies
2K Views
Unakutana na mwanaume wa Dar njiani. Upo zako hai hai kufanya mambo yako ya maana, anakusimamisha dada salamu ehee naomba dakika 10 tukae mahali tuongee. Mind you ana no yako na hata unapoishi...
40 Reactions
277 Replies
8K Views
Namuona kabisa dada angu sasa anamawazo sana, anamiaka 28 sasa, kila anaemfata hayuko serious au ni mume wa mtu, wapo wengine sema sasa dada anasema anakosa hisia nao kabisa, anaogopa...
25 Reactions
140 Replies
8K Views
Good afternoon, Kudate na mwanamke hapa JF inahitaji moyo hasa njemba za hapa JF wanamtania na yeye anafurahia utani kiasi kwamba unajua hapa sio kabisa anajichekesha hapa jukwaani ata ukija huku...
60 Reactions
2K Replies
37K Views
Habari zenu wasomaji Huu ni uzi maalum kwa watoto ambao tulilelewa na mzazi mmoja, either mama au baba kutokana na kifo, kutengana au mzazi kuzalia nyumbani/kutokuolewa/kutokuowa. Mimi...
20 Reactions
79 Replies
7K Views
Wasaalam. Jogoo humpanda tetea ndani ya sekunde mbili anakuwa ashamaliza kazi. Asilimia kubwa ya sisi wanaume naona tushakuwa kama Jogoo ndani ya sekunde Tano tunakuwa tushamaliza. Wale...
6 Reactions
38 Replies
2K Views
Hebu wanawake tupeni majibu, hii hali inatisha sana. Mimi nakumbuka miaka ya 2007 ukimshika mwanamke paja tu au ukapanda kdg kwenye matiti basi anaanza kuloa hapohapo, na ni ile loa yenyewe kabisa...
22 Reactions
296 Replies
12K Views
Ni takribani mwezi sasa nipo kwenye mahusiano na bidada mmoja wa kuvalia miwani na mwenye artifical (kajichubua kiasi) colour wakuvalia vikuku na urembo wa kutosha ila kuna vitu ambavyo simuelewi...
14 Reactions
88 Replies
4K Views
Kwa nini nitoe salamu ilhali ninaomboleza kwa ajili ya vijana wanaoitafuta kesho yao? Kwanza vijana wengi ni wajinga (hawaioni kesho yao, kuna giza zito mbele yao lisababishwalo na kuchafua miili...
31 Reactions
77 Replies
5K Views
Moderator naomba usifute uzi au kuunganisha. Pia uzi haujajikita kumjua mwanamke bali ni jinsi ya kuishi nae kwa sababu tunaishi na wanawake kama wapenzi wetu na kama wake Na pia ni mtizamo...
17 Reactions
44 Replies
6K Views
Wakuu kwanza nikili nimetumia ID nyingine tofauti na ninayotumia. Kuna dada ambaye nilikutana nae na tukawa katika mahusiano kumbe kipindi nimetoka kumtafuta alikua ameachana na huyo ex wake...
4 Reactions
99 Replies
6K Views
Vijana wadogo wanafanya sana ngono zembe ( kuuza mechi) na wanawake ambao kama vile wameshajikatia tamaa au kujitoa mahuru, hawataki mwanaume atumie condom. Nikikumbuka vile VVU vya 2005 kurudi...
21 Reactions
93 Replies
8K Views
Bora uumwe ugonjwa wowote maana ukipata dawa utapata relief au kupona kabisa kuliko kuumwa ugonjwa wa akili unaotokana na kuumizwa kimapenzi haswa kwa mtu uliyemuamini na kumkabidhi moyo wako na...
46 Reactions
311 Replies
11K Views
Ama kweli akili ni kipaji, Kuna mambo wala hayahitaji uwe na elimu ya chuo Kikuu ila ni Utashi binafsi wa kunyumbua mambo inashangaza sana kuona Mtu anakubali kupokea bomu ambalo wenzake...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Kiukweli nimekua naipinga sana hiyo kauli, kwangu mimi uzuri wa mwanamke upo kwenye sura, umbo, rangi. Wanawake wabaya hata wawe na tabia nzuri kiasi gani kwangu mimi ni mbaya tu, na mzuri ni...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Haya wadau kama kichwa cha uzi kinavyo jieleza hapo Ni nahitaji partner wa kike awe na sifa zifuatazo 1.Mcha Mungu 2.Umri usio zidi miaka 25 3.Elimu yake isiwe chini ya degree. Note: Only if you...
1 Reactions
0 Replies
234 Views
Back
Top Bottom